gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki yametokana na wivu wa mapenzi, alituhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima: Vitendo vya Ubakaji na Ulawiti vimepungua kwa asilimia 6.3 na 19 mwaka 2024

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini vimeanza kupungua, hususan matukio ya ubakaji na ulawiti, kufuatia juhudi mbalimbali za Serikali na wadau kuelimisha jamii. Akiwasilisha makadirio ya...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

    Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe; "Silaha ya wajinga ni kujipendekeza, mtu asiyejua kitu silaha yake kubwa ni kujipendekeza na kuwasemea wengine mambo mabaya. Vijinga vinajua kuji-position. Mwenye uwezo analindwa na uwezo wake haitaji kujipendekeza kwasababu uwezo wake unambeba"
  4. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Gwajima kufutwa uanachama, kugombea Urais...

    Good morning wadanganyika, Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo. Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Gwajima ni lipi?

    Wakati alipokuwa na kashfa ya ngono kipindi kile.. ccm walisimama naye kumtetea mpaka wakapovuka... Yalitokea mazonge yake mengi tu lakini walifunika kombe mwana haramu akapita... Nyakati zikapita.. Watu wameumbiwa kusahau maisha yakasonga.. Yalaendelea kuwatokea Watanganyika mengi mabovu ya...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya awalia: Gwajima 3, Chawa 0

    Mpaka sasa Gwajima anaongoza kwa magoli 3. Mashambulizi toka ile timu nyingine ni makali lakini kutokana na kuwa katika hali ya panick wamekuwa wakiupiga mpira nje mara kwa mara! Nini kitajiri baada ya dakika tisini! Macho na masikio yetu uwanjani!!!
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Je Gwajima katumwa kuzima ajenda ya NO REFORM NO ELECTION?

    Ukiangalia hoja za Gwajima kweli Zina mashiko lakini kwa sisi wenye jicho la tatu tunajuwa ametumwa kuzima ajenda ya no reform no Election. Nikikumbuka jinsi Jk alivyomtumia kumleta Lowassa Chadema usishangae akawa anatumika pia kutaka kuzima ajenda ya no reform no Election. Kwanini anavitetea...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni Ndesamburo mpya hazuiliki

    Marehemu Ndesamburo alikuwa hazuiliki kwasababu alikuwa tajiri na pesa yake haikutegemea serikali alikuwa na viwanda muhimu na biashara za utalii pesa yake ilikuwa ndefu huwezi kuizuia na nyingine inabaki huko huko wanakotoka wazungu wageni wake Gwajima anapesa kwanza za kanisa na misaada...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bunge lajipanga kumuita Gwajima kwenye kamati kujieleza!

    Kuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge (kinga na haki) kama njia ya haraka haraka kumtisha au kumpiga break Gwajima na hapo hapo kumtia moyo...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Murro: Gwajima njoo jimbo la Kawe ueleze wananchi boti za uvuvi ulizoahidi Kawe ziko wapi, amtaka aachane na kuandaa michezo ya rede jimboni

    Wapiga kura wameanza kuitisha majalada yao. Gwajima aliahidi kuwapeleka Birmingham wakazi wote wa Kawe ambao kwa idadi ni malaki. Mpaka leo hajawapa hata passport. Akaahidi boti za uvuvi kwa kila mtu, bahari iko palee, haina hata boti moja. Aliahidi kuwapeleka vijana Japan, mpaka leo hakuna...
  11. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Kesho nitatoa mfano wa jinsi gani ambavyo ingepaswa Gwajima ajibiwe

    Nimeona watu wakijibu hoja za Gwajima kwa mihemuko bila kuja na hoja kinzani ukilinganisha na Gwaji boy. Nahitaji maandalizi na sio kukurupuka, jamaa amepiga kwenye mshono, tukubali tusikubali.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepoteza kanda ya ziwa- Gwajima apigilia msumari

    Katika nchi yetu, ukiona umepoteza ushwishi kanda ya ziwa ujue una hali ngumu sana ya kisiasa. Kwa sasa dalili zote za kisiasa zinaonyesha kuwa Samia amepoteza uungwaji mkono wa kanda ya ziwa. 1. Press conference ya Gwajima imeizimua kanda ya ziwa. Katika mitandao ya kijamii nimefuatilia watu...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unafiki wa media za Bongo kuhusu Gwajima, zimejikita kwa Jerry utafikiri hawakuona ya Gwajima

    Baada ya Gwajima kuwapiga za chembe, hakuna media yoyote ukiacha "THE CHANZO" walioripoti Ile issue but baada ya empty headed baboons kuanza kujibu, naona kila media imeripoti "majibu" kwa Gwajima. Swali, media zinaripoti "majibu" based on Which story?? KAZI ipo
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Gwajima.. Je ni ufufuko wa SKMG?

    Domination ya kura katika siasa za Tanganyika kikanda inasemwa kuwa kanda ya ziwa ndio huamua nani ashike usukani wa jahazi la urais Kanda ya ziwa yenye kubeba mikoa kumi hivi ni kama asilimia 40 ya mikoa yote ya Tanganyika.. Ikibeba watu wenye uthubutu wanaojiamini na wenye upungufu mkubwa wa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati kuu kauli zake zina ukakasi , he disregard taratibu husika

    Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, he disregard party tradition, needs to be fixed Angewasikisha hoja zake mamlaka husika. Has enough experience with party tradition hence should not have gone Public. A...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria za uteuzi yalipaswa kuongelewa na kina IGP wenywe sio mpaka wasemewe na Gwajima

    closed
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  18. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yupo nyuma ya Askofu Gwajima?.

    Sio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika. Nani anampa kiburi mzee wa Kawe?
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna tetesi kuwa CCM na magenge yao yanatafuta njia kuzibiti habari na video za gwajima na wengine wasisambaze.

    Wametafuta mpaka ma IT wao uchwara wajaribu ku hack account ya gwaji boy youtube na lengine wamekataza chombo chochote kisitoe habari za yaliyo ongelewa. Usijeshangaa hapa JF mkafutiwa nyuzi zenu ambazo zinahusu habari ya gwaji kuweka wazi na zikabaki za kumziaki.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge zaidi ya asilimia 95 wanakubaliana na alichozungumza Gwajima

    Habari JF Za chini ya kapeti, ni kuwa Gwajima nyuma yake kuna kundi kubwa hasa hasa makada wenzie, na hii ni strategic move, yapo mengi na huyu ni kwanza, makada wengine wako njiani. Ya kesho yanafurahisha
Back
Top Bottom