gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni mjumbe asiye sahihi mwenye ujumbe sahihi

    Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amlipua Gwajima kwa kutaka Misikiti kugeuzwa Sunday Schools

    Katika chapisho lenye maneno makali kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), mwanasheria na mwanaharakati mashuhuri Fatma Karume amemshambulia vikali Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kwa nia ya kutaka “misikiti igeuzwe kuwa Sunday Schools.” Kauli hiyo imeibua mjadala mzito kuhusu uhuru wa...
  3. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Askofu Gwajima ni kutopevuka kisiasa na kuuzwa kirahisi katika propaganda

    Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu. Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amuoa Zuchu. Ni mpango wa kuuzima moto wa Askofu Gwajima?

    Wakuu Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli? Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu. Msanii wa lebo yake WCB Wasafi. Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Dr. Josephath Gwajima hakukosea kuingia bungeni!

    Mwaka 2020 niliposikia Dr Gwajima anagombea ubunge, nilifikiri "kapotoka". Ningekuwa jimboni kwake kipindi hicho nisingempa kura yangu! Lakini sasa nimegundua nilikuwa nimekosea! Alikuwa sahihi sana! Kama si Gwajima kuingia bungeni, GWAJIMANIZATION ingetoka wapi? Naomba msamaha kwa...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Laiti Gwajima na Rais Samia wangenyamaza

    Siyo siri wala uvumi tena. CCM sasa iko msambweni tokana na matamko ya makada wake wawili Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na Mnec Josephat Gwajima. Laiti wawili hawa wangenyamaza badala ya kuanika nguo zao za ndani hadharani. Kwanza, Gwajima kama. mtu aliyetolewa jalalani na Magufuli na kumpa...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dotto Magari anamuogopa Askofu Gwajima

    Siku Dotto Magari akishupaza bichwa lake basi ukweli wa wezi simu Kinondoni, dawa, utapeli utajulikana. Msiwe mnajisahau ndio maana bill nasi kawa mkimya anafahamu shukuru Nandy
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Gwajima asema "Wakiingiaga kwenye Upanga wake Huwa hawatoki ' awaomba Watanzania kesho kuhudhuria Kwa wingi kesi la LISSU!!

    Huyu Gwajima ni mzuri sana kushambulia akitokea Pembeni !!. Hapoi, hachoshi, haboi !!. Haiwezekan Watekaji wajiite Polisi, alafu Polisi hapohapo Wakane kua hawateki alafu mwisho Hatupewi Report yoyote kuhusu Utekaji Ni kama Polisi ( japo nao wanamaupuuzi mengi tu) wakifuatilia Suala la...
  10. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwanini Askofu Kakobe hajihusishi na siasa tena?Je, yaliyomkuta yatamkuta na Gwajima?

    Miaka ile ya Mrema anagombea Urais nchi ilikuwa ya moto. Askofu Kakobe alikuwa upande wa Mrema. Alikuwa wa moto. Ghafla akaambiwa kanisa lake limejengwa kwenye njia ya umeme mkubwa, linatakiwa libomolewe. Akaja kuachana na siasa na hataki kuisikia tena. Askofu Gwajima (sauti ya wengi)...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni akili kubwa sana , sioni Mwanacm wa kupambana na Gwajima

    Juzi nilimsikiliza yule jamaa wa Yanga Anajiita Muro, nikamsikiliza yule jamaa Anajiita Furaha aliyetemeshwa tonge mdomoni Na nikawasikiliza CCM siku wanazindua Ilani ya Chama Aisee to be honest CCM bado Sana . Bora Mkubali kujirekebisha maana Gwajima yupo anointed , and intelligent. Sisiemu...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pambano hili lisichukue mkondo wa udini. Kivyovyote Gwajima atashinda likipelekwa kidinidini

    Tupo tunatazama! Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa. Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama mchezo. Na bahati nzuri anaumudu. Gwajima ni zile type za kina Trump. Njia pekee ya kuwashinda watu aina...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume aonya Gwajima kuaminika kama mtetea haki, akumbushia suala la kutaka kubadilisha misikiti kuwa makanisa!

    Hili suala la utekaji linazidi kuchukua sura mpya, Fatma Karume ameibuka na kusema Gwajima sio mtu wa kuaminika katika kutetea haki kwa sababu kuna wakati alitaka kuwanyang'anya Waislamu haki yao kuabudu aliposema atabadilisha misikiti kuwa makanisa! Sikuwahi kujua Fatma Karume ni mshika dini...
  14. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Wanasubiri Gwajima aingie mtegoni wabonyeze button, wammalize

    Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button itabonyezwa soon na kiherehere chake chote kitamuisha. Niko hapa nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Gwajima aandaliwe pesa angalau milioni 500 kumtuliza kama anayoyasema ni kweli

    Kuendelea kushindana na Gwajima ndo kunafanya chama tawala kiendelee kuchafuka zaidi. Hapo hamna hamna wamuandalie fungu zito angalau milioni 500 kumtuliza mambo yasiwe mengi. Njia ya kutumia nguvu kumtuliza inazidi kukibomoa chama tawala. Pia kama atapatwa na jambo baya lolote basi...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima, hukuthubutu kunyanyua mdomo, iliyokuwa awamu ya tano, tukuelewaje?

    Maneno ya Gwajima leo! ⏬ ======= "Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima "Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa...
  17. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Hii ya Gwajima ni sinema ya CCM wenyewe, kufuatilia ni kupoteza muda

    Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika. Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it. Hata kama anaongea vitu vyenye...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Gwajima yamuibua Zitto Kabwe akichukizwa na mauaji ya watoto na raia wasio na hatia huko Gaza!

  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gwajima kasema Ponjoro wa Kinondoni atulize mashono, akimgeukia atasanda

    Gwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye ameng'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji. Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote, kwanini yeye aje amsemee mtoto mmoja tu? Sababu wengine hawana thamani? Kamwambia atulize mshono la...
  20. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja kabla sikuwa na mpango wa kupiga KURA ila kwa huu upepo nimeamua kikamilifu kwenda Kituoni asubuhi na mapema siku hiyo ya kuwanyoa watu...

    Mara nyingi uchaguzi unapokaribia, hisia huwa za kuchanganyikiwa. Wapo wanaosubiri kwa hamu kutimiza haki yao ya kidemokrasia, lakini wapo pia – kama nilivyokuwa mie – waliopoteza imani na mchakato mzima. Nilijiona kama mtu mmoja tu asiyeweza kubadili lolote, na kwa muda mrefu nilikuwa nimeamua...
Back
Top Bottom