gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

    Heaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle. Gwajima is too heavy compared to Maza.
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Njiti ya kiberiti imetupwa kwenye petroli. Sasa ni Bishop Gwajima for president! Nenda baba, nenda

    Huenda ni mpango wa Mungu mtawala anapoanza kuwagawa watu mapema na kutoa vitisho, huenda ni Mungu kamtumia Gwajima kuyasema Yale ili maji na mafuta yajitenge!! Sasa gwajima asiingie ubaridi kabisa kabisa !! Kwa chama chochote ni gwajima pekee anaeweza kuleta balaa la mpambano wa kweli kabisa...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized "Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili...
  4. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Dkt. Dorothy Gwajima mfuatilie Mwl. Mkuu S/M Kimandafu wilayani Meru, anafanya ukatili kwa wanafunzi

    Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa aina mbalimbali. Mwezi uliopita niliandika kupitia jukwaa hili vitendo vya ovyo vilivyokuwa...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Picha hii ni ya Gwajima kutoka mkutano mkuu wa CCM Dodoma Mei 29, 2025

  6. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Mbowe hatohama Chadema kama mnavyodhani, Gwajima atashinda Urais..

    Jamani, hebu niwaambie kitu – Mbowe hatohama CHADEMA kama mnavyodhani! Wengi wamekuwa wakisema eti anajiandaa kutoka, eti amechoka, eti kuna mgawanyiko... lakini ukweli ni kwamba Mbowe bado yupo imara. Yule ni mtu ambaye amepitia mengi – kifungo, mateso, siasa za vurugu – lakini hajawahi...
  7. Juma Wage

    JamiiForums Tanzania Kama Gwajima Ndiye Mtetezi wa Haki, Basi Fisi Ni Mlinzi wa Kondoo

    Katika dunia ya hoja na mantiki, ni kweli kwamba ujumbe ni muhimu kuliko mjumbe. Lakini je, kila mjumbe anastahili jukwaa? Mbona si kila njiwa huleta barua njema; wapo wanaoruka wakiwa wamebeba hadaa na uzushi. Gwajima ni baba wa ahadi zilizoharibika kabla ya kuzaliwa. Aliwahadaa wananchi wa...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hii kolablo ya Mpina na Gwajima ni kitisho kwa ccm maslahi

    Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli alimuita Gwajima mara 3, lakini leo anabezwa na vitoto vya UVCCM

    Kweli nimeamini kila zama na kitabu chake, unaweza ukapandishwa na mtu na ukashushwa na jamii ya wajinga ingawa umuhimu wako unabaki palepale na siku ukifa ndiyo wajinga watajua umuhimu wako. Lakini ukiwa hai wanakubeza kukutukana na kukudharau. Kwangu mimi Gwajima anabaki kama shujaa katika...
  10. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Hoja 10 za Askofu Gwajima zinazosubiri kujibiwa kwa hoja

    Hizi ni hoja kumi alizozitoa Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima akihoji na kushauri. 1.Kuna wimbi la utekaji, na uvamizi wa kikatili wa raia pasipo hatia wala utaratibu wa kueleweka. 2.Vyombo vya ulinzi nchini havijaeleza kushindwa kushughulikia matukio ya utekaji wa raia kwanini hatua hazichukuliwi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mdee avaa Gwajima ajipanga kuanika maovu yake

  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kumshughulikia Gwajima kwani amewasaidia kuzorotesha Kampeni ya No reforms no Election

    Mpo salama! Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii. Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa...
  13. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Hekima za Dkt Benson Bagonza(PhD) Kuhusu Press Ya Dr Gwajima

    NGUVU na AKILI: TUBOMOE au TUJENGE? Kuna mwimbaji aliimba, “Bomoa eh, Bomoa Baba Tutajenga kesho” Na wana mikesha wakaimba, “Chocheaa, Chocheaa karama ya Bwana chochea”. Lakini Bwana Yesu anasema katika Mathayo 5:9, “HERI WAPATANISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU”. Nchi ina joto kali...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tulizani ni binadamu wenzetu kumbe baadhi yao ni wanyama kiasi hiki? Sakata la Gwajima limefunua roho mbaya za watu

    Sikutarajia kabisa kuona Mwanamke asimame kushangilia utekaji na mauaji! Mwanamke halisi anaejua uchungu wa mtoto hawezi kufurahi kuona watu wakiuwawa! Hata kama kuna makosa ndiyo maana kila nchi ina sheria na mahakama! Sasa unapoona mwanamke anasimama bungeni anasema ALIYETEKWA AKOME AKOME...
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gwajima ameweka bendera ya Israel Kanisani kwake

    Sasa Ile bendera ya Israel inaonyesha nini kuhusu imani yake Gwajima.? Waisraeli anadhani wana Dini gani? Askofu Gwajima anataka aonekane kwamba yeye peke yake ndiye mtetezi wa wanyonge. Hao Waisraeli ndio wanaishambulia Gaza sasa hivi? Nani anapenda kuona Wagaza wanashambuliwa namna ile...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kiukweli Gwajima katuvuruga sana. Tunawaza na kuwazua

    Huyu jamaa halafu anajiamini nini? Haogopi hata. Yupo free na wala hana woga. Akiongea wanatumwa watu na kujituma kumjibu yeye ana wacheck tu halafu anapita kibabe mbele yao.
  17. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania GWAJIMA atimba mjengoni anawasikiliza

    Mbunge wa Kawa Josepht Gwajima akishiliki kikao cha Bunge leo Jioni Jijini Dodoma, wabunge kimya wameufyata awamtaji wamekimbia kwenye neno maadili
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Watanzania ni wajinga,angalia jinsi wanavyomjibu Gwajima

    Ukisikiliza wote wanaomjibu Gwajima,hawajibu yale aliyoyauliza muhusika,lakini wanakimbilia kumuatack muhusika,wamesahau hiki kizazi cha sasa siyo wajinga,bali wajinga ni wale wanaomjibu Gwajima kwa kutumia ujinga wao na ndiyo kundi kubwa linalowakilishwa na wana CCM kuanzia Viongozi,wanafunzi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwani kosa la Gwajima lipi? Naombeni mnieleweshe

    Yaani kwamba amekosea kuongea ukweli? au alitakiwa kukaa kimya aache tu watu waendelee kutekwa na kushambuliwa?
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ukitoa Askofu Gwajima ni wanasiasa au watu wapi maarufu hawajabadilika kimitazamo tangu Hayati Magufuli mpaka sasa ?

    Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha . Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo . https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9...
Back
Top Bottom