habari

  1. Princekyoma

    Habari wanajf

    Kuna mtu anauliza eti ajira za kujitolea kupitia Tamisemi zinatoka lini?naomba kuwasilisha🙏🏽
  2. funaku

    Wizara ya Habari iingilie kati Wanahabari wanaoingilia Faragha za watu

    Inasikitisha kuona chombo cha habari kinatoa taarifa za ndani za kifamilia kiasi kuleta taharuki na ugomvi kwenye familia. Huu ni uandishi wa hovyo na unapaswa kupigwa marufuku.
  3. ELI COHEN

    Kama una mwanao au dogo lako ameanza kufuatilia habari za kimataifa mwambie akae mbali na hizi chaneli

    1: CNN - Atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga. - Atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja na kwenda kulalamika kuhusu mke wake baa kwa marafiki zake bila kufanya maamuzi yoyote kisa...
  4. ndege JOHN

    Naomba kupashwa habari kuhusu Rapid Support Forces wa Sudan

    Wakuu wajuzi wa mambo hawa wanamgambo wanasemekana ni waasi na wako oppose na jeshi la serikali ila kwenye tovuti Yao wanajinasibu wanafanya operation zao under chief military na pia Wana support kubwa toka falme za kiarabu je NI kweli NI magaidi au NI jeshi la namna gani hili?
  5. Just Pray

    Je, Waandishi wa Habari Wako Tayari Kukabiliana na Upotoshaji?

    Mwezi Disemba, 2024 ulichapishwa utafiti katika jarida la communication studies in Africa, uliohusu waandishi wa habari wa Tanzania katika kupambana na taarifa Potofu. Katika waandishi wa habari 306 walioshiriki katika utafiti huo 51% ya waandishi walisema hawajawahi kupatiwa mafunzo rasmi ya...
  6. JanguKamaJangu

    GE2025 Waandishi wa Habari wakamatwa na Polisi wakifuatilia matokeo ya Kura za Maoni Manyara

    Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara. Kwa mujibu wa mashuhuda...
  7. tonicimmobility

    GE2025 TCRA: Vyombo vya Habari vizingatie Miongozo na Kanuni za Uandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa vyombo vya habari, hususan vya mtandaoni, kuzingatia miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Soma pia: Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna...
  8. Roving Journalist

    Mafunzo Kwa Wahariri na Waandishi wa Habari Kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025, leo Agosti 4, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=9D6yvt12c8o Updates Ramadhan Kailima: Vyombo vya habari visipendelee chama cha siasa kuelekea Uchaguzi Akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari leo Agosti 4, 2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)...
  9. Ojuolegbha

    Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbalia, pia amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kupanga kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa kituo ni kama...
  10. KING MIDAS

    Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

    Kosa ni kutumia picha ya raisi bila kuihariri na kuiongezea mivuto.
  11. K

    Mzee roporopo sijui kama tutamuona te na kwenye vyombo vya habari

    Yule mzee roporopo aliyesema wema hawafi sijui kama tutamuone tena akisema wema hawafi,namuona kakaa kimya kajikunyata kama kifaranga kilichoroa, kwisha habari yake
  12. Setfree

    Una habari? Biblia ya King James ni Tafsiri iliyolindwa na Mungu kwa miaka zaidi ya 400!

    Kuna watu wanaohoji uhalali wa tafsiri ya Biblia ya King James Version (KJV). Wengine wanasema ni ya zamani, haieleweki kwa kizazi cha sasa, au kwamba kuna tafsiri mpya zilizo sahihi zaidi. Lakini je, kweli tafsiri mpya ni bora zaidi, au tuko kwenye harakati za kupunguza uzito wa Neno la Mungu...
  13. M

    CCM haina uwezo wa kusema ukweli hata kwa jambo dogo kama hili la kukutana na waandishi wa habari

    Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management? Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani? Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi? Alafu wahuni kama hawa...
  14. Parabolic

    CCM kuwaweka waandishi wa habari ukumbini kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku sio uungwana, waombe radhi

    Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana. Ilitarajiwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla angetoa taarifa ya watia nia ya ubunge na...
  15. Metronidazole 400mg

    Hizi habari kuhusu Makonda ni za kweli??

    Nasikia raisi wa wadudu kafyekwa ( kachinjiwa mbali ) je ni kweli?
  16. Yoda

    Marekani yazidi kusogelea katika giza la udikteta, Trump atishia kuvifuta vyombo vya habari vinavyomkosoa.

    Yale mambo ya ulimwengu wa tatu ya banana republics ya mtawala hakoselewi sasa yameanza kushika kasi Marekani katika awamu ya pili ya Trump, tayari ameshamfukuzisha kazi comedian mmoja mkubwa maarufu Stephen Colbert wa CBS ambaye ni mmojawapo wa wakosoaji wake wakubwa, ameshavuna mabilioni ya...
  17. M

    Sifa za kusajiriwa kama mwandishi wa habari hizi

    Wanajamvi, nimeona niweke hapa sifa zinazotakiwa ili mtu aweze kusajiriwa kama mwandishi wa habari kwa mujibu wa Section 19 ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, 2016 na Kanuni zake za mwaka 2017 (Regulations 17, 18, & 19). Wachangiaji wengi tumeingia kwenye mjadala bila kujua kwanza sheria...
  18. chiembe

    Vyombo vya habari vinaweza kuwatumia watu wake wasio na vyeti kwa kuwaita kama analyst/wachambuzi chini ya muongoza kipindi mwenye ithibati

    Ukweli usemwe, watanzania wanapenda umbea na habari nyepesi, kuwa cut off watu wanaokata kiu hiyo ni kujifanya hatuijui jamii yetu, na pia habari hizo nyepesi (umbeya) zimesaidia ku-de-fuse jamii na pia kunyonya negative issues katika jamii kama godoro linavyonyonya maji. Pia sidhani kama jamii...
  19. Yoda

    Tanzania ina waandishi wa habari wazuri sana, vyeti sio tatizo

    Nimeona baadhi ya watu wakishangalia baada ya tetesi kwamba waandishi wa habari kadhaa wamepukutishwa kutoka vyombo kadhaa vya habari kwa madai ya kukosa vyeti vya taaluma, washangiliaji wanaowana waandishi wa habari wengi wa bongo kama machawa zaidi na watu wasio na weledi, hili jambo ni ujinga...
  20. jaqson

    Habari wakuu

    New member hapa, naona kuna member wengine wana blue tik hivi ndio kusema? Like MshanaJR
Back
Top Bottom