Hoja ya Mdau baada ya tangazo hilo 👇🏻
Mmh, hili ni ongezeko kubwa sana la gharama kutoka 97,400/= hadi 255,400/=, sawa na ongezeko la zaidi ya 100%.
Awali gharama za hosteli zilikuwa takribani Magufuli & CoICT 800-1,300/= na Mabibo 500-1,000/=. Ongezeko hili kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa...