an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,037
- 2,246
NITATUMIA HADITHI YA MUSA NA DAUDI KAMA REFERENCE.
Ushawahi kujiuliza kwanini Musa akaua akatoroka, lakini akawa shujaa?
Kwanini daudi akazini, akaua, lakini akawa "mtu wa moyo wa mungu"?
Au historia huandikwa na washindi?
Nikaja kugundua;
A. HADITHI ZINA AJENDA
Vitabu vya Dini sio CCTV footage
Ni story zilizokusanywa miaka 500-1000 baada ya tukio.
Na nani aliandika? Watu wa kabila la Musa. Watu wa uzao wa Daudi.
Sheria ya Waandishi:
"Ukiandika historia ya babu yako, utaandika alikuwa shujaa.
Ukiandika historia ya adui wa babu yako, utaandika alikuwa shetani."
MUSA:
Aliua Mmisri = "Alilinda ndugu yake Myahudi"
Firauni akaua Wayahudi = "Muovu, katili"
Kitendo kimoja, tafsiri mbili. Kwa sababu Musa ni "wetu", Firauni ni "wao".
DAUDI:
Alizini na mke wa Uriah, akamuua Uriah = "Alitubu, Mungu akamsamehe"
Mfalme mwingine akifanya hivyo = "Malaya, muuaji, astahili kifo".
Tofauti? Daudi aliandika zaburi. Alikuwa brand
B. "FATI LA KISHUJAA" HERO'S JOURNEY
Kila taifa linahitaji hero ili kujenga utaifa.
Hero hawezi kuwa perfect Lazima awe na doa.
Kwanini? Ili watu wa kawaida wajisikie: "Kama Mungu alimsamehe Daudi, atanisamehe mimi pia."
So makosa ya Daudi hayakufutwa. YALIACHWA KUSUDI.
Ili hadithi iwe na redemption Ili kuuza hope.
C. MUNGU WA WAKATI ULE ALIKUWA WA KABILA
Miungu ya zamani haikuwa international
Mungu wa Wayahudi alipigania Wayahudi tu.
Miungu ya Wamisri ilipigania Wamisri tu
Kama timu za mpira. Mungu wako akishinda, timu yako imeshinda.
So Musa akiua Mmisri, Mungu wa Wayahudi anasema: "Goal 1-0".
Hakutazama "haki ya ulimwengu" Alitazama "haki ya kabila lake".
Hapa namuelewa Machiavelli aliposema.....
"Mtu anayetaka kushika madaraka na kuyatunza lazima ajifunze kutokuwa mwema."
MACHIAVELLI ALIGUNDUA NINI?
1. DUNIA HAIENDESHWI NA MAADILI - INAENDESHWA NA MADARAKA
Daudi hakushinda kwa sababu alikuwa mtakatifu. Alishinda kwa sababu alikuwa smart + katili + bahati. .
Musa hakuongoza kwa sababu alikuwa _minnocent. Aliongoza kwa sababu alikuwa na Mungu + Fimbo + Jeshi.
2. WEMA NI SILAHA YA WANYONGE.
Watu dhaifu ndio husema: "Tucheze kwa sheria, tuwe wema".
Kwa sababu ndio silaha yao pekee.
Mwenye nguvu anasema: "Mimi ndiye naandika sheria. Ukicheza zangu utashinda, ukicheza zako utakufa."
3. WASHINDI HUONGEA BAADA YA KUSHINDA
Ukishinda = unaitwa "Mjanja, Shujaa, Mwerevu"
Ukishindwa = unaitwa "Mkatili, Dikteta, Muuaji"
Kitendo ni kimoja. Jina linabadilika kulingana na matokeo.
Mfano: USA ili nuke Japan 1945. Watu 200k wakafa.
Leo wanaitwa "Waokozi wa dunia".
Kama Hitler angewin vita na afanye hivyo, angeitwa "Shetani".
Machiavelli: "Kila mtu anaona unachoonekana kuwa, wachache wanajua ulivyo kweli."