tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,221
- 7,080
Wadau amani iwe kwenu.
Nina swali dogo tu ningependa kupata ufafanuzi ili kuongeza uelewa. Ni kwanini Oil Pressure Light inakuwa on kwa dakika 2 hadi 3 wakati wa kuwasha gari hasa gari inapokuwa imezimwa kwa zaidi ya masaa matatu na kuendelea?
Vile vile napenda kufahamu athari zinazoweza kujitokeza endapo nitaanza kuendesha gari kabla ya taa hiyo kuzima.
Natanguliza shukurani kwa michango yenu.
cc: Boeing 747