haki za binadamu

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umoja wa Mataifa: Kamisheni ya Haki za Binadamu yasikitishwa na Vifo na Majeruhi katika Uchaguzi wa Tanzania

    Oktoba 31, 2025 Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
  2. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tamko la Tume ya Haki za Binadamu Kenya: Hakuna Uchaguzi Unaofanyika Tanzania Leo 29 Oktoba 2025

    Ndugu Raia wa Afrika Mashariki, Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote. Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mashirika ya haki za binadamu yatilia shaka uchaguzi mkuu Tanzania

    Chazo cha mitandao kuzimwa nchi ni kuwa mashirika ya kutetea haki yameikandamiza serikali kuhusu uchaguzi usiohaki. Kufika kesho mitandao yote iliobaki itazimwaaa kbs. Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa 12 asubuhi !! Hahaha aya huon muda mimi nitakuwa nimelala
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mara: Boss wa TARURA ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauji ya mke wake

    Rhoda Jonathan (46), mkazi wa Kitongoji cha Burunga, Kata ya Uwanja wa Ndege, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameripotiwa kuuawa kikatili kwa kukatwa mapanga hadi kufa. Marehemu alikuwa mke wa Mhandisi Wilson Charles, Meneja wa TARURA - Kagera, ambapo wawili hao wamejaliwa watoto watatu...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Haki za Binadamu haziruhusu kuzuia wengine kwenda Kupiga Kura, atakayefanya hivyo Sheria inaruhusu ashughulikiwe

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa. Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Yasikitishwa na Matukio ya Utekaji na Kupotea kwa Watu Nchini

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinasikitishwa na kuendelea kwa matukio ya utekaji na kupotea kwa watu nchini. Tukio la hivi karibuni la kutoweka kwa Ndugu Humphrey Polepole na mengine yanayofanana nalo yanaibua maswali mazito kuhusu usalama wa wananchi na uwajibikaji wa vyombo vya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu: Kuna viashiria vya wananchi kutokuwa na imani na Vyombo vya Usimamizi wa Haki

  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TLS na Watetezi wote wa HAKI za Binadamu, tuwasaidie ndugu wa watuhumiwa watatu walioripotiwa na RPC Mbeya kuwa Wamefariki

    Inawezekana kweli ndio walomteka Shyrose na Kumuua , inawezekana ni kweli kabisa Kwanini wafariki wakiwa mikononi mwa Polisi? Ni wazi, Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea, katika Intelijensia , Huenda Polisi wangewatumia Hawa watu kuprove MADAI Yao ya Kila siku kua Wanaotekwa, ni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiukwaji wa haki za binadamu kuelekea 29/10/2025 waangaziwa na Human Rights Watcho. Ama kwa hakika si kwa roho ngumu hizi!

    Siyo siri, kuna watu wana roho ngumu, si mchezo! Kipi si kweli katika makala hiyo? Yanatokea Tanzania leo haya? Kwamba ni kwa uchu tu wa madaraka? Looh! Tukiwashangaa kina M7 na wenzao, kumbe hao walikuwa cha mtoto! ====== Tanzania: Deepening Repression Threatens Elections Stop Wrongful...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 THBUB yatoa Mafunzo kwa Polisi Arusha Kuhusu Haki za Binadamu na Utawala Bora kuelekea Uchaguzi 2025

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeendesha mafunzo kwa Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuhusiana na uzingatiwaji wa haki za binadamu na misingi ya Utawala Bora katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza na Askari hao leo Septemba 17, 2025, Makamu Mwenyekiti wa...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria akiwakumbusha Pakistan na Qatar kuhusu ugaidi baada ya kuilaumu Israel

    Ebu tazama mwanasheria wa haki za binadamu katika kikao cha UN akiwakumbusha Pakistan na Qatar kuwa wao ndio sponsa wa ugaidi baada ya kuilaumu Israel
  12. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Wasilisho kutoka kwa wataalam wa haki za binadamu - Umoja wa Kimataifa kwa Serikali ya Tanzania

    Hili ni wasilisho lenye maswali magumu yanayohitaji maelezo ya kiina kuhusu kukamatwa, kutekwa na kuteswa kwa @bonifacemwangi na Agather Atuhaire @un_sp_experts kupitia @unhrcommittee wanahitaji majibu kuhusu yafuatayo:(nimetafsriri) 👇🏾👇🏾 1. Tafadhali toa maelezo yoyote ya ziada na/au maoni)...
  13. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaonywa Uminywaji na ukiukwaji wa Haki za Binadamu

    Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja wa kimataifa. Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya tume hiyo imevitaja baadhi ya vitendo hivyo...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Afrika yalaani vikali unyanyasaji wa wapinzani na Wanaharakati Tanzania, yataka haki za binadamu uhuru wa Habari na Mitandao kipindi Uchaguzi

    Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025. Azimio kuhusu Hali ya Haki za Binadamu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Maduu: kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu

    Ndugu Wakili Maduu William Afisa uchechemuzi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za binadamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Makundi ya haki za Binadamu ya Israel yatoa ripoti kuilaani serikali yao kwa Mauaji ya Kimbari(Genocide) huko Gaza

    Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza. Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Agather Atuhaire na Boniface Mwangi Waishtaki Tanzania kwa Unyanyasaji wa Haki za Binadamu, Mahakama ya Afrika Mashariki

    Arusha, Tanzania – 18 Julai 2025: Katika hatua ya kihistoria ya kutetea utawala wa sheria, haki, na haki za binadamu katika Afrika Mashariki, watetezi wawili mashuhuri wa haki za binadamu – Bi. Agather Atuhaire kutoka Uganda na Bw. Boniface Mwangi kutoka Kenya – wakiwa wameandamana na mashirika...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
  19. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Matendo ya ukiukwaji wa haki za binadamu yanafanya watu wawachukie sana watu wanaojipendekeza kwa watu dhalimu. Mrisho Mpoto kapatwa na ujumbe mzito

    Ona alichojibiwa CHAWA kindakindaki Mrisho Mpoto
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika, Mhe. Janet Sallah-Njie (kulia).....

    Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
Back
Top Bottom