gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kushusha radi nzito kesho Kanisani kwake

    Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia. Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima karibu Chaumma kiti chako kipo empty kinakungoja!

    Karibu utie nguvu hapa na Ile kweli yako ya moyoni mwako uje uiweke wazi hapa! MaCCM wametukatili sana walitunyima vibali vya kurusha chopper letu, lakini tunasema inshaallah, watatubana sana, watatufanyia roho mbaya sana, Hawa CCM ndiyo wanaoteka watu wasio na hatia, Hawa ndiyo wamemuweka...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sabalheri mbunge wangu Gwajima

    Nichukue nafasi hii kumtakia kheri na kumpongeza mbunge wangu wa Kawe Askofu Gwajima. Ukweli misingi ya siasa zaleo Kwa nchi nyingi Afrika zinahitaji rohonyeusi, uongo,uchawa,mihemuko na kutizama upepo unapoelekea na wakati mwingine ulozi. Natambua Askofu kujishirikisha na mambo hayo ni kazi...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima D unazungumziaje suala la Utekaji?

    Mheshimiwa Dkt. Gwajima D amekuwa active member wa jukwaa na ni waziri pekee anayesoma na kureply nyuzi zinazo mtag. Natamani kujua kauli yake kuhusuana na suala la utekaji na maoni ya kuvuka hapa tulipo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je! Rais Samia anapambana peke yake ndani ya CCM? Kitendo cha yeye kutoa hukumu kama M/kiti juu ya Gwajima, hakuashirii jambo hili?

    Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CCM , IGP , Bashungwa msikilize Marehemu Magufuli halafu mjitafakari halafu mgeukie Gwajima muone kama ana kosa lolote

    Msikilize Magufuli, Rais Samia utakuwa umemuonea Gwajima kumbagaza kama ulivyofanya
  7. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Askofu gwajima anawajua wasiojulikana, ushahidi huu hapa.

    Wasalaam Tarehe 6 Sept 2017 alimuonya tundu lissu asiende dodoma atapigwa risasi. Lakini kama tujuavyo nabii hakubaliki kwao hivyo lissu talikaidi na Sept 7 alishambuliwa kwa marisasi mengi. Hii ni wazi baba askofu anawajua wasiojulikana ni vema akawaanika wazi ikibidi kwa majina yao ili...
  8. Chakaza

    JamiiForums Tanzania "Nileteeni Gwajima" 2020 VS "Tupakule Magwajima" 2025. Mpambano Bado ni Mkali Sana.

    Nani kuibuka mshindi? Maana sasa umeingia ndani ya chama na 'Maintalekichua' wanaonekana kuunga mkono timu 'Nileteeni Gwajima' Est.2020 dhidi ya wale kina 'Pangupakavutiamchuzi' tunaounga mkono timu 'Tupakule Magwajima' Est.2025. Naona hata jamaa zangu Njaa55 wanasikitika kwani huu mpambano...
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Technically, Askofu Gwajima kashaondolewa CCM

    Askofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Dk ya 88 Ask. Gwajima 3 CCM 0. CCM wanapoteza muda tu Uwanjani

    Wanaupiga mwingi nje ya Uwanja Kapteni wao haeleweki anacheza nini kila pass anayopewa anabutua uelekeo wowote ule. Hakuna aliyejibu hoja ya Gwajima. Maswali ya Gwajima yamekuwa Magumu sana kujibiwa. Wanapuyanga tu kama kuku alokatwa kichwa akaachiliwa akimbie.. Wanamshambulia Gwajima badala...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nahisi Gwajima atagombea uraisi 2030.

    Tukiwa hai tutakumbushana. Siasa ni mchezo wa soka ukiwa madarakani ila ni mchezo wa kubet ukiwa haupo madarakani, na kama ukiwa mpinzani (haupo madarakani) na siasa zako za kubet unakuwa mtu ku-take risk mara zote, na katika historia ya gwaji boy ni mtu wa kuchukua risk na kuzamia katika kitu...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Video: Dude lishaamshwa, Je, Gwajima ataenda mahakama ya Tanzania au kwa Mungu kupinga maamuzi ya watu 2 kujichagua kuwa wagombea?

    Ninaamini kama Gwajima akitoka mbele kwenda mahakamani kupinga maamuzi ya watu 2 kujichagua wenyewe kuwa wagombea ndani ya chama atapata nafasi ya kuungwa mkono na vigogo ndani na nje ya chama. Watu wanataka mabadiliko lakini issue ilikuwa nani atamfunga pake kengele? Gwajima michezo yako ni...
  13. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini type za ama Gwajima muyaache nje. Haki gani hiyo ??

    Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ? Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje. Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti. Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa. Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima > Wafanyabiashara wa G55

    Gwajima > Wafanyabiashara wa G55. Kwamwao elewa Gwajima mmoja ni zaidi ya G55 wote. Mfukuzeni awe huru kuongea na kusaidia taifa mapema.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa wazalendo wamwekee Gwajima ulinzi au intelegensia kubwa lolote wanaweza kutokea watu wabaya kumdhuru

    Baada ya Maneno ya mama ni dhahiri Huyu MTU ameonekana kuleta madhara NDANI ya chama Cha watawala. Nakumbuka mgombea wa upinzani wa Marekani Trump alishambuliwa kwa risasi lakini aliokolewa na usalama wa Taifa Nashauri awekewe ulinzi na intelligence kubwa wasije watu wabaya wakatumia huo...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Standing on business: Gwajima usiwe kama Ndugai!

    Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi. Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa. Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea. Leo kuna...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

    Heaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle. Gwajima is too heavy compared to Maza.
  18. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Njiti ya kiberiti imetupwa kwenye petroli. Sasa ni Bishop Gwajima for president! Nenda baba, nenda

    Huenda ni mpango wa Mungu mtawala anapoanza kuwagawa watu mapema na kutoa vitisho, huenda ni Mungu kamtumia Gwajima kuyasema Yale ili maji na mafuta yajitenge!! Sasa gwajima asiingie ubaridi kabisa kabisa !! Kwa chama chochote ni gwajima pekee anaeweza kuleta balaa la mpambano wa kweli kabisa...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized "Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili...
  20. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Dkt. Dorothy Gwajima mfuatilie Mwl. Mkuu S/M Kimandafu wilayani Meru, anafanya ukatili kwa wanafunzi

    Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa aina mbalimbali. Mwezi uliopita niliandika kupitia jukwaa hili vitendo vya ovyo vilivyokuwa...
Back
Top Bottom