TFF na Karia wachunguzwe. Timu nyingi za ligi kuu masikini.Sababu kuipa haki ya kurusha ligi kuu TV moja tu

Mars 12

JF-Expert Member
Feb 25, 2021
223
500
Kwa ufupi tu naomba vyombo vinavyohusika na michezo na rushwa wachunguze mkataba katika ya TFF na TV moja kurusha live matangazo ya ligi kuu tena kwa miaka 10. Gharama walizolipa ni takriban billioni 200 na ushee. Duniani kote hakuna TV moja inayopewa haki bila ya kuzishindanishi tv zingine.Tunao star times, DSTV, ambao inasemekana waliomba lakini wakakataliwa. Ndio maana timu nyingi ni masikini kwani hawawezi kushindana na timu kubwa simba na yanga. Ilitakiwa iwe hivi, wote hawa 3 wanapewa haki kwa kila tv kutoa ofa halafu wanapewa michezo ya kuonyesha kutokana na malipo.

Ukiwajumlisha hawa 3, mfano azam atatoa bilioni 200, star times bilioni 200, DSTV billioni 300, jumla unapata haki za matangazo pekee bilioni 700. Bado kuna pesa za wadhamini wengine kama NBC N.K timu zenye mapato madogo yatafaidika sana. Angalia ligi kuu ya Uingereza ambayo ni ghali duniani timu zote 18 zinafaidika na matangazo ya tv pekee.Wameshindanishwa hivyo dau likapanda sana.Ligi hiyo almaarufu premier league matangazo pekee ya tv yanawaingizia dola bilioni 12.

Mchakato wao ni wa miaka 3 mitatu tu, sio kumi kama wa TFF, karia na azam. Skysports wana asilimia 60, BT sports 20 na amazon 20. Huu mkataba wa miaka 10 wa Karia, TFF na azam tena kwa miaka 10 unatia shaka sana. Daima yanga, simba, azam ndio watakaotawala.Isitoshe wan'gegawanya kwa TV hizi 3 ajira nyingi zingepatikana.Pia tuna DSTV ambao wanaonekana hadi ulaya, kodi zingeongezeka.Jamani waziri wa michezo amka twende na spidi ya dunia ya sasa. Naomba tena wahusika walichunguze hili suala. Football is top business earner duniani. Hata TRA amkeni. Naomba kuwasilisha.
 
libeva

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
3,960
2,000
Kwa ufupi tu naomba vyombo vinavyohusika na michezo na RUSHWA WACHUNGUZE MKATABA KATIKA YA TFF NA TV MOJA KURUSHA LIVE MATANGAZO YA LIGI KUU TENA KWA MIAKA 10.GHARAMA WALIZOLIPA NI TAKRIBAN BILLIONI 200 NA USHEE.DUNIANI KOTE HAKUNA TV MOJA INAYOPEWA HAKI BILA YA KUZISHINDANISHI TV ZINGINE.TUNAO STAR TIMES,DSTV, AMBAO INASEMEKANA WALIOMBA LAKINI WAKAKATALIWA.NDIO MAANA TIMU NYINGI NI MASIKINI KWANI HAWAWEZI KUSHINDANA NA TIMU KUBWA SIMBA NA YANGA.ILITAKIWA IWE HIVI ,WOTE HAWA 3 WANAPEWA HAKI KWA KILA TV KUTOA OFA HALAFU WANAPEWA MICHEZO YA KUONYESHA KUTOKANA NA MALIPO.UKIWAJUMLISHA HAWA 3,MFANO AZAM ATATOA BILIONI 200,STAR TIMES BILIONI 200,DSTV BILLIONI 300,JUMLA UNAPATA HAKI ZA MATANGAZO PEKEE BILIONI 700.BADO KUNA PESA ZA WADHAMINI WENGINE KAMA NBC N.K TIMU ZENYE MAPATO MADOGO YATAFAIDIKA SANA.ANGALIA LIGI KUU YA UINGEREZA AMBAYO NI GHALI DUNIANI TIMU ZOTE 18 ZINAFAIDIKA NA MATANGAZO YA TV PEKEE.WAMESHINDANISHWA HIVYO DAU LIKAPANDA SANA.LIGI HIYO ALMAARUFU PREMIER LEAGUE MATANGAZO PEKEE YA TV YANAWAINGIZIA DOLA BILIONI 12.MCHAKATO WAO NI WA MIAKA 3 MITATU TU,SIO KUMI KAMA WA TFF,KARIA NA AZAM.SKYSPORTS WANA ASILIMIA 60,BT SPORTS 20 NA AMAZON 20.HUU MKATABA WA MIAKA 10 WA KARIA,TFF NA AZAM TENA KWA MIAKA 10 UNATIA SHAKA SANA.DAIMA YANGA,SIMBA,AZAM NDIO WATAKAOTAWALA.ISITOSHE WAN'GEGAWANYA KWA TV HIZI 3 AJIRA NYINGI ZINGEPATIKANA.PIA TUNA DSTV AMBAO WANAONEKANA HADI ULAYA,KODI ZINGEONGEZEKA.JAMANI WAZIRI WA MICHEZO AMKA TWENDE NA SPIDI YA DUNIA YA SASA.NAOMBA TENA WAHUSIKA WALICHUNGUZE HILI SUALA.FOOTBALL IS TOP BUSINESS EARNER DUNIANI.HATA TRA AMKENI.NAOMBA KUWASILISHA.
Peleka upuuzi wako huko shwaini mkubwa
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
9,431

Ulaya huko kwenye ligi zilizoenda shule Tv rights kwa ligi moja mfano EPL, La Liga, Seriea A l, Bundelsliga, French Leag 1 kuna TV rights zaidi ya moja ambayo inamkataba na chama husika? Na je hizo rights zingine kwenye Tv ambata anatoa nani?
 
Bon-CN

JF-Expert Member
Oct 14, 2020
1,179

Nilivyomwelewa mtoa mada, issue sio TV Rights kupewa kituo kimoja bali kutoa TV Rights bila kushindanisha! Kwamba, je TFF just picked Azam na kupewa hizo tv rights au Azam, Star Times, DStv, na wengineo walishindanishwa lakini Azam ndo akaibuka kidedea?! Na kama hawashindanishi, basi jamaa ana hoja!! Na ukiwasikia TFF walivyoingia mkataba na GSM kuna kila dalili hakuna kushindanisha kwa sababu, kama na kwa Azam walipiga hodi kuomba udhamini kama walivyofanya kwa GSM, ina maana hapakuwa na ushindanishi wowote ule.

Hata hivyo, hoja ni kama kweli ziliwepo taasisi zingine kama hao DSTV ambao nao walitaka hizo tv rights lakini TFF wakafunga vioo?!
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
9,431
2,000
Nilivyomwelewa mtoa mada, issue sio TV Rights kupewa kituo kimoja bali kutoa TV Rights bila kushindanisha! Kwamba, je TFF just picked Azam na kupewa hizo tv rights au Azam, Star Times, DStv, na wengineo walishindanishwa lakini Azam ndo akaibuka kidedea?!
Dstv walishawahi kushindanishwa wakachemka kwa Azam kwa dau na idadi ya mechi watakozoonesha Kama una Dstv kwako angalia ligi za Afrika wanazoonesha na idadi ya mechi kwenye ligi husika, Azam anaupiga Mwingi anatuonesha hata mechi ambazo ni za kawaida kabisa ambapo DStv wasingezionesha
 
Kama ndivyo, basi hatuwezi kuwalaumu Azam!! Na hilo la idadi ya mechi unanikumbusha wakati TBC na wenyewe miaka ya nyuma walivyokuwa wanajifanya kuonesha mechi! Unakuta mechi inaendelea, lakini bunge likianza tu, wanakata matangazo na kujiunga bungeni Dodoma!!
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
9,431
2,000
Nilivyomwelewa mtoa mada, issue sio TV Rights kupewa kituo kimoja bali kutoa TV Rights bila kushindanisha! Kwamba, je TFF just picked Azam na kupewa hizo tv rights au Azam, Star Times, DStv, na wengineo walishindanishwa lakini Azam ndo akaibuka kidedea?!
Dstv walishawahi kushindanishwa wakachemka kwa Azam kwa dau na idadi ya mechi watakozoonesha Kama una Dstv kwako angalia ligi za Afrika wanazoonesha na idadi ya mechi kwenye ligi husika, Azam anaupiga Mwingi anatuonesha hata mechi ambazo ni za kawaida kabisa ambapo DStv wasingezionesha
Kama ndivyo, basi hatuwezi kuwalaumu Azam!! Na hilo la idadi ya mechi unanikumbusha wakati TBC na wenyewe miaka ya nyuma walivyokuwa wanajifanya kuonesha mechi! Unakuta mechi inaendelea, lakini bunge likianza tu, wanakata matangazo na kujiunga bugeni Dodoma!!
Azam wamejitahidi kuutangaza mpira wetu ndani na nje ya nchi wana Channel mbili za mpira wa ndani ambapo Tv za TBC, ITV, GO TV walishindwa kuonesha, wamepangilia mechi kiasi kwamba tunaziona zote nachowaomba Azam ni kuongeza channel ya 3 ili waondoe mechi za saa 8 mchana haswa katika ukanda wa pwani hazina maana kwasababu ya jua na joto kali, hivyo mechi ziwe zinaanza saa 10 jioni hadi saa 6 usiku maana maeneo kama Dodoma mechi inaweza kuanza saa 4 usiku kwasababu hakuna foleni kali na mji haujapanuka sana na hata pale Mbeye CCm ikiweka taa kwenye uwanja wao basi tunaweza kuangalia mechi hadi saa 6 usiku
 
libeva

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
3,960
2,000
Nilivyomwelewa mtoa mada, issue sio TV Rights kupewa kituo kimoja bali kutoa TV Rights bila kushindanisha! Kwamba, je TFF just picked Azam na kupewa hizo tv rights au Azam, Star Times, DStv, na wengineo walishindanishwa lakini Azam ndo akaibuka kidedea?! Na kama hawashindanishi, basi jamaa ana hoja!! Na ukiwasikia TFF walivyoingia mkataba na GSM kuna kila dalili hakuna kushindanisha kwa sababu, kama na kwa Azam walipiga hodi kuomba udhamini kama walivyofanya kwa GSM, ina maana hapakuwa na ushindanishi wowote ule.

Hata hivyo, hoja ni kama kweli ziliwepo taasisi zingine kama hao DSTV ambao nao walitaka hizo tv rights lakini TFF wakafunga vioo?!
Tender ilitangazwa akashinda AzamTV hao wengine walichemka
 
Bon-CN

JF-Expert Member
Oct 14, 2020
1,179
2,000
Dstv walishawahi kushindanishwa wakachemka kwa Azam kwa dau na idadi ya mechi watakozoonesha Kama una Dstv kwako angalia ligi za Afrika wanazoonesha na idadi ya mechi kwenye ligi husika, Azam anaupiga Mwingi anatuonesha hata mechi ambazo ni za kawaida kabisa ambapo DStv wasingezionesha

Azam wamejitahidi kuutangaza mpira wetu ndani na nje ya nchi wana Channel mbili za mpira wa ndani ambapo Tv za TBC, ITV, GO TV walishindwa kuonesha, wamepangilia mechi kiasi kwamba tunaziona zote nachowaomba Azam ni kuongeza channel ya 3 ili waondoe mechi za saa 8 mchana haswa katika ukanda wa pwani hazina maana kwasababu ya jua na joto kali, hivyo mechi ziwe zinaanza saa 10 jioni hadi saa 6 usiku maana maeneo kama Dodoma mechi inaweza kuanza saa 4 usiku kwasababu hakuna foleni kali na mji haujapanuka sana na hata pale Mbeye CCm ikiweka taa kwenye uwanja wao basi tunaweza kuangalia mechi hadi saa 6 usiku
Sina shaka hata chembe juu ya uwezo na commitment ya Azam Sports, na ukweli ni kwamba, ingawaje mkataba ni mrefu sana lakini sioni any tv station or media house ambayo ingeweza kufanya ilichofanya Azam Media in terms of ukubwa wa ufadhili (monetary value) na commitment ya kuhakikisha wanaonesha karibu kila mechi! Hakuna kwa sasa ambae angeweza kufanya anayofanya Azam
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
9,431
2,000
Sina shaka hata chembe juu ya uwezo na commitment ya Azam Sports, na ukweli ni kwamba, ingawaje mkataba ni mrefu sana lakini sioni any tv station or media house ambayo ingeweza kufanya ilichofanya Azam Media in terms of ukubwa wa ufadhili (monetary value) na commitment ya kuhakikisha wanaonesha karibu kila mechi! Hakuna kwa sasa ambae angeweza kufanya anayofanya Azam
Kweli kabisa Azam media imelenga katika kuuza kifurushi cha kuonesha mechi za ndani, na kuuza decoder zao maana population inaongezeka hivyo hata mahitaji ya vingi'amuzi yataongezeka hiyo miaka 10 watakuwa na faida kubwa na usije ukashangaa ndani ya miaka 5 mkataba wakarenewal business inamambo mengi sana future projection ni muhimu sana
 
Bon-CN

JF-Expert Member
Oct 14, 2020
1,179
2,000
Kweli kabisa Azam media imelenga katika kuuza kifurushi cha kuonesha mechi za ndani, na kuuza decoder zao maana population inaongezeka hivyo hata mahitaji ya vingi'amuzi yataongezeka hiyo miaka 10 watakuwa na faida kubwa na usije ukashangaa ndani ya miaka 5 mkataba wakarenewal business inamambo mengi sana future projection ni muhimu sana
Ni kweli! Yaani kama ambavyo DSTV wanavyobebwa sana na EPL ndivyo Azam wanavyobebwa sana Ligi yetu! Asilimia kubwa wanaonunua ving'amuzi vya Azam, target yao ni ligi ya ndani!
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
9,431
2,000
Ni kweli! Yaani kama ambavyo DSTV wanavyobebwa sana na EPL ndivyo Azam wanavyobebwa sana Ligi yetu! Asilimia kubwa wanaonunua ving'amuzi vya Azam, target yao ni ligi ya ndani!
Kweli kabisa DStv ni EPL kwa makoloni wa Waingereza, La Liga kwa makoloni ya Spain na Seriea A, na Uefa Champions league na Europa League, sasa Azam ni ligi yetu Ligi ya Ujerumani na Ufaransa, Azam ametangaza sana ligi ya Tanzania, Rwanda nk kwa Afrika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom