NEST Yapandisha Gharama za Chakula Mitihani darasa la saba.

kachwankizi

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
91
Reaction score
146
Utaratibu wa NEST unatumia gharama kubwa kwa baadhi ya huduma. Mfano huduma ya chakula.
Hili nimeliona kwenye uendeshaji wa mitihani ya darasa la saba. Shule zinalazimishwa kuagiza vyakula kupitia Nest badala ya kuandaa wenyewe.
Hii imeongeza gharama mara mbili au zaidi.
Mzabuni analeta chai kwa shule iliyo kilometa 15 toka chakula kinapoandaliwa , analeta chakula cha mchana na kisha kuleta chakula cha jioni. Gharama yake ni kubwa sana hivyo bili zake ni kubwa.
Shule nilizofanyia uchunguzi zilikuwa zinatumia awali takliban sh. 300,000/= kwa siku mbili kuhudumia wasimamizi. Lkn sasa baada ya kuambiwa hakuna ela itatoka kwenye mfumo bila kutumia nest zimejikuta zinatumia gharama kubwa hadi 700000l= kwa huduma ile ile. Hili limeacha shule nyingi kwenye madeni.

Kwa hili nest haijaokoa gharama mamlaka liangalie.
 
Siku ambazo hawana mitihani huwa wanakula nini ? Ilitakiwa wakati wanaandaliwa kufanya hiyo mitihani kuanzia darasa la kwanza ndio wapewe hicho chakula sio huku mwishoni
 
Utaratibu wa NEST unatumia gharama kubwa kwa baadhi ya huduma. Mfano huduma ya chakula.
Hili nimeliona kwenye uendeshaji wa mitihani ya darasa la saba. Shule zinalazimishwa kuagiza vyakula kupitia Nest badala ya kuandaa wenyewe.
Hii imeongeza gharama mara mbili au zaidi.
Mzabuni analeta chai kwa shule iliyo kilometa 15 toka chakula kinapoandaliwa , analeta chakula cha mchana na kisha kuleta chakula cha jioni. Gharama yake ni kubwa sana hivyo bili zake ni kubwa.
Shule nilizofanyia uchunguzi zilikuwa zinatumia awali takliban sh. 300,000/= kwa siku mbili kuhudumia wasimamizi. Lkn sasa baada ya kuambiwa hakuna ela itatoka kwenye mfumo bila kutumia nest zimejikuta zinatumia gharama kubwa hadi 700000l= kwa huduma ile ile. Hili limeacha shule nyingi kwenye madeni.

Kwa hili nest haijaokoa gharama mamlaka liangalie.
NEST ndio nini mdau?
 
Sisi tulifanya mitihani bila chakula
Anaepewa chakula ni mwanafunzi au msimamizi?
Huu ujinga umeaanza lini?
Kwani hawana hela ya mihogo?
 
Hz ni zama za kifisadi na majizi ya CCM kutamba mkuu. Poleni sana. Ila kwao kicheko.
Kazi ni kipimo cha utu
 
NEST ni nini, usiandike kama vile kila mtu yuko Tanzania
 
Back
Top Bottom