Klabu ya Yanga imesema kuwa haitendewi haki na vyombo vinavyosimamia mpira wa miguu kwa maana ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF),Bodi ya ligi, kamati ya ya masaa 72 na kamati ya waamuzi.
Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela alipokuwa akizungumza na...