haki

  1. JamiiForums Tanzania Kariakoo na Dar es Salaam: Wanahistoria tendeeni haki Historia za majina hayo

    Tafiti ndogo tu, yangu binafsi na isiyo na shaka kabisa niliyoifanya kuhusu jina la jiji letu kuu "Dar Es Salaam" na jina la soko letu kuu "Kariakoo" ninaihitimisha kwa ufupi (summary) hapa chini kwa kusema wanahistoria hususan wa hapa Tanzania hawayatendei haki hayo majina kwa kutuaminisha...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi mtu aliyekwishazaa au kuzalisha hana haki ya ndoa?

    Kwa nini MWANAMKE aliye kwisha zaa anapewa nafasi ndogo sana ya kuolewa kuliko mwanaume mwenye mtoto? Kabla hujamnyoshea kidole Mama mwenye mtoto ila hana mume kwanza jiulize mazingira ya yeye mpaka kukaa peke yake na mtoto. Sio kila mwanamke mwenye mtoto bila mume basi ukajua alikuwa MALAYA...
  3. JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuwa na sheria itayowapa haki waliobambikiwa kesi kudai fidia

    Ukitaka kujua hapa Tanzania kubambikia watu kesi ni tatizo kubwa basi hudhuria mahakamani mara kwa mara. Unaweza kusikia mtuhumiwa wa miaka 40 hati yake ya mashitaka ikitaja kuwa ana miaka 21. George Banoba akatajwa kuwa anaitwa Mohamed John. Hii yote tu ni waendesha mashitaka kulazimisha watu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Iundwe Tume ya Majaji kupokea malalamiko ya watu walioteswa, kuumizwa, kubambikiwa kesi, n.k

    Kaandika hivi kupitia twitter: Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumsaidia Rais Samia katika kuirudisha Tanzania katika Misingi ya Haki

    Ni ukweli ulio wazi ya kua Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa inadidimia kwa kasi katika ktk suala la haki za raia wake. Mathalani ilikuwa imekua vigumu kwa watu kupaza sauti zao hata katika mambo yaliyo wazi kabisa kama wananchi kunyanyaswa, wafanya biashara kuonewa, wafanyanyakazi kutoongezewa...
  6. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Timu yake waingia Kanda ya Magharibi, ni katika muendelezo wa Operesheni Haki

    Wakuu msituchoke, tuliahidi kuwafikishia kila kitu kitakachojiri kwenye ziara za Mkakati mpya wa CHADEMA inayoitwa OPERESHENI HAKI, hii ni kampeni ya kuchagiza upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi . Baada ya kupita kwenye kanda kadhaa sasa imeingia kwenye Kanda ya Magharibi...
  7. JamiiForums Tanzania Uhuru, haki na demokrasia katika Awamu ya Sita

    Awamu ya Tano ililaumiwa sana kuhusu kuminya Uhuru, Haki na Demokrasia. Katika kurejesha imani kuhusu "Haki", Rais wa Awamu ya Sita, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akikemea watendaji wa Taasisi za kusimamia haki ili kuleta ufanisi. Matokeo yake kumekuwa na mabadiliko ya viongozi kwenye Taasisi...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ole Sabaya atendewe haki

    Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
  9. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaingia Kanda ya Ziwa Victoria: Freeman Mbowe atua Mwanza

    Amepokelewa na Bavicha Mkoa Wa Mwanza , ambapo taarifa zinaonyesha kwamba Mkakati wa Operesheni Haki utakuwa Kanda hiyo kwa muda wa siku 3 , Kuanzia Juni mosi mpaka Juni tatu . Mungu ibariki Chadema .
  10. JamiiForums Tanzania Wapenda haki hatutompa Kura Diamond Platnum kama tulivyokubaliana

    WAPENDA HAKI HATUTAMCHAGUA DIAMOND PLATNUM Na, Robert Heriel Katika Tuzo za BET Diamond ni moja ya Wasanii wanaowania Tuzo hizo. Wapenda haki, wanaharakati na Wana mtandao wote kuanzia Facebook, Instagram, JamiiForums, na Twitter Kama tulivyokubaliana hatutampa Kura Diamond Platnum na...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Mtiifu wa Haki, Demokrasia na Mwanamapinduzi wa sera za uchumi wa watu

    Salaam Wana JF, Siku chache zijazo Rais Wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan atatimiza siku 100 madarakani, Kwa takribani siku 71 sasa, ambazo ameshika hatamu kama Rais wa nchi yetu tumeweza kuona mageuzi makubwa ya kimkakati, Kisera na kimfumo kutoka kwenye falsafa za uongozi wa mwendazake JPM...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

    MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya Kaskazini baada ya kukamatwa akiuza Cd na Pamoja na Flash ambazo zilikuwa na filamu kutoka nchi Jirani ya Korea ya Kusini. Lee pamoja na familia yake walipigwa risasi uwanjani...
  13. JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Kama prominent figure Tundu Lissu alidhulumiwa haki yake, sisi makabwela tusio na mbele wala nyuma ndio tutapata haki?

    Hii imelipaka matope makubwa sana jeshi la polisi hapa Tanzania. Public figure anashambuliwa kwa masasi zaidi ya 33 mchana kweupe alafu hakuna uchunguzi wala kufungua jalada! Kwa kauli yake mwenyewe mkuu wa nchi amekiri kuwa polisi wa Tanzania hawafanyi kazi kwa weledi. Hii ina maanisha kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

    Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA. My take: Nyani wapya msitu wa zamani
  15. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Tanzania na mahakama ya haki za binadamu Afrika yaendelea kuimarika

    The Diplomat Kwa siku kadhaa kumekua na Upotoshaji katika Mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, Suala ambalo halina ukweli wowote. Jana Mei 27, 2021 Katika muendelezo wa kuonyesha ni kwa jinsi gani masuala ya Haki za Binadamu ni kipaumbele...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Haki za mke kwa mume zipo za aina mbili

    #Haki za mke kwa mume zipo za aina mbili; 1) Haki za kimali (mahari, chakula, malazi, mavazi nk). 2) Haki za nafsi (Mwili). #Miongoni mwao ni;
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sijipendekezi kwa Rais Samia, ninachotafuta ni haki

    Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha. Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale...
  18. JamiiForums Tanzania 'Operesheni Haki' yafika Mkoa wa Kilimanjaro, mashambulizi yaongozwa na Salum Mwalimu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na mkakati wake mpya wa kudai haki kwa njia ya amani kwa kushinikiza uwepo wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , vikao vya ndani vishaanza kurindima huku na kule ambapo sasa vimetinga Mkoa wa Kilimanjaro , huku mashambulizi hayo...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania hatuna haki ya kujua sababu za wao kuteuliwa?

    Naona watu wanateuliwa kila kukicha...lakini hatuambiwi sababu au vigezo vya wao kuteuliwa. Hivi watz hatuna haki ya kujua? Why criteria za wakuu wa polisi zimewekwa wazi kwamba ni wale watakao dhibiti ujambazi...na hawa wengine ziwekwe wazi bhana..
  20. N

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Utumishi pitia waraka wa utumishi wa umma na.2 wa mwaka 2018 kipengele na 3.2 (I) kinanyima haki watumishi

    Majuzi niliomba kuona waraka huu hapa hapa jamvini kwa bahati nzuri mdau mmoja kanitumia PM hapa nimeona kipengele cha 3.2.(i) si rafiki kwani kinamnyima stahiki zake mtumishi endapo mwajiri hatukuwa na busara kipengele kinasema (I)malipo ya uhamisho hasa katika maeneo ya mjini yafanyike baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…