gazeti

Axali gazetʻi (meaning the New Newspaper in English) is a weekly newspaper published in Georgia. It is based in the city of Kutaisi. The paper is published on a weekly basis and is owned by Ekaterine Bobokhidze.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri halionekani leo mitaani baada ya kuandika habari za Warioba, kulikoni?

    GAZETI la JAMHURI lililokuwa na mwendelezo wa Mahojiano maalum na Mzee wa Warioba yaliyofanywa na Mhariri Manyerere Jackton bahati mbaya leo nimelitafuta kwenye meza za magazeti sijafanikiwa kuliona kulikoni? au limezuiliwa kutoka leo? Je mwendelezo wa mahojiano na Mzee Warioba yaliyokuwa...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania HOUSE OF BLOOD: Gazeti la "The Sun" la Uingereza lilivyomuita Rais Samia mchinjaji na juu ya ukatili uliofanyika kwa raia wake

    Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama vya Tanzania. Lakini gazeti la The Sun la nchini Uingereza toleo la tarehe 6 Disemba nalo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii kwisha habari yao, tuhamie kwa waandishi wa habari, hakuna kusoma, kusikiliza na kununua magazeti yao

    Mbiu hii ipigwe kote kwenye viunga vyote vya mitandao ya kijamii, kila alipo mpenda haki tarifa hizi zimfikie kwa namna yoyote ile Nani asiyejua? Vyombo vya habari ni chombo kikiamua kutekeleza majukumu yake, nchi inaweza kushinda vita dhidi ya adui bila hata kutumia silaha Cha ajabu katika...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Trump kaandika bonge la gazeti vita aliyoanzisha na wachina imemgeukia

    Mara ya mwisho Trump kuandika gazeti refu kama hili lini ?maana kalalamika sana humu😀 mpaka namuonea huruma Ubaya mwenzake Xi hayupo kwenye mitandao ya kijamii hivyo ni ngumu kujua hata anajali wala kuzingatia lalamiko la Trump.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi nawauliza Mwanza kuna jimbo linaitwa Morogoro?

    Gazeti la Mwananchi katika habari yake ya leo inayohusu list ya walioteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM mkoa wa Mwanza limeandika mgombea jimbo la Morogoro ni Kafiti, hilo jimbo liko wapi kule Mwanza.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nyie Gazeti la 'Habari Leo' mnadhani Haji Manara aliposema kuwa hiyo Klabu wenye Akili ni Wawili tu na waliobakia wote ni Majuha (Fools) alikosea?

    TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika Tanga asubuhi hii. - Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, aliwaeleza...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere Hufananii na vitabu unavyosema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka

    Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani. Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani. Mimi naogopa sana watu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Leo hakuna gazeti hata moja lililoandika habari kubwa ya Polepole!

    Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka huukupitia chama chao. Kichekesho ni kwamba serikali imezuia media zote zesitangaze na...
  9. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Picha: Polepole ndio alikuwa amesuka hili gazeti?

    Polepole kabla hajawa balozi msimamo wake ni kuwa hii ni awamu ya 5 na Samia hatakiwi kugombea tena baada ya kumaliza hii miaka 4 iliyokuwa imebaki Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa kupata wagombea (wa Urals) haukuwa sahihi He ndio yeye alikuwa nyuma ya hawa waliondika hili gazeti?
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Gazeti la kivumbi leo laandika; Matendo ya Lissu yamekosa Uzito wa kisiasa

    LISSU AFANANISHWA NA LODILOFA Aliyekuwa mgombea urais na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amejiukuta akifananishwa na mchekeshaji maarufu Lodilofa kutokana na mienendo na vioja vinavyojitokeza naye kila afikapo mahakamani. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa na baadhi ya wananchi wamesema kuwa...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gazeti la Kenya limeto Orodha ya watu 60 wanaokumbukwa kwenye maandamano ya leo 25.06.2025 Kenya. Je, gazeti gani Tanzania linaweza kufanya hivi?

    Wakuu Gazeti la Daily Nation la Kenya limechapisha orodha ya watu waliofariki kutokana na maandamano ya mwaka 2024 huko Kenya ambao wengi walikuwa ni Genz. Je kuna gazeti la Tanzania linaloweza kufanya hivi? === Mwaka mmoja uliopita, Kenya ilikumbwa na wimbi la maandamano yaliyosababishwa na...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1999 kuna gazeti liliandika “Ally Mayay apata yai mtihani kidato cha sita”

    Nimekumbuka mbali sana leo My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki Habari ile ilimtia simanzi,alishinda ndani analia tu,rafiki zake, John Mwansansu na Renatus Njohole wakamfanyia mchongo kwenda nje, kufika ubalozini akanyimwa ViSA Mwamba...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya

    Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya. Britanicca
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Gazeti la Mwananchi limeandika 'Gwajima aomba rasmi msamaha'

  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania Gazeti la PAMBAZUKO, May 12, 2025.

    Ni hardcopy
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Fyatu kushinda urahis wa mafyatu kimiujiza

    Najua. Kaya yetu inafanya uchakachuaji, sorry, uchaguzi mwaka huu. Sambamba, nasi mafyatu tutafanya uchaguzi si uchakachuaji wa rahis wa mafyatu Mheshimiwa, Daktari, Profesa, ustaadh, Al haj, Muadhamu, Mtakatifu, Muona Mbali Fyatu Mfyatuzi. Hivyo, ili kujihakikishia ushindi wa kishindo na wa...
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaonunua nyama robo wanafungiwa kwenye gazeti?

    Hawa watu wa Buchani wanadharau sana. Yaani mtu akinunua nyama robo wanamfungia kwenye gazeti. Tena la michezo, au kwakuwa analeta mchezo na nyama??
  18. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mpenzi wa gazeti gani miaka ya nyuma?

    Habarini wakuu! Hakika miaka inakwenda. Miaka ya nyuma, magazeti yalikuwa na mvuto sana kuanzia front pages hadi ndani. Yalikuwepo magazeti mengi sana ila Binafsi nilikuwa mpenzi wa magazeti ya Sani na Kiu. Hao jamaa walikuwa wabunifu sana, kurasa za mbele zilipambwa kwa picha nzuri za mastaa...
  19. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

    Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Utekaji: naiweka kama nilivyoipata toka gazeti la jumatano la mwanchi

    Tutateka, kutekwa, na kutekana hadi lini Na Nkwazi Mhango Fyatu Mfyatuzi Japo kadhi hii inaonekana kuzoeleka kama siyo kukubalika, fyatu sikubaliani na jinai hii. Siku hizi, katika kaya yetu, utekaji umegeuka dili. Unaweza kutekwa, kuteka, hata kujiteka. Hamkusikia ndata wakisema kuwa kuna...
Back
Top Bottom