Kwa hiki nilichomfanyia Salha ana haki ya kunitendea haya

mtimawachi

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
2,017
3,037
Habari zenu waheshimiwa! Kwanza namshukuru Ghafuli kwa kutupitisha salama Oct 28 na nitumie fursa hii kuwapa hongera washindani wote na watanzania wenzetu waliotumia haki yao ya kwenda kupiga kura bila kujali mazingira yoyote walokutana nayo

Vilevile nitakuwa mtovu wa nidhamu kama sitawashukuru TCRA kwa kuturudisha jukwaani kuashiria maisha yaendelee.

Nami nitumie fursa hii kusimulia kisa changu na SALHA. Ilikuwa mwishoni mwa mwaka 2005 nikiwa mtaani nikakutana na binti mmoja akaniamkia nikaitikia kwa tabu kwani alitokea kunivutia ghafla, tulipitana lakini akili yake alijua kinachonisibu.

Niligeuka kumtizama kwa nyuma,hakika huyu binti alinitoa udenda.Alitembea hatua kama kumi kutoka nilipo akafanya kosa la KIUFUNDI,si akageuka kuangalia kama namtazama.

Akakuta nimesimama na miguu yote 'mitatu' Kuona vile akageuka haraka aendelee na safari aaah wapi! Nilipiga hatua za haraka nikamshika mkono huku akijaribu kujitoa asiweze. Nikaanza kumpa maneno matamumatamu nikijua ananielewa,huwezi amini! nikakataliwa. Nikatoka pale nguo naziona nzito,aibu,huzuni,wivu na hasira vimenijaa

Ulipita mwezi tangu tukio lile la aibu linikute. Siku moja nipo na wife mtarajiwa (sasa mke wangu) nikamwona yule dada akiwa na dada fulani ambaye namfahamu ni askari.

Siku ya pili nikamtafuta yule dada askari nikamuulizia akanipa details zake kwamba yule dada ni demu wa askari mwenzake ffu ila jamaa hamjali demu anamtangazia eti ananuka K,hivyo yule dada hataki wanaume wengine watazidi kumdhalilisha.Nikambembeleza anisaidie nimpate akakataa,nikamwomba ombi akija kumtembelea anishtue nikajaribu bahati yangu tena.Akanijibu muda si mrefu atakuja.

Kabla ya muda yule mrembo akatia timu ile anakaa tu akashtuka kuniona pale akanisalimia sikumjibu. Nikampa ishara yule dada askari aingie chumbani kwake ili atuache wawili akatii

Nikamsogelea huku nikimlaumu kwa anayonifanyia,lakini bado akawa anasitasita. Nikaona hapa nisipotumia mabavu nitakosa. Nikamshika mabegani nikatumia mbavu kwenye kochi nikafanikiwa kufanya kitendo, yule dada askari akawa anatuchungulia
LAKINI niligundua ni kweli alikuwa na mapungufu kama mumewe alivyomdhalilisha.

Hiyo haikuwa sababu ya mimi kutompenda.Nikaanza kumtumia sms tamutamu mpaka akajikuta analainika akaanza kunipa kwa ridhaa yake,ukiondoa mapungufu alonayo mtoto alikuwa kaumbika hadi raha.

IKUMBUKWE mpaka naingia mahusiano na huyu binti(SALHA) nilikuwa na mtarajiwa wangu(sasa mke wangu)na alikuwa na matatizo kiafya(vidonda vya tumbo na ini. Nilitumia kama 1.3 millions kumhudumia akapona kabisa.

Ndipo nikapata wazo kwa nini na huyu tatizo lake hili ili nifaidi vizuri,nikamweleza SALHA kwa upole na upendo mkubwa hakuamini akaanza kulia lakini baadae akaniambia anaona aibu kwenye hospital hizi za mkoa tuliokawepo.Nikamwambia tutasafiri hadi Dar. Kweli nilihangaika naye akapona.

BAADA ya kupona shida ndo zikaanza, akawa hamtaki mtu wake akaniganda hatari. mtu wake baada ya kuona mkewe kapona akarudisha penzi kwa binti na akawa bwege kwa binti.

UPANDE wangu nilimuoa mtarajiwa wangu, siku moja tulihitilafiana na SALHA kisa hamtaki mtu wake, akasema ameridhia awe mchepuko wangu, nikamjibu sikuwahi kumpenda na sitakuja kumpenda.

Akaniuliza kama ndivyo kwanini niliingia gharama kubwa karibia laki nane na sabini kwa ajili yake kama simpendi.

Nikamwambia yoteyote akitaka tuendelee akubali kuendelea na mtuwe ikabidi akubali. Wamefunga ndoa ila ndio daah hataki tuachane anadai mi nimempa heshima na thamani kama mwanamke na hakuna mwanaume anampa heshima isipokuwa mimi.

Huwezi amini kwa sasa tupo mikoa tofauti umbali wa zaidi ya km 800 lakini utafikiri tupo umbali wa Mwenge -Ubungo

NB: Nilichojifunza ukiona mwanamke/mkeo hakupendi anza kujinyooshea kidole wewe kwanza ukijihakikisha ndio umnyooshee Ingawa najua wapo wanawake majanga zaidi ya YEZEBELI
 
Ngoja namm niweke hili hapa , ambayo mwisho wa siku likafanya niandike uzi wa umuhim wa kumsifia mwanamke wako.

Ni Mwanadada ana watoto, Mkuu wangu wa Kitengo kazin, Anaelimu kubwa, Uchumi wake binafsi na maisha makubwa ( niseme ni moja ya wanake wanaoweza kua na jeuri ya Pesa).

Huyi mwanadada nilipoanza kazi hapo kwao, awali nilivutika na uzuri wake wa Sura, Umbo ,Mavazi, Sauti na na anavyotembea, lkn kutokana na yeye kua mkubwa kwangu kiumri na kimaisha ilinibidi niwe mpole lkn mwenye kujiamin ,mwisho wasiku nikaamua kumuheshimu.

Lkn hamna siku nilowahi kumuona anafuraha, sura yake kila siku ilijaa huzuni, ili jambo lilinifanya nihitajike kumjua sana.

Nkaamua kua wazi na kujenga mazoea naye , Nikawa namsifia mavazi yake, uchapaji wake kazi, uzuri wake wa sura, uzuri wa umbooo , nkawa namletea vizawadi zawadi vya kushukiza n.k

One day akaniita ofisin kwake, Aisee nilishtushwa na maelezo alonipa ( huko ndoani kuna mambo ya ajabu)

Kwa ufupi nimwanamke ambaye Mume wake hajawah kabisa kumuona kama ni mke mwema, kumsaliti, kumletea wanawake ndani ya nyumba, vipigo, matusi kila kukicha, kumtusi yeye ni mbaya, hajipendi, anavaa kishambaaa mara nne jamaa anamuacha ila baadae anajirudi n.k .. Nkm jamaa wake alimuaminisha kua Yeye kumuoa nikama nabahati tuu, coz yeye mwanamke ndio anayehangaikia hayo mahusiano.

Aiseee aliongea huku anatoa machozi, mwishoe akaniambia " G wewe ni mwanaume unayenifanya siku hizi najiamin mbele za watu, najiona mwanamke mzuri na mrembo , Sijui unanifanyia haya kwa dhumuni gan, kila siku naomba Mungu au wee( mimi) ndio Mwanaume kwaajili yake?" .

Aliongea meengi sana ,ambayo hatima yake ni kunikumbatia na kunipa Bonge la busu zito, kiukweli ni Mwanamke hot sana , yule mdada anajua kunyonya midomo", aisee mwanamke ni mzuri kitandani , ebwanaa eehh kuna mambo ananifanyia kwa bed kiasi kwamba Najikuta muda wote namuhitaji tu.

Baasi mambo yameenda weeee Ananipenda sanaa yaaan Sanaaaaaa, now days mpaka ananitumia shots za jamaa wake akimbembeleze ampe Mzigo , Demu anamkwepa, Mwanamke ndo kabisa yaan kalegeaaa kwangu, yupo huru hadi kuongea, anakuambia G nmekumis. G unaniridhisha...

Juzi ananiambia G ukija niacha utanisababishia maumivu makubwa niyoweza yahimili ningali Hai.

NB.. Anataka kuvunja ndoa yake , ila nmemkatalia , amekomaa tu anasema avunje ndoa hata kama sio kwa ajili yangu .

OYAA, WAPENDENI WAKE ZENU KAMA MNAVYOWAPENDA MAMA ZENU .. MWANAMKE NI MWANAMKE NI SAWA NA MTOTO MCHANGA.
 
Mkuu wanajionea mambo,ila uzuri hawa viumbe ukiwajali na kuwapenda na akaamua kukupenda,utafurahi.Sema kuna wanaume wenzetu wanaharibu
 
ilifikia wakat anakuambia G sihoni faida yoyote yakua nahela namna hii lkn nisijihisi mwanamke.

Huwez amin, Mimi uchumi wangu ni wa kibongo tu lkn ninautumia kumfanya ajione mwanamke , namchukua nampeleka kule na kule anafurahi sanaaa , surprises kibaoo namfanyia, namsifiaa , namjali .

Mwanamke mpaka anawasimulia mashosti zake , nao wamenikubali sana ( kumbe wanawake wanasimuliana manyanyaso wanayopitia)

Basi siku hizi ni ... Shem (XXX) anakupenda sanaa, haishi kukutaja na kukusifia, usije kumuacha !!!.

Moyo wa mwanamke unapobadilika Unabadilika kwelikweli .

Kuna mdau humu alisema " Ndoa nyingi zipo kimwili ila kiroho zilishajifia"...

Nahuyu mwanamke siku hizi ananiambia " Sina hisia zozote na yule , ndio maana sitaki kushiriki naye , wacha ashiriki na wanawake zake huko".
 
Mkuu kama ingekuwa we ni kitombi(samahani kwa kutumia neno hilo)hata hao wenzake ungewala.Hakuna kitu mwanamke anakipenda kama kupendwa na kuthaminiwa na wanajisikia wivu pale wanapomwona mwenzao anapendwa
 
We waache, maana wanajiona play boy hasa
Jamaaa, Ukiwa nahaya mawazo, utatombewa sana mkeo, alafu mwisho wasiku hautakua na uwezo wa kumfanya kitu mtombajii wa mkeo !!!.

Badilika kama una Mke hakikisha HAUMPI SABABU YA KUTAFUTA FURAHA NJE.!!!

Haiwezekan yeye kila siku anasimuliwa na wenzake wanavyopewa maisha mazur ndoan, lkn yeye ni mateso alafu atuliee.

Wanawake ?? Mioyo yao hubadilika, nikm walivyo watoto wadogo.
 
...Ila Hawa viumbe,si wa kuwaamini kabsa...tusipende kumake conclusion kwa kuwasikiliza malalamiko yao hasa wakiwa pekee yao.

Wanawake wanajua kujitetea hatari,kwa kubadili uongo kuwa ukweli apo wapo vzuri...

Nishawai kuwapitia masingo maza wawili na ni wazuri kweli,adi nikawa nawauliza shida ilikuwa nn adi mkaachwa....majibu waliyonipa ni ya kujitetea kweli na niliingiwa na huruma sana but nyuma ya pazia kuna mambo nkaja gundua..nikajisemea tu kumbe tabia ndo inafanya ndoa idumu sio sura wala tako.

Mwanamke akipata nafasi ya kujitetea tu ujue umeisha...

Naunga mkono hoja tuwapende wake/wachumba/mademu zetu kwa kila namna.
 
Mkuu kama ingekuwa we ni kitombi(samahani kwa kutumia neno hilo)hata hao wenzake ungewala.Hakuna kitu mwanamke anakipenda kama kupendwa na kuthaminiwa na wanajisikia wivu pale wanapomwona mwenzao anapendwa
Yeaah huo ndo ukweli Mkuu .

Na wanaposifiana, kuna wengine wanataka kujua yaliyomo !!.

Alafu unadhan inagharimu kitu????

Wee fikiria, Gauni za 80--120 K , viatu , Chupi chupi hizi , Pads , mitoko ambayo utatumia 50K

Hayo ni mambo ambayo huyu mwanamke anaweza kujifanyia mwenyewee kabisaa. Lkn ndo ivo yeye anavitafasiri kwa namna ya kipekee sana.
 
ilifikia wakat anakuambia G sihoni faida yoyote yakua nahela namna hii lkn nisijihisi mwanamke.

Huwez amin, Mimi uchumi wangu ni wa kibongo tu lkn ninautumia kumfanya ajione mwanamke , namchukua nampeleka kule na kule anafurahi sanaaa , surprises kibaoo namfanyia, namsifiaa , namjali .

Mwanamke mpaka anawasimulia mashosti zake , nao wamenikubali sana ( kumbe wanawake wanasimuliana manyanyaso wanayopitia)

Basi siku hizi ni ... Shem (XXX) anakupenda sanaa, haishi kukutaja na kukusifia, usije kumuacha !!!.

Moyo wa mwanamke unapobadilika Unabadilika kwelikweli .

Kuna mdau humu alisema " Ndoa nyingi zipo kimwili ila kiroho zilishajifia"...

Nahuyu mwanamke siku hizi ananiambia " Sina hisia zozote na yule , ndio maana sitaki kushiriki naye , wacha ashiriki na wanawake zake huko".
Napitia same thing bro...Ila age kanizidi 6 years na anataka Mimi ndo nimwoe...

NIlianza na KUMSIFIA,Nikamnunulia bracelet ya benders ya Tz , Hakuamini akaniambia since amejifungua mmewe hajawahi mnunulia zawadi ikawa ya kwake Wala hakuna mtu aliyewahi kumnunulia zawadi ...I was shocked maana Mimi niliona Ni kakitu kadogo mnooo.. huna zikaanzia hapo....now nimetambulishwa mpaka kwa wadogo zake, wafanyakazi wenzake ... Ikitokea Tumepishana kauli hatuzungumzi , Nitapigiwa simu na Wafanyakazi wenzake wakiniomba nisamehe/tusameheane.

Before nilikuwa najua mwanamke ili akupende lazima umpe pesa ya kutosha Ila sivyo juzi ilikuwa bday take so nikanunua wine and some other things Basi tulipokunywa pombe ikafika mahala lake Akawa na mixed feelings Mara Alie Mara acheke ndo akaanza kunipa sifa zangu nikamwambia mbona me sikupi chochote kwanza alishtuka akatoka mikononi mwangu Akaniambia J unavyonijali inatosha ,unaona unavyonipa Ni kidogo kwako Ila kwangu Ni Vikubwa mno...anafanya vitu vingi mno mpaka namwonea huruma.
TATIZO ANATAKA NDOA
 
Yeaah huo ndo ukweli Mkuu .

Na wanaposifiana, kuna wengine wanataka kujua yaliyomo !!.

Alafu unadhan inagharimu kitu????

Wee fikiria, Gauni za 80--120 K , viatu , Chupi chupi hizi , Pads , mitoko ambayo utatumia 50K

Hayo ni mambo ambayo huyu mwanamke anaweza kujifanyia mwenyewee kabisaa. Lkn ndo ivo yeye anavitafasiri kwa namna ya kipekee sana.
Pads.
Jua ànapenda chakula gani,. Mimi Bracelet ya Bendera ya taifa na Tundizi Fulani hivi Tudogo Tumeiva tulinipa point 3 za ushindi.
Outing Mara kwa Mara.
Ukitoka kazini mpitie Kama yeye bado au Wahi kabisa msubiri...
Msifie.
Sex ya kutosha...
Imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom