gazeti

Axali gazetʻi (meaning the New Newspaper in English) is a weekly newspaper published in Georgia. It is based in the city of Kutaisi. The paper is published on a weekly basis and is owned by Ekaterine Bobokhidze.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi wa 2025

    Kwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba CHADEMA imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka juu. Mimi nawakumbusha tu kwa vile najua hata nyinyi mwalijua hili kwamba kuwa na channel yenu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi inayomkabili Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Raia Mwema na wenzake kuendelea kusikilizwa Novemba 29

    Mchakato wa kesi Namba 407 ya 2022 ya Kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili Mwandishi wa Habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo inatarajiwa kuendelea Novemba 29, 2023. Usikilizaji wa mashahidi katika kesi hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Gazeti la Nipashe limeripoti kilio kuhusu mikopo ya Elimu ya Juu kutoka Bodi ya Mikopo

    UFAFANUZI WA BODI YA MIKOPO: MKOPO UNATEGEMEA NA UHITAJI WA MUOMBAJI KWA ALIVYOOMBA Mkuu wa Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB), Omega Ngole anafafanua: “Upangaji wa viwango vya mikopo kwa Wanafunzi wanufaika unatokana na uhitaji wa muombaji kulingana na nyaraka...
  4. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi tupeni uhuru tusome habari bila kuficha

    Unajaribu kufunga mada kwenye mtandao wa gazeti la mwananchi. Habari zingine unakuta zimeandikwa PM ukibonyeza hadi uwe member hii mana yake nini? Achilieni tusome habari zote.
  5. JamiiForums Tanzania Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

    Rais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023? Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na...
  6. JamiiForums Tanzania Gazeti la Kiebrania "Haaretz" lilichapisha makala ya mwandishi mashuhuri wa Kizayuni-Ari Shavit

    Wanaukumbi. Israeli ilikata pumzi yake ya mwisho Chini ya mada hii, gazeti la Kiebrania "Haaretz" lilichapisha makala ya mwandishi mashuhuri wa Kizayuni (Ari Shavit), ambamo amesema: Inaonekana kwamba tunakabiliana na watu wagumu zaidi katika historia, na hakuna suluhu kwao isipokuwa tu...
  7. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi limeripoti juu ya sakata linaloendelea kuhusu uuzwaji wa Kiwanda cha NPC Kiuta

    September 14, 2023, kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. Wajumbe watano wa bodi ya Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa (Kiuta), wanakabiliwa na tuhuma za kuuza hati ya kitalu namba 13 ya eneo la kiwanda hicho bila kushirikisha uhalali wa idadi kubwa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Makosa ya kiuandishi ya Gazeti la Daily News siku ya Leo ni Unabii kwetu sisi wana Jamiiforums. Chukua tahadhari nimeoteshwa

    Ndugu wana jukwaa, Rejea mistake: No one is above law. Si muda mrefu jukwaa linaenda kuvamiwa na mawindo ya wawindaji wa kutumika. Mnisamehe sana si nguvu zangu wala uwezo wangu, Bali ni malaika niliopewa ndio wamenituma niseme haya. Narudia tena ndugu wasomaji hata mkiona ni ujinga...
  9. JamiiForums Tanzania Gazeti gani hata upewe bure huwezi kulisoma?

    Mimi gazeti la wamachinga yaani siliewi kabisa yani naonaga tu mapicha picha siwaelewi angalia hili toleo la jana 19/8/2023 walivyolipoti msimamo wa TEC
  10. JamiiForums Tanzania Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  11. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi linatumika kuhujumu wafanyabiashara wadogo wadogo nchini?

    Kwa wafuatiliaji wa gazeti la Mwananchi kwa Muda mrefu watakubaliana na mimi kwamba, Hili gazeti linapoteza umakini wa habari kadiri siku zinavyoenda. Gazeti pengine linalopendwa na kusomwa na wapenzi wengi wa Magazeti nchini nikiwemo. Kwasasa kuna Habari wanatoa kama vile ni agenda...
  12. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi linaongopa kuhusu uwanja wa ndege wa Chato

    Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua! Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege! Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kutangaza (tangazo dogo) kwenye gazeti la Serikali

    Heshima kwenu wote! Naomba kujua gharama za kutangaza (tangazo dogo) kwenye gazeti la Serikali kama mahakama ulivyotaka. Gharama zipo na kiasi gani? Nani anayepokea tangazo naomba mawasiliano yake/yao. Asanteni sana.
  14. JamiiForums Tanzania Yanga SC yakubali Kumuuza Mayele

    Wenye Akili na tunaojua mengi na Kufukunyua yaliyojificha akina GENTAMIYCINE tuliposema habaki na anaondoka si mlitutukana hapa JamiiForums? Haya litukaneni sasa na Gazeti la Nipashe ambalo Mhariri wake Mkuu na yule wa Michezo wote ni wana Yanga SC lia lia. Safari Njema huko uendako Mayele.
  15. JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri: Waziri Mkuu atapeliwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania na Meya wa Jiji la Dar es Salaam Omary Kumbilamoto wanatajwa wanatajwa kuwa miongoni mwa viongozi waliojikuta wakitapeliwa bila kufahamu; JAMHURI linarpoti. Utapeli huo ulifanyika wakati wa maandalizi ya Sikukuu ya Eid al-Adha inavosherehekewa na Waislamu kote duniani...
  16. JamiiForums Tanzania Ungekuwa Mhariri Wa Gazeti Ungeweka kichwa kipi mbele na mwisho?

    Mambo ni mengi ,binafsi nigeweka hivi: Front page (FP) na last page (LP) FP: Watoto wasumbua likizo na wazazi wakitamani shule kufunguliwa (kana kwamba wao hawahusiki na malezi) LP: Kiatu chavutwa nusura kichanike Tiririka
  17. JamiiForums Tanzania Mwananchi communications kupitia gazeti la The Citizens wanavyoshindwa kusimamia maslahi ya nchi (national interests)

    Moja katika habari kubwa kwenye medani ya siasa za Kimataifa inayomhusisha Mtanzania ni habari ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson kuteuliwa kuwania Urais wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU) katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2023. Taarifa za...
  18. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi rekebisheni hili

    Msema kweli ni mpenzi wa mungu na ukiona mtu anakuambia mapungufu yako anakupenda ujirekebishe Mimi gazeti la MWANANCHI la kwenye mitandao nalipenda sana sababu lina habari za uhakika. Tatizo ni moja tu huwa sio waangalifu kwenye sentensi na maneno wanayoandika.Naomba kabla ya kurusha huku...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa gazeti kupewa pesa na serikali ya nchi nyingine (IPPMEDIA-CHINA)?

    Kwenye gazeti la ippmedia sehemu ya Features kila toleo ni lazima waandike vitu vya kusifia China na propaganda za serikali ya China. Sasa je gazeti hilihilo hitapataje uhuru wa kuandika habari mbaya za China? https://www.ippmedia.com/en
  20. JamiiForums Tanzania Uwongo huu Usiovumilika wa Gazeti la MWANASPOTI una Faida gani kwa Wasomaji na Wenye Akili

    Katika moja ya Habari Uza yao ya Leo wameandika Kipumbavu kuwa Thamani ya Mchezaji wa Yanga SC aitwae Yanick Bangala inainunua Klabu nzima ya Rivers United FC ambayo Wanacheza nayo leo Jioni. Nilidhani miaka ya nyuma hapa hapa JamiiForums nilipoanzisha Uzi wa Kuwasema Gazeti la MWANASPOTI (...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…