gazeti

Axali gazetʻi (meaning the New Newspaper in English) is a weekly newspaper published in Georgia. It is based in the city of Kutaisi. The paper is published on a weekly basis and is owned by Ekaterine Bobokhidze.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwangaza, linaangaza kila kona karibuni tusome kwa pamoja.

    Gazeti la Mwangaza, linaangaza kila kona karibuni tusome kwa pamoja.
  2. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwangaza, linaangaza kila mahala Jumatano ya tarehe 27 Agosti, 2024.

    Gazeti la Mwangaza, linaangaza kila mahala Jumatano ya tarehe 27 Agosti, 2024.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Hongera gazeti la NIPASHE, mumejaribu kidogo

    Kauli ya NAPE Jana kuhusu wizi wa kura ilipaswa kuwa kwenye magazeti ya leo kama habari kuu kama ilivyotawala kwenye mitandao ya kijamii. Kutokana na kufinywa kwa uhuru wa habari, magazeti karibu yote yameipotezea kabisa. Ni Nipashe pekee lilipojaribu kuiandika japo kwa woga. Hongera Nipashe...
  4. JamiiForums Tanzania Si sahihi kuwaita watumishi wezi kwani wanaotoa sadaka hutoa kwa hiari yao bila kulazimishwa

    Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na mikutano mikubwa na midogo kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote nipo kinyume na dhana ya kuwaita...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hamtaki Kujibu Swali la Msingi lililopo katika Ukurasa wa Mbele kabisa wa Gazeti pendwa la Werevu Tanzania la MWANANCHI?

    Tafadhalini hebu lijibuni bhana kwani Watanzania wengi tusiosoma ( kama GENTAMYCINE ) tunahitaji Majibu yenu Ok?
  6. JamiiForums Tanzania Gazeti An-Nuur ligawiwe bure mashuleni

    Gazeti Huru lililojaa hikma na elimu Kwa kizazi hiki na kijacho ligaiwe bure MASHULENI, airport na stendi za mabasi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yafichuka ndani ya Equity Bank, mmiliki wa gazeti la Jamvi la Habari alipewa tender na swahiba wake Zenda

    Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala, Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi Daniel ZENDA naye alipewa na Dada yake wa Damu, Story ya Dada yake itakuja soon, hivyo Daniel ZENDA alimpa tender...
  8. JamiiForums Tanzania IPTL inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na wachapishaji wa Gazeti la Mwanahalisi

    IPTL YATISHIA KUSHTAKI GAZETI LA MWANAHALISI Wakili wa IPTL, Leonard Manyama KAMPUNI ya kufua umeme wa dharula ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na wachapishaji wa Gazeti la MwanaHALISI endapo hawataomba radhi kwa madai ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania bado sana, mfano gazeti la Mwananchi

    Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari. sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo ukiztoa wenye nguvu wanashtuka. Moja ya ethics kubwa cha chombo cha habari ni kusema ukweli. Wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu na gharama za kutangaza kwenye gazeti kwa kupotea hati za ardhi

    Habari. Naomba kujua garama na utaratibu wa kutangaza kwenye gazeti kupotea hati ya ardhi. 1. Muda inayotakiwa kutangaza. 2. Garama na gazeti gani kutangaza. 3. Mawasiliano yao
  11. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti Darasa Huru ni gazeti makini au la kimkakati?

    Wakuu ni mara ya nne leo ninakutana na gazeti hili mezani. Nimejaribu kulifuatilia stori na makala zake nimebaki kujiuliza swali kuwa hili ni gazeti makini au la kimkakati? Nimekutana na makala za wachambuzi makini kama vile Absolom Kibanda, Victor Makinda Dismas Lyassa na wengine wengi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke

    Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke. Hii na makala katika gazeti la mwananchi. Uislam unasemaje? Kaa tayari upate kutoka kwa Anas bin Nadhwiri Al-Ashijainiy amesema: Siku moja mama yake Ibn Mas'uud (Radhwiya Allaahu 'anha) alitaka maji ya kunywa na ilikuwa usiku – kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Philip Nele Nduguru: mchoraji katuni wa gazeti la Sani

  14. JamiiForums Tanzania Gazeti kubwa marekani la WSJ linadai Elon Musk anatumia illegal drugs ikiwemo Magic Mushrooms ili ku-boost ufanyaji kazi wake.

    Gazeti kubwa marekani la WALLSTREET JOURNAL linadai Elon Musk ameshiriki kwenye matumizi ya madawa yasiyoruhusiwa kama vile LSD, cocaine, ecstasy na psychedelic mushrooms (Magic Mushroom) hasa hasa katika private parties. Matumizi hayo yanahusishwa na yeye kuboost uwezo wake wa kufanya kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Nilichokiona kumhusu Mwenezi wa CCM Makonda katika Gazeti la MWANANCHI la Leo kakisema Yeye kweli?

    "Nawataka Polisi kuachana na hii Lugha ya Kuwaambia Ndugu ambao huenda Polisi kutafuta Watu Wao waliotekwa na Wasiojulikana kuwa bado wanaendelea na Uchunguzi kwani kwa kufanya hivi wanasababisha Watu kuwa na Hisia zingine mbaya kwa Serikali na Vyombo vyake Nyeti kuwa ndiyo IMETEKELEZA hilo"...
  16. JamiiForums Tanzania Hatimaye Vyombo vya Habari vya Tanzania vyajiondoa ndani ya Chungu, hebu Someni hili gazeti

    Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

    Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi. Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii...
  18. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi kuanza kutoza gharama za kusoma taarifa zao

    Nimesikia leo kwamba wataanza kutoza kupata habari zao, ambapo kwa siku ni Tzs. 500, hapa najiuliza yaani wameona pamoja na gawio wanalopata kwenye MB tunazotumia, wameona haitoshi. Halafu habari za kulipia 500 zina uzito gani, hebu watuache.
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama yawaachia huru Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Raia Mwema na wenzake wawili

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam imeifuta Kesi Namba 407 ya 2022 ya Kimtandao katika Kundi la WhatsApp iliyokuwa ikimkabili Mwandishi wa Habari za Afya na Uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo. Uamuzi huo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Vitabu vya Dini vina Mafumbo kana kwamba ukiwa Kichwa nazi uwezi kuelewa au utaelewa tofauti

    Tatizo letu binadamu ni moja, vitabu vya dini tunataka tuvisome kama vitabu vya hadithi vya akina Nyemo, tunataka kuvielewa kama vilivyoandikwa, yaani hatutaki kujua walikuwa na maana gani. Tatizo huwa hapo tu. Sina uhakika na Kurani kwa kuwa sijaisoma sana, ila kwa Biblia, imeandikwa kimafumbo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…