Gen Z waombe msaada wa pesa hizo billion zilizo zuiwa kwa serikali ya Samia kwa kupitia mashirika ya haki za binadamu katika kipindi hiki cha misiba.
Kuna fedha nyingi sana takribani billion 200 zimezuiwa kutolewa kwa serikali ya Tanzania kwa mauwaji waliyofanya.
Hii ni nafasi ya gen Z kutumia...
Kwenye hii resolution ya EU Kwa Tanzania, watu wame base Kwa misaada tu.
Ila hili la kuweka vikwazo vya kusafiri na kutaifisha Mali/ fedha za wanaovunja haki za binadamu Tanzania ni mwiba mchungu Kwa Tanzania.
Unadhani ni viongozi Gani watawekewa travel ban na EU.
Kesho resolution...
Wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Maduhu William amesema kuwa hadi sasa hakuna ushahidi unaoonesha kuwapo kwa mtuhumiwa yeyote ambaye si raia wa Tanzania miongoni mwa mamia ya vijana waliokamatwa kutokana na maandamano na vurugu...
Kesi hii imefunguliwa na TLs kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar (Dar es Salaam Sub-registry) kupinga uhalali wa amri ya kutotoka nje (curfew) IGP Wambura tarehe 29 Oktoba 2025, ambayo baadaye ilifutwa na Rais tarehe 3 Novemba 2025.
TLS wanaiomba Mahakama itamke kwamba amri hiyo...
Serikali ya Samia inaendelea kubangazwa haswaaa! Hadi wachilie bomba!
=================
“Watetezi wa haki za binadamu wanaitaka serikali kuwaachia watu 5,000 waliokamatwa na kushikiliwa kinyume cha sheria tunataka kuona ya kikoma mara moja
Lakini pia tunataka kuona mauwaji, utekaji nyara na...
Kupitia ukurasa wa mtandao wa instagrama Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imetoa taarifa ya kuhusu wafanyakazi wake kuvamiwa jana Novemba 12, 2025 wakati wakiendelea na majukumu yao katika Hoteli ya Whitesands Jijini Dar es Salaam ambapo walinyanganywa vitendea kazi na leo Novemba...
https://www.amnesty.org/en/petition/demand-accountability-for-the-repression-in-tanzania/
Taka Uwajibikaji Nchini Tanzania
Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mamlaka za Tanzania zimekuwa zikinyamazisha kwa makusudi sauti za upinzani kwa kulenga wakosoaji wa serikali, waandishi wa habari, asasi...
Policy Forum inasikitishwa na taarifa za vifo vya wananchi, ukiukwaji wa haki za binadamu na changamoto nyingine za utawala bora zilizojitokeza katika kipindi kilichofuata baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Tunaungana na Watanzania wote kuomboleza wale waliopoteza maisha na tunatoa pole kwa familia...
Wanabodi
Kitendo cha Tanzania kuzima internet kwa siku 5 mfululizo toka siku ya uchaguzi mkuu, kimepelekea Tanzania kubalaswa kimataifa, kuwa uzimaji huo wa internet sio tuu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, bali pia umesababisha hasara kubwa za ma bilioni ya pesa.
Hii ni taarifa ya taasisi ya...
TAARIFA KWA UMΜΑ
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025.
Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza...
Oktoba 31, 2025
Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania.
Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
Ndugu Raia wa Afrika Mashariki,
Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote.
Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
Chazo cha mitandao kuzimwa nchi ni kuwa mashirika ya kutetea haki yameikandamiza serikali kuhusu uchaguzi usiohaki.
Kufika kesho mitandao yote iliobaki itazimwaaa kbs.
Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa 12 asubuhi !! Hahaha aya huon muda mimi nitakuwa nimelala
Rhoda Jonathan (46), mkazi wa Kitongoji cha Burunga, Kata ya Uwanja wa Ndege, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameripotiwa kuuawa kikatili kwa kukatwa mapanga hadi kufa.
Marehemu alikuwa mke wa Mhandisi Wilson Charles, Meneja wa TARURA - Kagera, ambapo wawili hao wamejaliwa watoto watatu...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa.
Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinasikitishwa na kuendelea kwa matukio ya utekaji na kupotea kwa watu nchini. Tukio la hivi karibuni la kutoweka kwa Ndugu Humphrey Polepole na mengine yanayofanana nalo yanaibua maswali mazito kuhusu usalama wa wananchi na uwajibikaji wa vyombo vya...
Inawezekana kweli ndio walomteka Shyrose na Kumuua , inawezekana ni kweli kabisa
Kwanini wafariki wakiwa mikononi mwa Polisi?
Ni wazi, Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea, katika Intelijensia , Huenda Polisi wangewatumia Hawa watu kuprove MADAI Yao ya Kila siku kua Wanaotekwa, ni...
Siyo siri, kuna watu wana roho ngumu, si mchezo!
Kipi si kweli katika makala hiyo?
Yanatokea Tanzania leo haya?
Kwamba ni kwa uchu tu wa madaraka? Looh!
Tukiwashangaa kina M7 na wenzao, kumbe hao walikuwa cha mtoto!
======
Tanzania: Deepening Repression Threatens Elections
Stop Wrongful...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeendesha mafunzo kwa Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuhusiana na uzingatiwaji wa haki za binadamu na misingi ya Utawala Bora katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na Askari hao leo Septemba 17, 2025, Makamu Mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.