habari

  1. JamiiForums Tanzania Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi

    Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Makonda anataka kuifikisha wapi tasnia ya habari?

    Nimemsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda akizungumza na watumishi wa Wizara yake baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dodoma Januari 13, 2026. Katika hotuba yake, Makonda aliyekuwa Naibu Waziri akisaidiana na Khamisi Mwinjuma (Mwana FA) chini ya...
  3. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Kuna kipindi tunawachukia wanahabari wanaoripoti kero za wananchi. Mkurugenzi kaa kwenye kiti chako na uenee

    Wakuu, Huyu hapa Makonda akiwa anawawashia moto wanahabari ambao wanamind vyombo vya habari ambavyo vinaripoti kero na changamoto za wananchi "Inafika mahala Watanzania wanaenda kulalamika kwa wanahabari huko mitaani, wanahabari wanaenda kuripoti kero za wananchi iliyotokea kwenye halmashauri...
  4. JamiiForums Tanzania Makonda kuteuliwa kuwa waziri wa habari maana yake ni moja tu

    Uhuru wa habari utazidi kuminywa.. Vyombo vitazidi kuminywa na mateso yatazidi zaidi.. Maana ya kumteua ni moja tu.. Kumaliza yale yote yaliyobaki... Kumbuka huyu ni mpenda Sifa yaani hapo Dully Sykes akajifunze.. Kwa hiyo tutegemee sana wimbo wa mama this ... Mama that.. Uzuri ni kwamba hata...
  5. JamiiForums Tanzania Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi tumeshachoka kuvurugwa, kaeni myamalize, habari za huyu kafanya hivi mara yule kafanya vile tumezichoka

    Ifike mahali kelele za kila siku ziishe Too much is harmful Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi wanafuata maelekezo yenu Mkisema nchi itulie basi itatulia Mkisema iwake basi itawaka Ninyi ndio wenye uamuzi wa mwisho kabla ya matokeo Twendeni Mataifa makubwa tuone namna yametulia na yanafanya...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Dagaa na Bamia ni pishi letu la leo

  7. JamiiForums Tanzania Pombe inaharibu vijana hasa kanda ya Kaskazini. Nini suluhisho?

    Natumaini mko Salama niende moja kwa moja kwenye Mada Pombe naona inaharibu sana vijana hasa kanda ya kaskazini unakuja kijana rika moja ameshazeeka Arusha na Kilimanjaro ndio tunapoteza nguvu kazi kabisa. Je pombe ndio mbaya ? Au ndio wameshindwa kuzimudu ? Viongozi wa Dini zote wamesema...
  8. JamiiForums Tanzania Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bajaj za umeme kwa mikopo na cash

    BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri halionekani leo mitaani baada ya kuandika habari za Warioba, kulikoni?

    GAZETI la JAMHURI lililokuwa na mwendelezo wa Mahojiano maalum na Mzee wa Warioba yaliyofanywa na Mhariri Manyerere Jackton bahati mbaya leo nimelitafuta kwenye meza za magazeti sijafanikiwa kuliona kulikoni? au limezuiliwa kutoka leo? Je mwendelezo wa mahojiano na Mzee Warioba yaliyokuwa...
  11. JamiiForums Tanzania BBC: Habari za Polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zimesomwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa

    BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.
  12. JamiiForums Tanzania Ukisikia habari ya Kambona, ukimuangalia Warioba, ukiona walivyofanyiwa na Chama cha Mapinduzi na Serikali zake utaelewa kwanini Tanzania ni masikini

    Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili. 1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. 2. Rushwa na Ubinafsi. Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii kwisha habari yao, tuhamie kwa waandishi wa habari, hakuna kusoma, kusikiliza na kununua magazeti yao

    Mbiu hii ipigwe kote kwenye viunga vyote vya mitandao ya kijamii, kila alipo mpenda haki tarifa hizi zimfikie kwa namna yoyote ile Nani asiyejua? Vyombo vya habari ni chombo kikiamua kutekeleza majukumu yake, nchi inaweza kushinda vita dhidi ya adui bila hata kutumia silaha Cha ajabu katika...
  14. JamiiForums Tanzania Watu, hasa waandishi wa habari huwa wanachanganya maneno 'muhanga' na 'mwathirika'. Twende kazi!

    1. Muhanga. Huyu ni mtu aliyejitoa/aliyetolewa sadaka au aliyepitia mateso kwa Kwa ajili ya jambo fulani lenye thamani kama imani, taifa n.k. Mfano, alikuwa 'muhanga' wa vita kwa kuwa alikuwa mstari wa mbele kwenye mapambano. 2. Mwathirika. Huyu ni mtu aliyepata madhara, maumivu au hasara...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari iangalie sana mwenendo wa wanaojiita CitizenTv mitandaoni

    Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Wameua Uhuru wa Vyombo vya Habari, wameua Vyama vya Siasa, wanataka kuua Madhehebu ya Dini na taasisi za Elimu.Tukatae

    Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma. Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
  17. JamiiForums Tanzania Nilipoona mji mweupe D9 nikasema CHADEMA imekwisha habari yake

    Ili maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono. Maandamano ya chadema ya Oktoba 29 hayakuungwa mkono na wananchi, hivyo ilikuwa rahisi kuyadhibiti. Na yale ya December 09 wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vimenishangaza

    Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania. Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika. Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi kupika njegere za nazi

    Habari zenu wana jamvi, heri ya sikukuu ya ya taifa letu. Naomba kuelekezwa namna ya kupika njegere za nazi na wali wa nazi.
  20. JamiiForums Tanzania Habari za JWTZ Kuna muda zinachekesha

    Yaani Kila kukicha Hawa ndugu zetu wanazidi kunifanya nishangae ya Dunia..Kuna mwanaharakati mmoja huko Twitter ameachia meseji za askari wa JWTZ akiomba wananchi waandamane ili walau na wao mishahara Yao iongezeke wajione watu katika watu..Eti soldier mzima analia wananchi wawatetee Hali mbaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…