haki

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya Miundombinu yataka kuwepo kwa haki ya kusahaulika

    Akiwasilisha mapendekezo Juu ya Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso amesema baada ya kufanya mapitia ya muswada huo na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali wakiwemo JamiiForums amesema ni muhimu kwa sehria hiyo kutambua haki ya...
  2. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inampasa mtoto kumtumia fedha mzazi wake hata kama mzazi hana shida ya pesa?

    Nipo na ajira nashkuru mungu inayofanya nisogeze maisha. Nina mshahara mdogo tu lkn kwa ubachela wangu unanitosha. Mdingi wangu (mzazi pekee nliyebaki nae kwa sasa) ana kipato cha uhakika na hana shida ya pesa ndogondogo. Kipato chake ni mara 5 zaidi ya changu kwa mwezi. Nimekuwa nikiumiza...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Simba SC haimtendei haki beki wa kimataifa, Mohammed Ouatara

    Inashangaza sana mara baada ya beki aliyeisha makali yake, Joash Onyango kupeleka ombi la uhamisho kwa uongozi wa Klabu ya Simba, mambo yakaanza kubadilika kwa beki gwiji raia wa Ivory Coast Mohammed Ouatara, akaanza kusugulishwa benchi mfululizo. Yaani toka kocha "Mzawa" Juma Mgunda atue...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tunamlinda Mzee. Mali ya Baba yako ni Haki yako ya Msingi

    Hakuna haja ya kuuma uma maneno. Watu wana ujinga eti usitegemee urithi au usipigie hesabu Urithi. Ukiona hivyo ujue hawana cha kurithi Mzee aliamua yeye na mama kunizaa. Sikumwomba. So alikuwa amejipanga. Na hakupaswa anizae nije pata shida. Sasa amepata mali eti nisipigie hesabu. Nyie mna...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Shamte umenyamazishwa lakini haki ni asili, itadaiwa tu

    Haki daima huwa ni ya asili ni vigumu kuzuia isidaiwe. Sheria ya maisha ya binadamu huonesha ukweli huo. Marekani walidhani kuwa kumuua Martin Luther King na Malcolm X watakuwa wamefanikiwa kunyamazisha ujumbe wao. Likawa ni kosa lililofanywa na CIA, wakaibuka wapigania haki wengine wa miaka ya...
  7. mama D

    JamiiForums Tanzania Haki sawa kwa jinsia ya kike kama ilivyo ya kiume haimaanishi kwamba tupo sawa kijinsia

    Wanawake tushtuke, kwa asili ya mwanadamu kiimani, kisayansi na kwa desturi mwanaume ni msingi na nguzo ya familia. Wanawake tuendelee kupambana kuwa bora kama wanawake ila tusitamani kuwa wanaume, bali tuwasaidie wanaume kuwa bora zaidi na imara katika nafasi zao. Tukibeba vibaya maana ya...
  8. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Waendesha mashtaka mnapaswa kushikamana na haki, usibadili msimamo hata kama watu wengi wanakupinga

    Shikamana imara na msimamo na usibadilishe msimamo kwa kuwa watu wengi wanakushambulia, au wanakasirishwa na maneno yako. Maadam uko kwenye Haki, basi shikamana nayo na kuwa na msimamo, kwani Haki haishindwi (Na Baatwil). Kwa hiyo, pigania (Haki) hata katika hali ya udhaifu (uko peke yako)...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Haki Tano za Msingi za Malezi Bora ya Watoto

    Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa. Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza haki zao...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kanali Lubinga: Uchaguzi Mkuu wa CCM Jimbo la Hai haukuwa huru na wa Haki

    Mimi ni muumini wa haki . Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki. Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira inawanyima haki watanzania kushiriki usaili wa ajira

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  12. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na Upatu, ukidhurumiwa hutopata haki yako

    JIHADHARI NA UPATU, UKIDHURUMIWA HUTOPATA HAKI YAKO. Siku hizi limeibuka wimbi kubwa la watu wanaojifanya kuanzisha na kuendesha mpango wa uwekezaji wenye faida kubwa huku wakitumia ushawishi kuwarubuni wengine wajiunge katika mpango huo wanaounadi kwamba ni uwekezaji wenye faida kubwa ndani ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya sheria ya haki ya dhamana kupitishwa, Serikali iangalie suala la Polisi kuvizia kukamata mtu Ijumaa ili akae rumande hadi Jumatatu

    Tunashukuru kwamba serikali hatimae imesikiliza kilia cha wananchi cha siku nyingi juu ya kuweka watu mahabusu bila kuwapa haki yao ya dhamana. Udhaifu wa hili ulikuwa pande zote mbili, polisi na mahakama, kwa sababu mahakimu nao pia walikuwa wakiwaendekeza polisi kwa kuachia watu warudishwe...
  14. Don Moen

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ningependa uutendee haki uvaaji wako kama Spika wa Bunge

    Wewe ni kiongozi wa muhimili wa Bunge. Wewe ni mbunge wa Mbeya mjini na mama wa familia, binafsi ninakuheshimu na nina amini⁷ kadhalika na Watanzania wote. Mungu amekujaalia umbo zuri ambalo wanawake wengi wanalitamani kwani wamegundua unene ni mateso. Natamani upate tu mtaalam wa mavazi...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Haki ya kumuona Mtoto baada ya kuachana au kutengana na mzazi mwenzako

    Andiko la Wakili Bashir Yakub kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kabisa. Sheria Namba 21 ya Mwaka 2009 Kifungu cha 38 cha Sheria ya Mtoto kinatoa haki hiyo na mzazi au mlezi anayekaa na mtoto hapaswi kuipinga, muhimu kusiwe na lengo la kumdhuru au kitu...
  16. 2Laws

    JamiiForums Tanzania Wapi tumejisahau tubadilikee?

    Tazama; Tunashuhudia matukio ya kikatili yakiendelea hapa nchini, picha toka mtandaoni ya mwanafunzi aliyechomwa mikono. Tumeshuhudia idadi kubwa ya vijana kupotea ama kufanyiwa ukatili ama kuondolewa baadhi ya viungo vyao sababu ya pesa, Tumeshuhudia kesi za ubakaji na ulawiti wa watoto...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RIPOTI: UN yasema 44% ya ukiukaji wa haki za binadamu ulifanywa na Serikali ya Congo DR

    Ripoti hiyo inasema idadi kubwa ya matukio ya ukatili na mateso imetokea katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na migogoro ya kivita ambapo 44% ya mateso yalifanywa na maafisa wa Serikali wakiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi. Ofisi ya Haki za Binadamu pia imesema kwa kipindi cha Juni 1...
  18. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Haki ya usawa wa kikatiba

    HAKI YA USAWA WA KIKATIBA. Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema binadamu wote ni sawa na kiila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. Kila mtu anayo haki ya kupata heshima na thamani inayostahili utu wake. Ibara ya 13 inasema watu wote ni...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja

    Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja NA BRYAN OTIENO "Muunganiko na muunganiko, hufuatana umbali wa maili elfu moja." Matukio sawa ya kihistoria na ujumbe sawa wa kihistoria umeunganisha kwa karibu China na Afrika, na China na Afrika...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Haki Itendeke; Hili la Mbowe TCRA wafungieni gazeti la Mwananchi kama mlivyofanya kwa Kwanza TV

    Kwanza tv ya maria sarungi iliandika Gwajima apata ajali, ikala rungu la TCRA , soma sababu zake na uniambie kwa nini mwananchi wasile rungu kwa jinsi walivyoandika habari ya mbowe kushinda huko ccm HAKI ITENDEKE, ACHENI DOUBLE STANDARD kilichofanya kwanza tv ikala rungu hiki hapa, bwana Joseph...
Back
Top Bottom