haki za binadamu

  1. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tamko la Tume ya Haki za Binadamu (THBUB) kuhusu matukio yanayohusiana na uvunjifu wa Haki za Binadamu yaliyotokea karibuni

    Katika kipindi cha takriban mwezi mmoja na nusu, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imekuwa ikifuatilia kwa karibu matukio mbali mbali ambayo yamekuwa yakijitokeza nchini. THBUB baada ya kufanya tathmini kuhusu matukio hayo kwa mujibu wa Katiba na Sheria ya THBUB, imejiridhisha...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu 'Kurejea kwa watu wasiojulikana'

    https://www.youtube.com/live/IKo0vWFgOXo?si=VROW5KWJw-PEMKcw Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), leo Mei 5, 2025 kimezindua ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini kwa mwaka 2024. Ripoti hiyo imezinduliwa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ripoti ya 23 tokea walipoanza utaratibu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa na Kamisheni ya Afrika ya haki za binadamu kwa kukuza na kulinda haki za kiraia

    Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna Nchini ya Tanzania inavyokuza na kulinda Haki za Kiraia, Kisiasa, Kiuchumi, Kiutamaduni na Kijamii. Hayo yamewekwa bayana na Mwenyekiti wa Kamisheni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Taasisi zinazotetea haki Tanzania ziyaombe Mataifa ya Ulaya kufikisha malalamiko juu ya Ukiukaji wa Haki za Binadamu UN Security Council

    Ili kuepuka maafa ambayo mazingira yake yanatengenezwa kwa kasi na watawala na Serikali, ikihusisha: 1. Utekaji wa wanaokemea udhulumaji wa haki za Wananchi 2. Upotezwaji wa wanaokosoa udhulumaji wa haki za wananchi. 3. Mauaji ya wanaokosoa mifumo ya ugandamizaji haki, na vitendo vya...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanaJamiiForums unayekubaliana na sera za Rais Samia kuhusu haki za binadamu unajidanganya

    Rais Samia ndiye kiongozi wa ajabu tumewahi kushuhudia na mbaya sana, mbaya sana ni mwanamke. Ndiye kiongozi ambaye mtu anapotea au kuuawa kwa mazingira tatanishi ya kisiasa kisha anakuja na kusema ni vijidrama. Mambo ya kinyama kusema kweli. Ndiye Rais ambaye kiongozi wa kidini kashambuliwa...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani walaani Padri Kitima kushambuliwa, walaani vitendo vinavyolenga kunyamazisha wito wa haki, maridhiano, na haki za binadamu

    TAMKO LA UBALOZI KUHUSU SHAMBULIO DHIDI YA PADRI CHARLES KITIMA Kufuatia shambulio la kushtua na la kikatili dhidi ya Padri Charles Kitima, tunaungana na Watanzania na kutoka kila upande wa kisiasa kumuombea apone kabisa na kulaani vikali vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
  7. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tamko la tume ya haki za binadamu na utawala bora maadhimisho ya siku ya wafanyakazi

    Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,THBUB yatoa tamko Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025 Tarehe 1 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Maadhimisho...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  9. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliahidi kuvunja haki na ametekeleza azima yake kupitia jeshi la polisi

    Kanuni kuu ya kimaadili kwamba, malengo mazuri hayapaswi kuhalalisha mbinu haramu, ni kanuni ya kweli siku zote, sehemu zote na kwa watendaji wote. Ni kwa sababu hii tunasema kwamba, vyombo vya dola havina mamlaka ya kuzuia uhalifu kwa kufanya uhalifu. Lakini, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LHRC: Kukamatwa kwa John Heche sio sawa ni kinyume na haki za binadamu

    Utaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko Kariakoo kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti John Heche tumeona namna ambavyo...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roland Ebole (Amnesty International): Wananchi tutambue nguvu tuliyonayo katika kutokomeza ukandamizaji wa demokrasia

    Wakuu, Kengele nyingine hiyo kwa Watanzania kuamka na kurudisha uwajibikaji na kuchochea utawala bora. ==== Roland Ebole Amnesty International asema ni muda sasa kwa wananchi kutambua kwamba tupo wenyewe, ni muda wa wanachi kuelewa nguvu tuliyonayo kwenye masuala yote haya na kuungana pamoja...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roland Ebole (Amnesty International): Uminywaji wa Demokrasia Afrika Mashariki utaisha endapo wananchi wataungana

    Wakuu, Suala la Lissu na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa maoni Tanzania linazidi kusambaa, Watanzania huu ndio muda wa kuamka na kuhakikisha kuna utawala wa sheria wa haki. ===== Mtafiti wa Kikanda wa Amnesty International kwa Afrika Mashariki, Roland Ebole akiwa katika mahojiano leo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wassira; Sisi ni waumini wa Haki za binadamu lakini hatuwezi kulinda Haki ya Mtu mmoja itakayopelekea kuvunja Haki za watu wengi!

    Mzee Wassira amesema huko duniani wanahimiza kuheshimu haki za binadamu na Tanzania tumesaini lakini hatuwezi kulinda Haki ya mtu mmoja itakayopelekea kuvuruga Haki za watu wengi Wassira alikuwa anazungumza na wanaccm wa Tabora Souce: Jambo tv
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya haki za binadamu na sheria Afrika Mashariki watoa waraka unaomtaka Rais Samia amuachie Tundu Lissu

    Wakuu, Sakata la Tundu Lissu kukamatwa na kuwekwa ndani kwa uahini limeendelea kuchukua sura mpya. Siku ya leo taasisi za haki za binadamu na sheria kutokea Afrika Mashariki yameungana na kutoa waraka wa pamoja wa kukemea na kulaani kukamatwa kwa Tundu Lissu. Waraka huo ambao umesainiwa na...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Chochote kikimpata Lissu akiwa gerezani Rais Samia utaijibu Dunia, tunafika Bunge la Umoja wa Ulaya tuoneshe uhalisia wenu

    Wakuu, Mambo ni motooo! ==== Heche amaesema lolote likimpata lissu akiwa gerezani Samia si tu atawajibu Watanzania bali ataijibu Dunia. Heche amesema suala la Lissu linafika kimataifa, wakili wake wa kimataifa Robert Amsterdam amesema kuanzia jumatatu suala la Lissu litafita bunge la umoja...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  17. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

    Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche. Tukio hilo lilitokea usiku wa jana mkoani Njombe, katika...
  18. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Miaka Minne ya Rais Samia Imeimarisha Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametekekeleza kwa vitendo haki za binadamu Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Miaka 4 ya Rais Samia Haki za Binadamu zimetekelezwa kwa vitendo

    WAZIRI wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza kwa vitendo haki za binadamu. Waziri Ndumbaro amesema hayo Leo Machi 19, 2025 Jijini Dar Es Salaam...
  20. The Watchman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya aliyekamatwa na dawa za kulevya Vietnam kunyongwa Machi 17, 2025

    Margaret Nduta Macharia (37), raia wa Kenya aliyekamatwa mwaka 2023 nchini Vietnam na dawa za kulevya kilogramu mbili za Cocaine, anatarajiwa kunyongwa hadi kufa kesho Jumatatu Machi 17, 2025. Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Nation, Margaret aliyepewa hukumu hiyo Machi 6, 2025 alisema alipewa...
Back
Top Bottom