haki

  1. Tamko rasmi la Yanga kuhusu kutotendewa haki na waamuzi katika Ligi Kuu Bara

    Hii ni taarifa rasmi kwa umma kutoka Klabu ya Yanga juu ya malalamiko yao kwa waamuzi.
  2. Wananchi ni mfano mzuri zaidi wa wadai haki kwasababu wao ndio wanaoipa Mamlaka Wawajibikaji na mara nyingi wanalipia huduma wanazopata

    Tunaweza kusema kuwa kuna uwajibikaji wa kidemokrasia katika utoaji huduma pale ambapo wananchi au wawakilishi wao wanahoji au kutoa mrejesho kuhusu huduma za umma halafu watendaji wa kisiasa na watoa huduma ama wayafanyie kazi maoni hayo au wawajibishwe. Kutokana na dhana hiyo ya msingi...
  3. Wa-Tanganyika tuamke, tulinde haki zetu

    Wasalaam wana Jamvi! Moja kwa moja kwenye mada. 1. Hakuna watu wenye raha katika nchi hii kama Wazanzibari. Wao wana privillages nyingi sana katika taifa kuliko mwananchi wa sehemu yoyote. Wao ni kama wana wa Mfamle na Watanganyika ni vijakazi wao. Wana Uhuru wa kuishi upande wowote wa...
  4. Ripoti: Ongezeko la Ufisadi linakandamiza Haki za Binadamu

    Ripoti ya Transparency International inasema janga la COVID-19 limetumiwa na Nchi nyingi kama kisingizio cha kuacha kufanya ukaguzi, ikionya kuwa ipo haja ya kuharakisha mapambano dhidi ya ufisadi ili kudumisha Haki za Binadamu na Demokrasia Imesisitiza Serikali duniani kote zinapaswa kuwa wazi...
  5. Usomaji wa magazeti redioni kurasa ndani ufunguliwe. Wananchi wa vijijini nao wana haki ya kupata habari

    Uhuru wa kupata Habari ni chakula muhimu ambacho kila mtu huiitaji kushiba, awamu iliyopita usomaji wa magazeti redioni katika kurasa za ndani ulifungiwa bila maelezo ya msingi. Kufungiwa habari za ndani za magazeti kupitia redio wengi wa walioathirika ni wananchi wa vijijini ambao ni ngumu...
  6. M

    Jeshi la Polisi Mjitathmini. Tendeni Haki

    Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne. Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo sana. Hawa watu ni watupu. Zaidi wamejivua nguo na wanazidi kujivua nguo hadharani. Walichoweza , ni...
  7. Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

    Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka), Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu...
  8. Mnyonge mnyongeni haki yake wapeni Simba

    Hawa jamaa mpira wanaucheza. Wana aina yao ya mpira ambayo inabaki kuwa yao. Naona toka amekuja huyu coach kama wameanza kukaa sawa. Simba wana cheza mpira mzuri wa kuvutia. Lakini naamini sisi Yanga tutachukua Ubingwa kwa hali na mali. Hilo halina ubishi. Huyu Sakho na Kanoute ni maingizo bora...
  9. Waziri Mhagama pambana na malimbikizo na haki za wastaafu usije kosa baraka hapo Utumishi

    Katika vitu vinaumiza ni mtu kudai malimbikizo yake ya kazi aliyoitolea jasho halafu Fomu zinajazwa hapo wizarani unazikuta zinazagaa mpaka zinapigwa mateke kwa kukosa utaratibu mzuri Ukiingia chumba cha Approvers ni aibu mafomu yametupwa kila mahali na kupelekea kupoteza haki za watu Kuna...
  10. TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

    Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopord Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga. Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza...
  11. T

    Rais ana taarifa nyingi za siri, hakukurupuka kusema wanafanya hivyo kwa sababu ya "2025 fever". Muda ni hakimu wa haki

    Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani. Ndugai amehudumu kama naibu spika kwenye bunge la Makinda lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau kama alivyofanya kwa Rais Samia. Kwa nini...
  12. P

    Haki ya Mungu nimejikuta namkumbuka Magufuli ghafla tu

    Wakati wa Magufuli 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency TANESCO na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante, haki ya Mungu waliikataa Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema...
  13. T

    Tundu Lissu tafadhali simama uhesabiwe katika wanaotetea haki ya Spika kumpinga Rais

    Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the...
  14. Kwanini Ndugai asimuite Samia kuja kujieleza kwenye Kamati ya kudumu ya Haki na Kinga za Bunge?

    Kufuatia matamshi makali na vijembe vizito vilivyotolewa na Samia dhidi ya Ndugai kiasi cha kuleta sintofahamu na kutafsiriwa kama jambo lenye kufedhehesha na kukidhalilisha kiti cha spika wa bunge, nadhani kuna haja ya Ndugai kutumia yale mamlaka yake ya siku zote aliyonayo kikatiba ili kumtaka...
  15. M

    TFF na Karia wachunguzwe. Timu nyingi za ligi kuu masikini.Sababu kuipa haki ya kurusha ligi kuu TV moja tu

    Kwa ufupi tu naomba vyombo vinavyohusika na michezo na rushwa wachunguze mkataba katika ya TFF na TV moja kurusha live matangazo ya ligi kuu tena kwa miaka 10. Gharama walizolipa ni takriban billioni 200 na ushee. Duniani kote hakuna TV moja inayopewa haki bila ya kuzishindanishi tv...
  16. I

    Kwanini kuwepo na vibarua (deiwaka) Tanzania wakati hawana haki zozote kisheria kama sio unyanyasaji?

    Habari wakuu Naomba niwasilishe hii hoja kwenu. Kima cha chini cha mshahara wa deiwaka kilichowekwa kisheria ni tsh 4400 kwa siku hapa nchini kwetu Tanzania. Kwa mkoa wa dar es salaam, mtu ukimlipa hela iyo kwa siku ni kumuonea kulingana na kazi ngumu wanazofanya. Lakini mshahara huo sio hoja...
  17. Je, Kamati ya Haki, Kinga na madaraka ya Bunge itamhoji Spika Ndugai?

    Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge? Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki...
  18. R

    Tuwasaidie Waziri Simbachawene na polisi kutafuta haki

    Kuna wengine zaidi ya Askofu na Zitto ambao wamefunguka na pengine wataendelea kufunguka kuhusu madhila yaliyowakumba. Kwa spirit ya uzalendo, nimeona nitoe mchango wangu kwa vyombo husika kutafuta haki wa ku compile sauti hizo kuwarahisishia kazi ngumu waliyonayo japo kidogo.
  19. C

    Waziri Simbachawene, usijifanye hujaona mahojiano ya Rose Muhando akilituhumu jeshi la polisi na serikali. Mtendeeni haki, washughulikieni watesi wake

    Sina mengi, Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu Simbachawene unajifanya hujaona mateso ya huyu dada. Ni lazima haki itendeke kwa Rose Muhando na...
  20. S

    Kumlipa Clinical Officer laki 6 sio haki hata kidogo

    Clinical officers wanafanya kazi kubwa sana kunusuru Maisha ya watu, kumlipa laki 6 ambayo ni sawa na Tsh elfu 20 kwa siku tena hapo bado makato sio haki hata kidogo. Tukianza na sekondari, huyu alilipa ada kubwa tofauti na wanafunzi wengine wanaosoma michepuo ya biashara na sanaa. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…