Kwema wakuu,
Soon nitaanza umwagaji Slab kwenye ujenzi wa ghorofa. Slab itamwagwa kwenye eneo la nyumba ya ukubwa wa kawaida tu, ambao ni kama mita 8 kwa 12 eneo la nyumba ya chini, floor moja ya juu.
Wapi kwq hapa Dar naweza kupata Mini Pump kama hii hapa chini ya kukodisha? Na Gharama inaweza kua kias gani wakuu? Kuna mtu kanishauri niweke vibarua "vinega" ila najaribu kucheki option-B