habari

  1. jaqson

    Habari wakuu

    New member hapa, naona kuna member wengine wana blue tik hivi ndio kusema? Like MshanaJR
  2. Empty container for sale

    Kwisha habari yake

    Kwisha habari yake
  3. A

    KERO Nimemaliza Diploma kwenye Taasisi ya watu wazima(IAE) mwaka jana, lakini hadi leo AVN hajitoka na hakuna maelezo

    Habari, Mimi ni Muhitimu WA chuo Taasisi ya watu wazima IAE kampasi ya mwanza nimemaliza Mwaka Jana 2024 lakini toka tumalize Hadi Leo hatujapa AVN na tukihoji wanatoa majibu ambayo hayaeleweka. Mara Subirini tunashughulikia hakuna majibu yoyote na Watu tunahitaji kwenda kuendelea na elimu ya...
  4. G

    Leo hakuna gazeti hata moja lililoandika habari kubwa ya Polepole!

    Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka huukupitia chama chao. Kichekesho ni kwamba serikali imezuia media zote zesitangaze na...
  5. Kimbesa11

    Polepole amefanya uhalifu wa kiutumishi na kimaadili kwahiyo hatakiwi kujibiwa kwenye vyombo vya habari huyu ni mhalifu, afunguliwa kesi mahakama kuu

    Husika na mada tajwa hapo juu: Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa afunguliwe kesi. Huwezi ukasema kwasababu uliteuliwa hadharani basi na barua yako ya kujihudhuru...
  6. DexterLab

    Millard Ayo kutopost habari za press ya Polepole ina maana gani?

    salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole, nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
  7. JOHNGERVAS

    Vyombo vya habari Vya Tanzania vina hali mbaya, Vinasikitisha waandishi wamegeuka wapambe

    Katika siku za karibuni, kumeibuka hali ya kusikitisha sana katika tasnia ya habari nchini Tanzania. Vyombo vingi vya habari ambavyo viliheshimika kwa kuandika kwa ujasiri na ukweli, sasa vinaonekana kama vimelegeza msimamo. Habari muhimu zinazogusa maslahi ya wananchi, hasa zile zinazokinzana...
  8. JanguKamaJangu

    Wakili Marijani: Waliozuiwa CHADEMA hawatakiwi kuzungumza na Vyombo vya Habari kuhusu masuala ya vyama

    Wakili Shabaan Marijani amesema watu wote waliyotajwa katika zuio la Mahakama la kutokushiriki shughuli zozote za kisiasa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hawaruhusiwi hata kuzungumza na vyombo vya habari. Aidha, amesema wakitaka kuzungumza na vyombo hivyo wasizungumze...
  9. Gily Gru

    Unahisi Gwajima alikuwa na waandishi wa habari kweli?

    Ukifuatilia hiki kipande cha picha mjongeo, unapata picha gani?
  10. Echolima1

    Donald Trump: Tuna habari njema Gaza

    Rais wa Marekani Donald Trump kasema kuna habari njema huko Gaza! Julai 16, 2025 Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza bila kufafanua kuwa “kuna habari njema kuhusu Gaza” katika hafla ya Ikulu ya White House Mjumbe maalum wa Marekani kwa Mashariki ya Kati, Steve Witkoff, amesema mazungumzo...
  11. Blasio Kachuchu

    Prof. Kabudi Asisitiza Ushirikiano wa Serikali na Wadau wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango wakati wa...
  12. N

    Habari zenu Wana-JF

    Habari zenu wana Jamii Forums, kwa ID ninaitwa nguvu ya buku, nina umri wa miaka 30 na ninatokea Iringa. Moja ya vitu vilivyoniongoza kujiunga humu ni kupata elimu, kubadilishana mawazo na watu, kujifunza kuhusu biashara, n.k. Ninatarajia kushirikiana na wanajukwaa wengine, kujifunza, na pia...
  13. L

    Habari zenu Wakuu

    Mi ndiyo nimeingia kivingine humu,kama kawaida Upendo na Heshima kwa kila mtu,tuko pamoja Wakuu.
  14. Mtoa Taarifa

    Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025

    Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo...
  15. R

    Mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika

    https://www.youtube.com/live/TESsdXCNBrU?si=zVojh8cRb2WhaVBx Mkutano wa Pili wa Mabaraza ya Habari Afrika 2025 umeelezwa kuwa ni fursa ya kihistoria kwa vyombo vya habari barani Afrika kuimarisha ushirikiano wa kikanda, kukuza matumizi ya teknolojia mpya, na kushiriki kikamilifu katika...
  16. Knock life

    Kuna habari nzito inakuja hii ya polepole ni cha mtoto .!

    Wakuu mkae kwa kutulia , jamaa wa super black anaelekea kuuchochea moto
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

    Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
  18. SweetyCandy

    Tanzania imetolewa kwenye taarifa ya habari ya nje

    https://www.facebook.com/share/r/1BykRQbp9J/ Dah hadi huku wamejuaje?? Kumbe fisiem imeingia madarakani tokea 1977 hadi naleo .
  19. jamaikatz

    Taja habari zinazo trendi kwa sasa!!

    Mohamed Hussein Zimbwe Junior anatembea na Mkataba wa Yanga!! Zinazoonekana Mtandao siyo Romans bali ni Ukweli, Wakala wa Mohamed Hussein alikutana Na Uongozi wa Yanga Palm Hotel akapewa mkataba,Siku ambayo wakala wake alifata mkataba Walienda na Mchezaji hadi Hotelini akamuacha kwenye gari...
  20. W

    SI KWELI PreGE2025 Mrema asema CHADEMA imekuwa kama chombo cha habari

    Wakuu ni kweli hii imetoka kwa Mrema?
Back
Top Bottom