habari

  1. JamiiForums Tanzania Habari za Udukuzi.....

    Kuna dalili jamaa akaachiwa HURU Mama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni ..... Tuendelee kuvuta subira
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waandishi wa habari:-

    Ndugu zangu waandishi wa habari naomba niwashauri pindi mnapowahoji watu hawa muwe mmejiandaa kisaikolojia. 1)Chid Benz 2)T.I.D 3)Mangungu Msije sema hamkuambiwa. Nawasilisha.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kuna kijana kutoka NIT anaomba sehemu ya kufanyia field kwa kampuni yoyote ya Forward and clearing

    Taarifa zake hizi hapa RAMADHAN SALUM RAJABU Anasoma NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT Age: 20 YEAR OLD Mwaka aliopo :SECOND YEAR Field yake : FREIGHT CLEARING AND FORWARDING Mawasiliano yake haya hapa 0778928217 Naomba tumsaidie Wana JF Yupo Daressalaam.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kitengo Cha habari Cha Yanga kimepwaya,kwa miaka mitano kimeshindwa kuteka kizazi kipya Cha mashabiki hatimae wanachama

    Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani. Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka...
  5. JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani ni habari za kutunga

    Unaweza ukahisi ni habari za kutunga, au wale wenzangu na mimi wanasema ni 'drama' za CCM... Au na Polepole alikuwa anafanya drama? Anyway! Huu mtanange una sura nyingi na inabidi utulize kichwa kwelijweli. Ondoa hisia na mihemko ya kisiasa, kiimani na ushabiki wa aina nyingine. 1. Kuna sura...
  6. O

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Nchimbi agoma kujiuzulu

  7. JamiiForums Tanzania Habari za siku nyingi wakuu

    Habari za sku nyingi wakuu
  8. JamiiForums Tanzania Mwenye mawasiliano mazuri wanaweza kwenda mbali kuliko wenye diploma

    ndo file mukulu
  9. JamiiForums Tanzania Je kuna waandishi au vyombo vya habari vimelipwa kuichafua ARUSHA kabla ya AFCON??

    Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko ambayo ni mengi kuliko haya yanayopewa kipaumbele na yenye kuumiza saikolojia ya binadamu. Wizara ya Habari ,TCRA na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Forex inataka niua

    Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu, Naona kama ndoto zangu zimekatika...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KATAVI: Kiongozi wa CHAUMA avaa nguo za CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche mbele ya waandishi wa habari

    Huyu ni kiongozi wa CHAUMA kavaa nguo za Chadema na kujifanya yeye ni Katibu wa Bavicha Mkoa wa Katavi, kaitisha press na kuanza kuishambulia Chadema na Makamu Mkiti John Heche. Nafikiri wanasheria wa Chadema waanze kuwachukulia hatua za kisheria watu kama hawa wanaojipachika vyeo bandia...
  12. JamiiForums Tanzania Habari mpya kutoka mtandao wa Google

    Ule mtandao pendwa wa google unaojua kila kitu leo asubuhi saa 12 umefungia simu zenye uwezo mdogo kuutumia asa vile viswaswadu venye operamin
  13. JamiiForums Tanzania Yoyote anayemtuhumu HECHE , mwenye Ushahidi, auweke wazi mbele ya Vyombo vya Habari !! Kwann mnamtuhum Kwa maneno maneno?.

    Mtu anaitwa Vyombo vya Habari, anasema, HECHE anakula Hela za TONETONE. unakuta Mtu huyo, anajikita ni Katibu wa BAVICHA Nanjilinji. Yaan wewe wa Nanjilinji hukoo maporin, unaanzaje Kufungua Kinywa chako kua HECHE Anakula Pesa??. Weka makaratasi Mezani !!!. Tuko na Heche mpaka Siku ya...
  14. JamiiForums Tanzania Vyombo vingi vya habari vipo kwenye mgao wa kumchafua Heche

    Naona kama Kuna collaboration kati ya vyombo vya habari na hawa machawa wa Abdul. Anaibuka mtu hata sio mwanachama wa CHADEMA na kudai Heche achunguzwe. Cha kushangaza, vyombo vya habari bila kutathmini na kuchunguza nafasi ya msemaji, vikaja na kichwa cha habari: Vijana wa BAVICHA Pwani wamtaka...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani Yamnyanyasa Mwandishi wa Habari Raia wa USA Aliyekuwa anaripoti Habari za Matukio ya Vita Iran

    My Take Tulikubaliana kwamba Nchi Zenye Demokrasia na Katiba Mpya Huwa hazinyanyasi watu wakiwemo waandishi wa habari na kwamba huko mambo ni saaaafi kabisa ,hii vipi tena wajameni? 😂😂😂😂 Chadomo mpo? Mkileta ukibaraka mshughulikiwe bila huruma...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Kakonko tulisainishwa fedha za kujikimu TZS 80,000 kwa siku ila tunaambiwa tutalipwa TZS 60,000

    Mimi ni mwajiriwa mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma. Wakati wa kusaini nyaraka za malipo ya fedha za kujikimu, kila mmoja wetu alisaini kiasi cha TSh 80,000 kwa siku kwa muda wa siku saba. Hata hivyo, baadaye tulipigiwa simu na kuambiwa kuwa kiwango hicho kimepunguzwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanaongea na waandishi wa habari

    https://www.youtube.com/live/B0XpN97VAG4
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Tayari tulikuwa na taarifa mpango wa viongozi kulipwa kuzungumza na waandishi wa habari kuichafua chama

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026 wakati akiwasilisha maadhimio ya Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika, ametoa ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho ikiwemo katibu wa CHADEMA Mkoa Morogoro kusimamishwa kazi...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatoa tamko mbele ya Waandishi wa Habari, leo Julai 10, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=m-kVFwmIRKE "Ile ile kauli ya Rais ambaye sisi hatutambui uchaguzi wake ya kusema kwamba wanaharakati wanafanya ugaidi. Ni kauli hatari sana ikiachwa ilivyo na watetezi wa haki kote nchini. Na mimi nasema haya kwa sababu kutokana na taarifa za maandamano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…