Wanahabari mliomuhoji Senzo pale Airport mna changamoto ya weledi

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,555
2,000
Habarini wadau,

Jana ni siku ambayo Taifa kulikuwa na activities nyingi, mambo ya siasa majina ya waliopitishwa na chama chao, ila katika ulimwengu wa sports ni ujio wa wachezaji wa Yanga toka DRC lakini pia urejeo wa mtu aliyewahi kuwa CEO wa Simba SC, somebody Senzo.

Basi katika kuperuzi nikaona video ya mahojiano baina ya somebody Senzo na wanahabari wakiwa airport.

Yaan wale wanahabari waliomhoji wapo weak sana; yaani walishindwa probing questions, walishindwa ku-connect matukio yaliyojiri na kumuhoji mhojiwa , yaani in fact bloggers wapigwe msasa.

Changamoto pia lugha imawapiga vyenga sana. Tenses zinachanganywa humo kama mkorogo wa Congo.
 

Mario Kejob

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
308
500
Hiyo lugha ya Queen ni janga la kitaifa. Wakati umefika sasa kila wilaya iwe na English media school ya serikali walau moja tu ili kusaidia kupunguza changamoto hii.
 

fimboyaukwaju

Member
Aug 3, 2020
44
125
Umesema kweli kabisa,mie pia niliiangalia hiyo video, kwanza kiingereza ndio tatizo kubwa sana,hata hivyo stadi za kuuliza kwa waandishi wa tanzania ni tatizo kubwa sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom