Uwongo huu Usiovumilika wa Gazeti la MWANASPOTI una Faida gani kwa Wasomaji na Wenye Akili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Katika moja ya Habari Uza yao ya Leo wameandika Kipumbavu kuwa Thamani ya Mchezaji wa Yanga SC aitwae Yanick Bangala inainunua Klabu nzima ya Rivers United FC ambayo Wanacheza nayo leo Jioni.

Nilidhani miaka ya nyuma hapa hapa JamiiForums nilipoanzisha Uzi wa Kuwasema Gazeti la MWANASPOTI ( hasa kupitia Mhariri wao Momburi ) na kuwataka waachane na Uandishi Wao wa Kinazi GENTAMYCINE nikiwa na uhakika kuwa 85% ya Waandishi hadi Wahariri ni wana Yanga SC lia lia watabadilika ila naona wameendelea Kuchagua kuendelea na Upumbavu wao wa Kiuandishi.

Kama Rivers United FC ndiyo Klabu Tajiri kwa sasa nchini Nigeria na ina Wachezaji wanaokaribia Shilingi Bilioni kwa Thamani huku pia wakiwa wanafanya vyema kwa Kuuza nje Wachezaji wake leo hii itazidiwaje Thamani na Mchezaji wa Timu ambayo haina Uwanja, ina Madeni kem kem likiwemo Bichi la aliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymail ( Raia wa Ubelgiji ), inapata Tsh 1,800/= kwa kila Jezi inayouzwa kwa Tsh 35,000/= na Mdhamini Wao na inalipa Mishahara yake kwa Kuunga Unga, Wachezaji wake wakisafiri nje ya nchi wanasafiri kwa Mafungu ( kama ya Nyanya zinazopatikana Soko Bovu la Kawe ) huku wakipitia nchi mbali mbali ili wafike?

Hovyo kabisa nyie MWANASPOTI na nawaombeni sana Mashabiki Wenzangu wa Simba SC kuwa acheni Kulinunua hilo Gazeti kuanzia leo na wana Yanga SC wenzao walinunue ili tuone sasa kama Mapato yao hayatapungua na kushika Adabu.

Nunueni Gazeti la Mwanasimba Mwenzetu ( Kaka yangu Kitasnia ) Saleh Ally alias ( Saleh Jembe ) la CHAMPIONI na kama kuna Kitu nampendea Kaka yangu huyu Saleh Ally ( Saleh Jembe ) na Gazeti lake la Michezo zuri na pendwa Tanzania na Duniani la CHAMPIONI ni kwamba huwa hana Unafiki na Upendelea katika Taarifa zao.

Kwani pamoja Yeye ni Mwana Simba SC Kindakindaki ila Simba SC ikikosea huwa Anatusema ( Anatukosoa ) tofauti na wafanyavyo Gazeti la MWANASPOTI ambao Yanga SC kukiwa na Habari mbaya hawasemi na Wao Kazi yao ni Kuisifia na Kuipamba tu Yanga SC huku mara nyingi wakiandika Habari Hasi ( Mbaya ) tena za Kiuchokonozi na Kufitinisha kisha mwisho wa Mwezi wanaingiziwa Posho zao na GSM kwani wako katika Payroll yao.

Na leo mnafungwa nyingi mno huko.

Cc: SAGAI GALGANO
 
Mwanaspoti wameona mbumbumbu fc mna fanya kufuru, mmefikia mpaka kumfananisha Bangala na Muzamiru.
Ata kama ni upuuzi muwe na heshma kidogo.
 
Mbona ujasema mtangazaji wa Azam Tv kasema Simba mlicheza fainali za shirikisho wakati ni kombe la washindi
 
Back
Top Bottom