Hata kama huna gari, huna hela na hata ukipata hela kuna baadhi ya magari yamekaa na sura/muonekano sio rafiki, hayakushawishi, yataje.
Mimi binafsi sijawahi kumiliki gari ila ukinipa lift kwenye VX, Noah na vigari flani vipo hasa hasa vipo Njombe wanavifanyia biashara ya tax sijui vinaitwaje...