haki za binadamu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu; Mkurugenzi wa sheria, katiba na haki za binadamu CHADEMA anatoa ufafanuzi wa kilichotokea

    10 January 2026 MAZITO YAFAFANULIWA https://m.youtube.com/watch?v=sVw34Jl61eg Advocate Gaston Shundo Garubindi anajibu masuala mbalimbali ktk interview exclusive na Jambo TV yanayogusia ikiwemo kwa uchache ktk mengi Criminal case / kesi Jinai huwa hazitakiwi kusimama session zake hata kama...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa Haki za Binadamu nchini Venezuela chini ya Nicolás Maduro

    Tangu Nicolás Maduro achukue hatamu za uongozi mwaka 2013, Venezuela imepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijamii ambayo imesababisha shutuma nzito za ukiukwaji wa haki za binadamu. Mashirika ya kimataifa yamekuwa yakiandika ripoti mbalimbali zinazoonyesha mbinu za kimfumo zinazotumiwa na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania John Locke: Serikali yoyote duniani inayokiuka haki za binadamu lazima ipinduliwe

    Hii ni falsafa ambayo iliandikwa karne ya kumi na sita na mwanafalsa John Locke wa uingereza . Kwamba kwenye kutawala serikali huwekwa madarakani na wananchi . Serikali inapokuwa madarakani inatakiwa kulinda haki za msingi za raia wake; Haki za kuishi, uhuru wa kutoa maoni n.k Huu ndio msingi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Polisi Uganda wamkamata mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu kuelekea uchaguzi mkuu 2026

    Polisi nchini Uganda wamesema wamemkamata mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, hatua inayokuja wakati serikali ya Rais wa muda mrefu Yoweri Museveni ikiendelea kuimarisha ukandamizaji dhidi ya wapinzani na sauti za upinzani, kuelekea uchaguzi mkuu wa Januari 15, 2026 Kukamatwa kwa Sarah...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la Lissu kuzuiwa kwa muda mrefu bila kupelekwa mahakamani wakati kesi yeke ni kubwa halikubaliki na ni kinyume cha sheria na haki za binadamu

    Suala la lissu kuzuiwa kwa muda mrefu bila kupelekwa mahakamani wakati kesi yeke ni kubwa halikubaliki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu. Sheria za nchi hazipaswi kuchezewa na kupuuzwa na wapumbavu lazima watawajibika kwa matendo yao hakuna atakaye kwepa nguvu ya sheria.
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkurugenzi wa Haki za Binadamu UN leo anatarajia kupendekeza vikwazo kwa viongozi wa Tanzania

    GEVEVA: UN Human Rights Chief Volker Turk will hold a press conference on 10 December, at 10:30am CET, addressing human rights challenges around the world. Mtakumbuka 11 November 2025 Turk alisema, Tanzania Election-related killings and other violations must be investigated - Volker Türk...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania NGOs 30 za kimataifa zimeliandikia Baraza la Haki za Binadamu UN kuitisha kikao Maalumu kuzungumzia hali inayoendelea Tanzania

    Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi. Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange amwandikia barua Trump kuhusu kufungwa kwa akaunti zake na Meta baada ya kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Mange Kimambi amemuandikia barua Rais wa Marekani, Donald Trump, akimueleza kwamba akaunti zake za Meta—ikiwemo Instagram, ukurasa wa habari anaouendesha, na namba yake ya WhatsApp—zimefungwa baada ya kuzitumia kufichua ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Tanzania, huku akihimiza...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuwaorodheshe hapa wahusika wa uvunjaji wa haki za Binadamu

    Wananchi wenzangu, poleni sana kwa unyama tunaoupitia kabla na baada ya uchafunzi mkui. Bila kupoteza muda nawaomba tuwataje wale wote wanaohusika na uvunjwaji wa haki za Binadamu. Lengo ni kiwasaidia wanasheria na watetezi wa haki za binadamu kuwajumuisha kwenye kesi inayotarajiwa mahakama ya...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Gen Z waombe msaada wa pesa hizo billion zilizo zuiwa kwa serikali ya Samia kwa kupitia mashirika ya haki za binadamu katika kipindi hiki cha misiba

    Gen Z waombe msaada wa pesa hizo billion zilizo zuiwa kwa serikali ya Samia kwa kupitia mashirika ya haki za binadamu katika kipindi hiki cha misiba. Kuna fedha nyingi sana takribani billion 200 zimezuiwa kutolewa kwa serikali ya Tanzania kwa mauwaji waliyofanya. Hii ni nafasi ya gen Z kutumia...
  12. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Umoja Wa Ulaya kuweka vikwazo vya kusafiri na kufungia account za wale wote wanaohusika na kuvunja haki za binadamu

    Kwenye hii resolution ya EU Kwa Tanzania, watu wame base Kwa misaada tu. Ila hili la kuweka vikwazo vya kusafiri na kutaifisha Mali/ fedha za wanaovunja haki za binadamu Tanzania ni mwiba mchungu Kwa Tanzania. Unadhani ni viongozi Gani watawekewa travel ban na EU. Kesho resolution...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili wa haki za binadamu: Watuhumiwa maandamano Dar hakuna raia wa kigeni

    Wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Maduhu William amesema kuwa hadi sasa hakuna ushahidi unaoonesha kuwapo kwa mtuhumiwa yeyote ambaye si raia wa Tanzania miongoni mwa mamia ya vijana waliokamatwa kutokana na maandamano na vurugu...
  14. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TLS yawashtaki IGP, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kufuatia amri ya kutotoka nje Oktoba 29, 2025

    Kesi hii imefunguliwa na TLs kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar (Dar es Salaam Sub-registry) kupinga uhalali wa amri ya kutotoka nje (curfew) IGP Wambura tarehe 29 Oktoba 2025, ambayo baadaye ilifutwa na Rais tarehe 3 Novemba 2025. TLS wanaiomba Mahakama itamke kwamba amri hiyo...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watetezi wa haki za binadamu wanaitaka serikali kuwaachia watu 5,000 waliokamatwa na kushikiliwa kinyume cha sheria

    Serikali ya Samia inaendelea kubangazwa haswaaa! Hadi wachilie bomba! ================= “Watetezi wa haki za binadamu wanaitaka serikali kuwaachia watu 5,000 waliokamatwa na kushikiliwa kinyume cha sheria tunataka kuona ya kikoma mara moja Lakini pia tunataka kuona mauwaji, utekaji nyara na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 LHRC: Wafanyakazi wetu wamevamiwa na kunyang'anywa vitendea kazi usiku wa Novemba 12

    Kupitia ukurasa wa mtandao wa instagrama Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imetoa taarifa ya kuhusu wafanyakazi wake kuvamiwa jana Novemba 12, 2025 wakati wakiendelea na majukumu yao katika Hoteli ya Whitesands Jijini Dar es Salaam ambapo walinyanganywa vitendea kazi na leo Novemba...
  17. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Saini petition hii Toka shirika la haki za binadamu duniani ili kuilazimisha Dunia na jumuia zote kumuadhibu SAMIA kwa mauaji ya watanganyika

    https://www.amnesty.org/en/petition/demand-accountability-for-the-repression-in-tanzania/ Taka Uwajibikaji Nchini Tanzania Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mamlaka za Tanzania zimekuwa zikinyamazisha kwa makusudi sauti za upinzani kwa kulenga wakosoaji wa serikali, waandishi wa habari, asasi...
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Policy Forum yalaani ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, matumizi makubwa ya nguvu na kuuliwa kwa watu wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Policy Forum inasikitishwa na taarifa za vifo vya wananchi, ukiukwaji wa haki za binadamu na changamoto nyingine za utawala bora zilizojitokeza katika kipindi kilichofuata baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Tunaungana na Watanzania wote kuomboleza wale waliopoteza maisha na tunatoa pole kwa familia...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuzimwa kwa Internet kipindi cha Uchaguzi ni ukiukwaji wa haki za Binadamu na imesababisha hasara kubwa

    Wanabodi Kitendo cha Tanzania kuzima internet kwa siku 5 mfululizo toka siku ya uchaguzi mkuu, kimepelekea Tanzania kubalaswa kimataifa, kuwa uzimaji huo wa internet sio tuu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, bali pia umesababisha hasara kubwa za ma bilioni ya pesa. Hii ni taarifa ya taasisi ya...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 LHRC: Tume huru ichunguze mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu Uchaguzi Mkuu 2025 na wahusika wawajibishwe

    TAARIFA KWA UMΜΑ Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025. Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza...
Back
Top Bottom