gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mwijaku amjibu Gwajima, atangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe

    Kada wa CCM Mwijaku Burton ametangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe baada ya kile alichosema kuwa ni Gwajima kugeuka kuwa mwanaharakati baadala ya kutekeleza ilani ya CCM. Mwijaku ameyasema hayo kupitia mtandao wa X...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali, Gwajima asijibiwe, kufanya hivyo, ni kumpa ruksa ya kusema hata ya siri zaidi, mtapoteana

    Gwajima asijibiwe, atachafua mno hali ya hewa Kama mnakumbuka kipindi cha sakata la mzee Lowasa, mtakubaliana na mimi kuwa yule mtu hana woga Nimewahi kumsikia mara nyingi akitamka Yeye haogopi, maana yeye ni mtu mwenye uraia pacha, Yaani wa Duniani na wa mbinguni na yupo tayari kutumikia...
  3. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Wote walikataa kutumwa Gwajima tu ndo akakubali. Wakamwita wakampa documents zote

    Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari. Jamaa wanasema wanataka ijulikane hawahusiki na hawapendi huu uhuni unaofanyika kwa watanganyika. Wanasema kuna kikundi cha KZMKZ kina...
  4. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Wameliamsha Dude. Gwajima asjibiwe ili akasirike amwage Mchele kwenye kuku wengi

    Ameahidi atarudi anasubiria wamjibu. Na kasema atarudi mara nyingi tu. Yaani watakavyozidi mshambulia ndo atakavyozidi kuwapasua. Wana CCM wengi smart huwa hawapendi ugomvi na Gwajima. Wanamfahamu huwa anaingia deep sana. So watu wanajipanga watoke vipi.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ame raise and attend both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS in a single sentense

    IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu! Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA anasema...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Gwajima, anaweza fuata kiongozi au mtu mwingine maarufu ndani ya CCM kuja kukoleza moto kwa kuongea na waandishi wa habari

    Kwa mtazamo wangu, wakati wanaangalia au wanajipanga namna ya ku'-deal na Gwajima, siku chache zijazo, anaweza kutokea kiongozi mwingine au mtu mwingine mstaafu ndani ya CCM, ambae nae atapita mule mule alikopita Gwajima Hata hivyo, mtu huyo anaweza kuja na hoja nyingine za ziada lengo likiwa...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kufukua makaburi ya Gwajima hakutawasaidia

    Kuna option mbili tuu 1. Kukaa kimya na kuufanyia kazi ushauri wake 2. Kumjibu kwa hoja na si vioja Mafutataa yamemwagwa kwenye shimo la nyoka.. Mila moja inatoka na style yake...! Press conference yake ya jana tarehe 24/05 iliyoenda viral Sana imeshaanza kupata feedback toka kwa watetezi Sasa...
  8. uttoh2002

    JamiiForums Tanzania Ccm mtumieni Balozi NCHIMBI kumjibu Gwajima

    Ingawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee! Sasa nyie mtumieni Lucas!
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima asema Padri Kitima alipigwa na vijana wa CHADEMA

  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikao cha Dharura namna na watu wa kumjibu Gwajima

    Kuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri. Katika...
  11. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Najiuliza tu Samia utamjibu na Gwajima?

    Tumezoea kusikia Vijembe kila kukicha kutoka kwa Madam president. Na vijembe hivi hu vidirect kwa watu wanaokosoa na kusema uongozi wake.. Najiuliza Je na la gwajima atajibu mipasho tena?
  12. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Watamjibu na Askofu Gwajima?

    Nimeisikiliza hotuba ya Askofu Gwajima "akilihutubia" taifa! Ni hotuba nzuri iliyoweka mbele maslahi ya taifa! Si bure Watanzania wote wenye akili wanaifurahia! Lakini imezoeleka kuwa kila anapoongea mtu mwenye uzalendo juu ya nchi ya Tanganyika huibuka wanaojiita "machawa" kumjibu kwa lengo la...
  13. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Hawa waliokuwa wamekaa nyuma ya Gwajima kwenye press yake ni kina nani!

    1. Wachungaji wenzie wa kanisa lake 2. Walinzi wake 3. Wasaidizi wake 4. Ama ni washereheshaji tu. Kwa maana facial expressions zao siyo za low level, ni za high level kama Gwajima mwenyewe, na zingine zaidi ya Gwajima kabisa! Msisahau 99% wamepiga upara kama wa Gwajima! They aint ordinary...
  14. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitajibu na kutoa ufafanuzi na uchambuzi wa kina wa hotuba ya Askofu Gwajima, Jumatatu. Usipange kukosa kunifuatilia

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeisikiliza kwa kina,kirefu ,Umakini ,utulivu na kwa kila neno lililotoka kinywani Mwa Mheshimiwa Askofu Dkt Josephat Gwajima Hotuba aliyoitoa Kwa Waandishi Wa Habari. Hivyo Basi baada ya kuiskiliza vyema na kwa kina na kwa kutumia Jicho La Tatu ukiachana na haya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Gwajima ulitafakari mara 100 kabla ya kuitisha mkutano na Vyombo vya Habari

    Mh Ghwajima nakupongeza kwa kujilipuwa na kusema mambo mazito na magumu ila kwa sisi wana wakuona yasio onekana kile kikao uwenda kikakutoa kamasi kama sio kupanda pipa nakutafuta makazi. Haya ndio hukuyatafakari. Kwa kile kikao umewafungua macho wanakusadikika nani ako nyuma ya haya mambo...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Gwajima si mtu wa uhitaji wa ka cheo cha ubunge wa Kawe

    Kuna machawa wanambagaza Askofu Gwajima baada ya kuongelea watu kuteka na kupoteza bila wahalifu kukamatwa na kushitakiwa Taarifa hizi zimewaudhi machawa hadi wakasema ati Gwajima harudi bungeni tena Askofu Gwajima ni mtu mwenye ukwasi wa maana 1. Ana private jet yake 2. Ana Magari kifahari...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Press ya leo ya Gwajima, nani atamjibu?

    Kumjibu kwa maana ya Ku balance story Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi...
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Chadema msimpe nafasi ya kugomea Urais Gwajima

    Naongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu. Haya mambo ya kuwachukua watu wakati wa uchaguzi hapana Kama wanakuja wakae benchi kwanza hata nafasi ya kugombea nafasi yeyote wasipewe. Kwanini kwa sababu baada ya uchaguzi uwa wanaanza kashifa za kijinga na kukigawa chama!! Na mwisho...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Gwajima si shujaa wetu lakini kwa hili la leo anaelekea kwenye huo ushujaa. Je, atakuwa salama kiasi gani?

    Saa 72 zijazo zinaweza kuamua hatima ya siasa za ccm ama tatizo kubwa tulilonalo sasa hivi la utekaji Gwajima (Gwaji boy) kaamua kumfunga paka kengele.. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni baada ya sakata la wakenya waliotekwa na kujeruhiwa wakiwa mikononi mwa vyombo vya usalama... Na ile...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Tanzania ni yetu sote na ni Tanzania kwanza, mengine yote yanafuata

    "Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, wa bara na znz wanateuliwa na Rais na wanaondolewa na Rais pale anapoona hawafai, vile vile kwa mkuu wa jeshi la polisi na magereza. Mkuu huyu (yoyote kati ya hao) akipishana na rais kwenye jambo lenye maslahi ya nchi, halafu akashauri anaona jambo hilo...
Back
Top Bottom