habari

  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi ya Vyombo Huru vya Habari katika Maendeleo ya Jamii

    Vyombo vya habari vimekuwepo kwa karne na karne tangu kuanza kugunduliwa kwa teknolojia ya habari na mawasiliano, vikiwa na kazi kubwa ya kuhabarisha umma, na kuimulika jamii kiujumla. hata hivyo kufikia sasa Vyombo vingi vya habari hasa katika nchi za kiafikra vinashindwa kutimiza majukumu...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama nje ya Jiji , Kinondoni

    Utaratibu kwa wote watakaohudhuria ni ule ule wa kufuata mwongozo wa WHO ili kudhibiti maambukizi ya Virus vya Corona
  3. JamiiForums Tanzania Msigwa awataka Maafisa Habari Wizarani kuimarisha mahusiano na Wanahabari

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka maafisa habari za wizara zote kuimarisha mahusiano na waandishi wa habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi. Msigwa ametoa maelekezo hayo jana jijini Dodoma alipokutana na Wakuu wa Vitengo vya...
  4. JamiiForums Tanzania Chombo cha habari cha Diallo kilitumika sana na media za mabeberu kumchafua Magufuli

    Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hilary Ng’weno, mwana habari bingwa Kenya afariki

    Atakumbukwa hasa kwa jarida la siasa the weekly review miaka ya themanini na Documentary Making of the Nation inayooneshwa na kituo cha NTV Kenya. Mkenya wa kwanza kujiunga na chuo cha havard marekani aliposome fizikia(Nuclear physics) Mungu amlaze pema peponi. --- Hilary Ng’weno, the...
  6. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

    Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii. Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa Beiging Engineering Company niliowasikia kwenye taarifa ya habari jana ndio wa kina nani?

    Habari wadau! Anayewajua hawa wa wachina jamani
  8. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari za michezo wagome kwenda kwenye press conference za Manara hadi awaombe msamaha

    Manara amekuwa anawafanyia waandishi wa habari vitendo vya kidhalilidhaji sana. Aliwatukana ni takataka na juzi kati kuna Clip anamfokea Prisca Kishamba kwa makelele. Amekuwa na tabia hii mbaya kwa kujirudia lakini waandishi hawamchukulii hatua, na mbaya zaidi wengine walicheka kitendo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Habari za vijana kujiajiri ni maneno matupu, vijana, Serikali na sekta binafsi tafuteni muarobaini wa ukosefu wa ajira

    Duniani kote tatizo la ajira kwa vijana halijawahi kutatuliwa na vijana kujiajiri maana kujiajiri ni issue ngumu. Ukiangalia tatizo la ajira linahusisha makundi makuu mawili: 1. Waajiri (Serikali na sekta binafsi) 2. Waajiriwa (Vijana na makundi mengine) Tuache kuchanganyana kila kundi lifanye...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 24.2 za Jiji hazijulikani zilipo

    😀😀😀😀 Hazuulikani
  11. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP ===== Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma. Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa Vyombo vya Habari mmetuangusha sana

    Hongereni kukutana na Mhe. Rais. Hongereni kupata vinywaji Ikulu. Hakika hamkujipanga,mlitakiwa wahariri mkutane kwanza muandae maswali Magumu na mazuri na mngegawana maswali na majina mngempa MC kwaniaba ya wahariri. Mhariri umetoka mkoani unamuuliza Rais anauonaje Urais (mwandishi kweli)...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Mtangazaji akatisha taarifa ya habari na kufunguka kuwa hajalipwa

    Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha KBN nchini Zambia amefunguka kuwa yeye na wenzake hawajalipwa mishahara yao. Kalimina Kabinda alikatisha taarifa ya habari na kuwaumbua waajiri wake mubashara, na kisha kuichapisha video hiyo katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Pamoja na video hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Mtumiaji wa WhatsApp, chunga sana usije ukaibiwa kwa mtindo huu

    ATTENTION DEAR MEMBERS For those who are posting free internet data, free this and free that. Let me teach you some basic ICT. Any Link that start with "http " is most likely a phishing link. Phishing is usually intended to get your Personal details including your date of...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Waandishi wanaoripoti habari za Mahakamani za Sabaya Wanatishiwa Maisha. APC Walaani

    Chama cha Waandishi wa Habari Arusha(APC) wamelaani vitendo vya watu wasiojulikana kuwatisha waandishi wanaoandika habari za Lengai Ole Sabaya Watu hao wamekuwa wakiwatisha waandishi kwa simu kuwaonya juu ya namna wanvyoripoti muendelezo wa kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Hivi karibuni...
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Shaka Hamdu Shaka kuzungumza na Vyombo vya Habari leo Juni 22, 2021

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka atazungumza na vyombo vya habari siku ya leo tarehe 22/06/2021 katika ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi jijini Dodoma. Ikumbukwe kwamba mchana wa leo Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wahariri wapigwa msasa kuifahamu Wizara ya Mawasiliano na Technologia ya Habari

    WAHARIRI WAPIGWA MSASA KUIFAHAMU WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI Na Mwandishi wetu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imefanya mkutano na wahariri wa vyombo vya habari nchini kwa lengo la kuwajengea uelewa ili waifahamu Wizara hiyo, taasisi zilizo chini ya Wizara...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi nzuri ya kuuza vitabu/courses na muziki online nikiwa Tanzania?

    Pamoja na kwamba mimi ni mgeni humu lakini naomba kupata mawazo juu ya uchapishaji kazi za sanaa online hususani vitabu, njia ambayo inaonekana sasa kuwa mkombozi kwa watunzi wengi tofauti na zile zama za giza ambazo ilimpasa mtu apige kwanza magoti kwa makampuni makubwa ndipo kazi yake iweze...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane inbox kama unahitaji 'huduma hii' kwa bei nafuu

    Ndugu wanaJF, unahitaji kuhaririwa habari au ripoti yako kwa Kiingereza au habari, ripoti, dissertation (BA, MA, PhD), paper au translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili kazi nzuri kwa bei nafuu. Kama jibu ni ndiyo, basi tukutane inbox.
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa . Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…