Msaada wa tiba ya ugonjwa wa ngozi

F183

Member
Jul 11, 2019
23
6
WanaJF habari za Jumapili.

Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya

Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha hospitali tofauti tofauti lkn sipati nafuu.

Najikuna sana viwiko na shingoni mpaka ngozi inatoka

Naombeni msaada wenu waheshimiwa

MUNGU awabariki sana

20220717_110306.jpg
20220717_110452.jpg
 
wana jf habari za jumapili. naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya nimetumia kilA aina ya dawa hosp nimejaribu kubadisha hospi tofauti tofauti lkn sipati nafuu. najikuna sana viwiko na shingoni mapaka ngozi inatoka naombeni msaada wenu waheshimiwa MUNGU awabariki sana
Pole sana, je, hizo hosipitali ulikutana na madakitari wa ngozi? Na ni hosipitali zipi ili tusije kurudia kukuelekeza.
Huyo wa Ngetwa ni msumbufu tu wala usihangaike hakuna kitu hiyo.
 
Pole sana.
Naomba ujibu maswali PM.
Samahani kwa wengine, maana haya maswali ni personal.
 
Oga tu weka mwili wako Safi, nguo Safi, kula vizuri, frahia maisha acha majungu na tamaa ridhika unachokipata. Maintain usafi wa mwili Oga kwa maji na sabuni ya kuogea kwa siku mara tatu, kunywa maji mengi zaidi ya Lita tatu per day, matunda mengi ikiwemo tikitimaji vaa nguo nzuri Safi viatu, ung'ae. Huo ulionao sio ugonjwa ni umasikini we tafuta pesa tu ya natoka automatically
 
Tatizo la ngozi ni suala la kumuona daktari hospitali maalum na sii hizi zilizojaa vichochoroni. Kuna ugonjwa wa ngozi umeingia kwa kasi Sana wabongo wanaita vocha nadhani ndio huu huu bacteria wake wanaita scabies
Unawasha Sana hasa nyakati za jioni na usiku
Na umesema umefika hospitali nyingi bila nafuu ila magonjwa ya ngozi ili upone ni lazima Uwe msafi Sana I mean safi kuanzia mwili, nguo hadi pale unapo lala usirudie nguo uliyovaa Jana na mwisho kabla ya kuvaa nguo hakikisha imepigwa basi.
Usipopona basi nenda kwa mtaalam ukajiangalie umekula au umemfanya nini binadamu mwenzako
 
WanaJF habari za Jumapili.

Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya

Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha hospitali tofauti tofauti lkn sipati nafuu.

Najikuna sana viwiko na shingoni mpaka ngozi inatoka

Naombeni msaada wenu waheshimiwa

MUNGU awabariki sana

View attachment 2293908View attachment 2293909
Pole sana mkuu! Kwanza unatumia sabuni gani kuogea? Pili unapaka mafuta gani?
Kwa ushauri zaidi njoo inbox.
 
WanaJF habari za Jumapili.

Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya

Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha hospitali tofauti tofauti lkn sipati nafuu.

Najikuna sana viwiko na shingoni mpaka ngozi inatoka

Naombeni msaada wenu waheshimiwa

MUNGU awabariki sana

View attachment 2293908View attachment 2293909
Kwa nyongeza, unapokwenda kutibiwahakikisha na mwenzi wako naye anapimwa na kupata tiba, chanzo cha ugonjwa huu ni kujamiiana, pima damu na mkojo, pia ogea sabuni za dawa mfano dettol.
 
Pole sana, je, hizo hosipitali ulikutana na madakitari wa ngozi? Na ni hosipitali zipi ili tusije kurudia kukuelekeza.
Huyo wa Ngetwa ni msumbufu tu wala usihangaike hakuna kitu hiyo.
bochi.labnisia.parestina n a moyo safi
 
Nadhan inaeza ikawa pumu ya ngozi.
Usitumie medicated soap.
Vaa nguo za cotton.
Epuka vitu vyenye harufu kali.
Unaeza kununua Vaseline isiyo na harufu upake ngozi iskae kavu.jioni meza cetrizene au loratadine moja
Onana na dermatologist kuna dawa utapewa ya kupaka.
 
asante sana
 
WanaJF habari za Jumapili.

Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya

Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha hospitali tofauti tofauti lkn sipati nafuu.

Najikuna sana viwiko na shingoni mpaka ngozi inatoka

Naombeni msaada wenu waheshimiwa

MUNGU awabariki sana

View attachment 2293908View attachment 2293909
Nipigie 0789443404 tuongee zaidi utapona so wewe tu humu jf wapo na tumesaidiana
 
WanaJF habari za Jumapili.

Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya

Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha hospitali tofauti tofauti lkn sipati nafuu.

Najikuna sana viwiko na shingoni mpaka ngozi inatoka

Naombeni msaada wenu waheshimiwa

MUNGU awabariki sana

View attachment 2293908View attachment 2293909
Pole Kuna member pia alikuwa Kama wewe nitakuunganisha nae pia ameshapata nafuu sana
 
Oga tu weka mwili wako Safi, nguo Safi, kula vizuri, frahia maisha acha majungu na tamaa ridhika unachokipata. Maintain usafi wa mwili Oga kwa maji na sabuni ya kuogea kwa siku mara tatu, kunywa maji mengi zaidi ya Lita tatu per day, matunda mengi ikiwemo tikitimaji vaa nguo nzuri Safi viatu, ung'ae. Huo ulionao sio ugonjwa ni umasikini we tafuta pesa tu ya natoka automatically
😂😂😂 fala sana
 
Back
Top Bottom