habari

  1. JamiiForums Tanzania Kinachoiponza Tanzania ni mashitaka dhidi ya mwana habari Erick Kabendera, ni kama marehemu Jamal Khashoggi (Mwanahabari)

    Na huo ndiyo ukweli wenyewe. Mwana habari Erick Kabendera nje ya Tanzania ni mwana habari mwenye nguvu na mwenye uzani sawa na kina Jamal Khashoggi. Hayo mengine yalitokea yakapita kimya bila madhara makubwa. Wapo waliotekwa, wapo waliopotea, wapo walionusurika kuuawa, wapo waliouawa na wapo...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu NIDA: Tuwe makini na habari za uzushi kuhusu mchakato wa vitambulisho NIDA

    Habari waungwana. Leo ngoja nieleze mchakato wangu wa kitambulisho changu cha taifa mpaka kupata namba na niliyoyashuhudia ofisi za NIDA. 1. Kabla sijaanza kufatilia kitambulisho cha taifa, nilianza kuuluzia nyaraka zipi zinahitajika kaambatanishwa. Nikaambiwa cheti cha kuzaliwa,(kadi ya mpiga...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kutoka NASA Liverpool kutochukua ubingwa

    Shirika la Anga za juu la Marekani NASA limeweza kuona na kubaini jiwe kubwa asteroid lenye ukubwa kama nch yetu linakuja kwa kasi kuelekea sayari yetu. Kuna uwezekano likagonga dunia yetu na kuleta mtetemeko wa hatarii na kuingilia na kuaribu mipangilio ya kila siku ya maisha ya mwanadamu...
  4. JamiiForums Tanzania Tathmini : 2019 CHADEMA iliendelea kutawala mitandaoni na kwenye vyombo vyote makini vya habari vya ndani na nje ya Nchi

    Baada ya kufanya upembuzi yakinifu kuhusu siasa za Tanzania nimeona kwa macho yote kwamba Chama cha siasa cha kisasa cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Ndio chama kilichotamba mitandaoni kwa kujadiliwa mara nyingi zaidi kuliko chama chochote cha kisiasa nchini Tanzania, huku kwa mbali...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu gharama za kutengeneza website

    Habari zenu, naomba kufahamishwa gharama za kutengeneza website ambayo unaweza kufanya online payments za ndani pamoja na Visa & Master cards Pia naomba kufahamishwa makampuni/watu kutoka hapa Tanzania, ambayo yanaweza/wanaweza kufanya kazi hiyo.
  6. JamiiForums Tanzania IS: Mauaji ya Soleimani ni habari njema

    Source BBC swahili. Uamuzi wa rais Donald Trump wa kumuua Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya Qudsi vinavyoungwa mkono na Iran umesababisha msururu wa maafa ambayo yameanza kushuhudiwa. Kwanza ni vita ambavyo havikukamilishwa vya kupambana na makundi ya jihadi. Mara mauaji hayo...
  7. JamiiForums Tanzania Una uhitaji wa laptop mpya na bajeti yako ni ndogo? Basi hapa ndio mahali pake

    DELL LATITUDE 3340 RAM 4GB HDD 500GB PENTUM TSH 420000 MAIL rafaijumba@gmail.com call; 0676949728
  8. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari mmeona ya Kabendera na mama yake. Sasa akili kichwani juu ya kuunga juhudi mkono

    Waandishi wa habari mmeona ya Kabendera na mama yake ila akilini zenu mnazijua wenyewe kesho kalamu zenu ziunge juhudi mkono juhudi maana memory life span zinatofautiana kazi kwenu naamini mtanielewa. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Mama Kabendera pia pole sana kwa Kabendera kwa kukosa...
  9. JamiiForums Tanzania Kumekucha: CHADEMA Kanda ya Nyasa kuzungumza na Waandishi wa Habari Iringa Mjini

    Kaa tayari kwa hoja nzito . Wote mnakaribishwa
  10. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari Tanzania hamjitambui

    Alipotea Azory Gwanda mpaka leo hamjachukua hatua yeyote Kwanini msichukue hatua kwa vitendo kusitisha kutangaza habari yeyote inayohusu Serikali mpaka mwenzenu apatikane? Angalia reaction yenu mbovu kukamatwa kwa Kabendera mmeshindwa hata kumchangia pesa ya matibabu mama yake mpaka amekufa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu +256785 ni code ya mtandao gani Uganda?

    Nahitaji kujua +256785 ni code ya mtandao gani nchini Uganda.
  12. JamiiForums Tanzania Kazi na Bata ndio Habari ya mjini, Mengine Mbwembwe tu

    Maisha ni tight kwa hio hapa ni mwendo wa KAZI na BATA tu mengine Mbwembe tu 2020 Twende na KAZI na BATA tuachane na mbwembwe
  13. JamiiForums Tanzania Kulikoni: Television nyingi hapa nchini kwa sasa zinatangaza zaidi habari za Kanda mbili; Kusini na Kanda ya Ziwa

    Nimefanya utafiti mdogo kwa siku za karibuni nikagundua hilo. Television zinazoongoza ni TBC 1, Chanel Ten, ITV, na Star Tv. Hii ni hususan katika vipindi vya Taarifa za habari na makala maalumu za kiuchunguzi au Maendeleo. Mfano: Inarushwa habari ya Masasi, inafuatia ya Songwe, Chato au...
  14. JamiiForums Tanzania TCRA kufunga simu zisizosajiliwa ni mpango wa serikali kuwabana wale wanaotumia simu kusambaza habari za uzushi au fake news

    Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa. Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa. Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu...
  15. JamiiForums Tanzania Habari Naitaji mchumba awe ana miaka 19 -26 anaishi Dar Asiwe na mtoto wala alie wai kuolewa mengine tuta ongea privet emeli yangu zuherially8@gmail

    Habari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

    '' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu mikopo

    Habari za muda huu wadau Samahani naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu na maswala ya transfer ya mkopo je huchukua muda gani mpaka kukamilika na mnufaika kupatiwa pesa alizopangiwa kwa mwaka husika? Mimi nimefanikiwa kupata asilimia kidogo sana ya mkopo katika batch number two ila kutokana na...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA anzisheni vyombo vya habari. Huu sio wakati wa kulalamika

    Kati ya mambo ya msingi ambayo tanakifanya chama kurudi nyuma ni kutokuwa na vyombo vya habari vya chama. Siamini CHADEMA kama taasisi wanashindwa kuwa na vyombo vyao vya habari. Wanachama tuko tayari kushiriki uchangiaji ilimradi mtuhakikishie kuanzisha Television na Redio ya chama. 2020...
  19. JamiiForums Tanzania Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

    Nimeinasa kwenye Mitandao ya Kijamii ya usembassytz kuhusu Kaimu balozi wa Marekani kwenda Kumtembelea na kumtakia heri ya Sikukuu Mke wa Muandishi wa Habari za Uchunguzi Azory Gwanda ambaye Alitoweka miaka kadhaa hadi sasa kwa kuchukuliwa nyumbani kwake usiku na Watu wasiojulikana (Siwezi...
  20. JamiiForums Tanzania Maumivu wakati wa kufika kileleni kwa Mwanaume

    FAHAMU TIBA YA MAUMIVU WAKATI WA KUFIKA KILELENI KWA MWANAUME. PAINFUL EJACULATION/PAINFUL ORGANS IN MALE. Ni ile hali ya mwanaume kuhisi maumivu wakati anafika kileleni/wakati manii yanatoka au mda mfupi baada ya kufika kileleni. Maumivu hayo anaweza kuyahisi Perinium(eneokatikati ya tundu la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…