haja

Håja (Norwegian) or Jievju (Northern Sami) is an unpopulated island in Hammerfest Municipality in Troms og Finnmark county, Norway. Håja is located in the Sørøysundet strait, between the larger islands of Kvaløya to the east, Seiland to the south, and Sørøya to the northwest. The town of Hammerfest lies about 8 kilometres (5.0 mi) to the east of Håja.On the island, there is a gull colony. Locals use the island for picking seagull eggs and berries, traditional ingredients of North Norwegian cuisine.
Several companies and institutions in Hammerfest have been named after Håja, including a kindergarten.

View More On Wikipedia.org
  1. Boss la DP World

    Sioni haja ya kujenga uzio

    Habari wakuu, kwa mara ya kwanza nilijenga nyumba 2 in 1 mkoa wa Morogoro, kwakuwa lengo ilikuwa kuzipangisha maana sikuwa nimetulia kimaisha nilizizungushia uzio wa matofali na kuziwekea mageti ili kila mpangaji atoke na kuingia kwa geti lake. Baada ya mwaka na nusu nilihamishwa mkoa mwingine...
  2. M

    Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

    Kama kweli alizua uongo acheni sheria ifuate mkondo. Japokuwa Nape sio, lakini msimsakame kama vile amefanya kwa amri zake binafsi.
  3. R

    Kuna haja ya kuja kuifuta CCM na kumbukumbu zake zibaki katika vitabu vya historia tu

    Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye Utajiri wa kila kitu ? Hiki Chama ambacho kina :- 1. Mafisadi 2. Kina watu wanajiita wenye Chama 3...
  4. JanguKamaJangu

    Simu inavyoweza kusababisha ukapata Ugonjwa wa Bawasiri (kuvimba njia ya haja kubwa)

    Baadhi ya watu watabia ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa yanayoweza kutokea kupitia simu yako ya mkononi. Shinikizo la damu Ripoti iliyotolewa na watafiti kutoka Nchini...
  5. D

    Choo cha kukaa hakimalizi haja; Wamasai wa Loliondo wapewe pesa wajenge nyumba zao wenyewe kulinda asili yao

    Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu! Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka) Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo...
  6. Mr Sir1

    Kuna haja mamlaka husika kudhibiti wasafirisha mayai kwa baiskeli

    Kwa wanotumia Pugu/Nyerere Road kutokea Gongo la mboto kupitia Airport watakuwa mashuhuda wa utitiri wa wasafirisha mayai maarafu kama Wakurya wanao ongozana wakiwa na shehena za mayai kwenye baiskeli. Tatizo linakuja kwa namna ya wanavyoongozana katika barabara kubwa na kuchomekea wenye...
  7. MamaSamia2025

    Mwanaume huna haja ya kuua au kumdhuru mkeo/mpenzi wako asiye mwaminifu. Soma hapa tafadhali

    Kumuua mpenzi au hata kumjeruhi ndo upumbavu wa mwanaume asiyechepuka. Kuna umuhimu wa kila mwanaume kuwa na mchepuko angalau mmoja ili kuepuesha stress zisizoeleweka. Wanaume wenye akili na wanaojitambua lazima awe na mchepuko ili njia kuu inapoleta shida inakuwa rahisi kuachana nae kisha...
  8. Corticopontine

    Nape ajitafakari kama kuna haja ya kuendelea kuwa waziri, kwenda Chato na kwenda kanda ya ziwa

    Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau...
  9. britanicca

    Kuna haja ya kuficha kinachojadiliwa kama kina manufaa ya wananchi?

    Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu! Kwa kifupi Time is best judge and it will tell! Kikao kinaendelea Kwa Siri kubwa kana kwamba wanaenda Kwa mganga? Lakin wanadhani hatuyajui wanayojadili Sidhani kama...
  10. Pascal Mayalla

    Je, Kuna Haja ya Kutunga Sera ya CSR za Makampuni ili Ziwe Endelevu? Serikali Yaipongeza TotalEnergies Kwa CSR Endelevu Kuwajengea Uwezo Watanzania

    Wanabodi, Japo nchi yetu ni masikini, nchi wafadhili wa maendeleo waliokuwa wanatusaidia kwa misaada mbalimbali, wao ndio huamua wasaidie nini. Enzi za Mwalimu Nyerere, kuna wakati tulikosana na wafadhali kutokana na kupewa misaada yenye masharti, hivyo Nyerere akakataa, Mwinyi alipoingia...
  11. Nyani Ngabu

    Sioni haja ya kukutana, Naona haja ya kufuata Katiba

    Toka Freeman Mbowe atoke jela/ gerezani, ameshakutana na Rais Samia mara kadhaa sasa. Bado sijui na sielewi kwa nini hasa wamekuwa wakikutana kutana. Ni kweli kuwa Mbowe alikamatwa na kufungwa kimakosa. Mtu yeyote aliye na chembe ya akili kwenye ubongo wake analijua hilo. Kwenye nchi...
  12. Expensive life

    Kuna haja ya Serikali kuzichunguza hizi madrasa

    Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini. Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto. Huu ukatili kwa watoto wetu...
  13. M

    Hivi Kuna haja ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo off mood bila ya kumpa sababu yoyote ya msingi?

    Hii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi. Nashindwa kumuelewa kwamba anakuwa anamaaniaha Nini?kwamba nisimsemeshe au ni Nini? mwenye uelewa...
  14. S

    Kwa yanayojili Zanzibar kuna haja ya kuomba uraia wa visiwa hivyo. Naomba mnipe utaratibu wa kupata uraia

    Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei. Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure Tatu, mwaka wa mwisho wa...
  15. Linguistic

    Ushauri: TAMISEMI ina haja ya kuwa na Mawaziri Watatu?

    Wakuu kulingana na Madudu yanayoendelea Tamisemi, Hii wizara ya TAMISEMI ilitakiwa kuwa na mawaziri WATATU. . Hoja yangu ni kwamba TAMISEMI TECHNICALLY INAUNGANISHA WIZARA ZOTE. . SO Inahitajika mtu mwenye CAPACITY KUBWA SANA YA KUFANYA COORDINATIONS YA VITU VYOTE. . Otherwise MAWAZIRI WATATU...
  16. Crocodiletooth

    Ipo haja ili kuimarisha muungano jina "chama cha mapinduzi"likabadilishwa.

    Tutakapo badilisha jina hili kwa kuliongezea mambo ya kitaifa na ya kimuungano imara zaidi itapendeza sana,ningependekeza kwa wakati tulionao na kwa wakati ujao kwa chama imara zaidi na cha kitaifa jina la chama chetu likawa, "" CHAMA CHA KIMAPINDUZI CHA WATU WA TANZANIA"" Kwa jina hili...
  17. R

    Kuna haja ya mabadiliko katika mfumo huu wa vyama vingi

    Kwanza kabisa niweke Wazi mimi sio mfuasi wa mfumo wa vyama vingi sababu 1. Unagawa watu hivyo ni rahisi kuingia katika machafuko 2. Ni rahisi kwa Baadhi ya viongozi wa vyama kuhujumu Nchi kwa kudhaminiwa na Mataifa ya Nje 3. Nchi zetu za Afrika bado changa kuwa mawazo mbadala kutoka vyama...
  18. R

    Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

    Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA). Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe...
  19. Expensive life

    Kuna haja ya serikali kutenga bajeti kubwa kwa ajili ya kuisapoti Simba SC

    Hakuna ubishi kuwa Simba ndio nembo ya Taifa hili kwenye medani za kimataifa ngazi ya klabu barani Afrika. Simba imekuwa tunu ya Taifa hili hakika tunapaswa kujivunia, huko nyuma tulikuwa wanyonge timu kutoka nje ya nchi zilikuja na kujibebea pointi na kuondoka zao. Hivi sasa kuna klabu gani...
  20. B

    Kama DED anaandika Barua hivi, kuna haja ya kufanya Reformation kwa hawa watu

    Kama DED anaandika Barua hivi, kuna haja ya kufanya Reformation kwa hawa watu haya ni matumizi mabaya ya pesa za mlipa kodi
Back
Top Bottom