Utawala wa Trump umetangaza kwamba unamwekea vikwazo Francesca Albanese, mpelelezi huru aliyeteuliwa kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu katika maeneo ya Wapalestina, ikiwa ni juhudi ya hivi karibuni ya Marekani kuwaadhibu wakosoaji wa vita vya Israel ambavyo vimedumu vya miezi 21 sasa huko...
TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI
TAMKO LA TUME KUHUSU MALALAMIKO YA KUPIGWA KWA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO LINALODAIWA KUFANYWA NA ASKARI WA MAMLAKA WA MJI MKONGWE ΚΑΤΙΚΑ ENEO LA DARAJANI, WILAYA YA MJINI, MKOA WA MJINI MAGHARIBI, UNGUJA - ZANZIBAR BAINA YA TAREHE 26 NA 27 JUNI, 2025
Tume ya Haki...
Wanaume takriban 20 wenye silaha walivamia makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu nchini Kenya siku ya Jumapili wakati taasisi hiyo ikiwa inajiandaa kufanya mkutano na waandishi wa habari uliolenga kuitaka Serikali ya Kenya kusitisha ukatili dhidi ya raia wake
Kupitia video ya CCTV, wanaume...
Kituo cha haki za binadamu LHRC kutoa msaada wa dhamana kwa watanzania wasio na hatia kunyimwa haki yao ya kuabudu kunachafua taswira zaidi ya nchi.
Ni wazi kuzuiwa kwa mamia ya watanzania kufanya ibada bila kosa kwa sababu za kisiasa ni kosa kubwa sana ni kama mamlaka iliyopo madarakani...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefanikiwa kusaidia dhamana ya waumini 52 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima waliokamatwa na Jeshi la Polisi tarehe 29 Juni 2025 katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam
Soma Pia: Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa...
“Mashoga Wanasema Wanataka Haki Zao, Lakini Kabla Hatujaanza Kujadili Hizo Haki, Tuwajadili Wao Kama Jumuiya”
Nianze kwa kusema jambo moja, kwa sauti ya juu na kwa tahadhari ya tahadhari: Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Waafrika, Watanzania, watu wa tabaka la wanaojiona bado tuna...
Katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia mathalani nchini Tanzania, vyama vya siasa vina nafasi ya kipekee katika kuongoza mchakato wa kisiasa na kutoa dira ya maendeleo kwa taifa. Hata hivyo, hali ya sasa ni ya hatari Kwa sababu misimamo ya ndani ya vyama hususani chama Cha mapinduzi, maarufu...
Imefika wakati jeshi lijitokeze na kutoa msimamo kama wanaunga mkono upotoshaji wa haki na kunyamaza wakati watanzania wanatekwa na vyombo vingine na wanasiasa wananyima haki. Au Jeshi litoe msimamo kwamba Tanzania katiba inatakiwa kufuata ikiwa ni pamoja na kuwa na uhuru wa kupiga kura...
Akizungumza mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema kwamba amejiunga na Chama hicho kwa lengo la kuongeza wigo wa maeneo ambayo anaweza kupigania haki na utawala wa Sheria hususani Katiba Mpya...
"Leo tunajivunia Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao umeakisi utawala bora, weledi, uwajibikaji, uaminifu na ujumuishi, umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria, haki za binadamu, na uwazi unaozingatia usawa, na maendeleo ya kila mwananchi"
"Kwa nafasi yetu...
Nipo mjini huko youtube, wanaharakati wachache waliokamatwa huku kwetu wamezua balaa na umoja wa ajabu kukemea tukio hilo, huwa tunasega IME - BACKFIRE.
Kweli ile nchi kuiongoza ni ngumu, Kuna watu walioelimika na wana ukichaa flani hivi linapokuja suala la kutetea haki zao.
Ni juzi tu hapo...
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania.
katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
Mandhari ya haki za binadamu na uhuru wa kisiasa nchini Tanzania yanaweza kuathiri ikiwa Lissu atakabiliwa na mashtaka ya Uhaini, Njia ya nchi katika kukabiliana na upinzani na wapinzani inaweza kubadilika, na matukio mapya yanaweza kutokea ambayo yanaweza kusababisha mashtaka au taratibu...
Waliokuja Tanzania walikuja kusikiliza kesi ya Lissu, kila mmoja anajua, wakazuiwa airport sio kwa muujibu wa sheria za nchi bali ni kwa matamko ya mamlaka wanadai wamekuja kufanya vurugu, hawakuja na bunduki, hawakuwa na mapanga, hawakuwa na kitu gani halafu Samia unasema wamekuja kufanya...
Rais Samia atajifichia wapi sura yake wakati huu dunia ikimnyooshea vidole kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kwenye utawala wake wakuelekea uchaguzi mkuu halafu baadae asimame aseme na yeye eti ni rais wa Tanzania aliyechaguliwa kidemokrasia ?
Sasa kama watanzania hawakutaki na dunia...
Kukamatwa kwa Tundu Lissu mnamo Aprili 9, 2025, kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa mashirika ya haki za binadamu na jumuiya ya kimataifa. Mashirika haya yameelezea wasiwasi wao kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu na kudhoofika kwa demokrasia nchini Tanzania.
Kauli za Mashirika ya Haki za...
Uhuru wa Kujieleza:
Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa kwa waandishi wa habari.
Pia kulikuwa na Vikwazo dhidi ya uhuru wa kisanii na ubunifu. Ingawa...
Haki za kiraia na kisiasa nchini Tanzania mwaka 2024 zilikumbwa na changamoto mbalimbali zikiwemo vurugu za wananchi, mauaji yasiyo ya kisheria, mauaji yanayochochewa na imani za kishirikina, mauaji ya wenza wa karibu, kutoweka kwa watu, na adhabu ya kifo.
Pia kulikuwepo ukatili dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.