gari

  1. Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

    Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy. Gari ambayo naweza enda...
  2. S

    Natafuta gari kwa ajili ya biashara ya Uber

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni ya udereva ninahitaji gari ili tufanye biashara na mmiliki wa gari kwa uaminifu na ushirikiano gari ilo liwe la mkataba au hesabu mimi niko teyari namb...
  3. M

    Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari ya mkono

    Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari Inatumia umeme wa gari 12V Inanyonya michanga,vumbi,takataka ndogo ndogo Inanyonya vumbi kwenye viti Bei 40,000 tu. Free delivery ukiwa dar Call/WhatsApp 0656 666 662
  4. P

    Dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba

    Mimi ni dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba pia nina account ya uber na leseni namba yangu ni 0764254637
  5. Matengenezo matatu ya magari ambayo kila mwenye gari anapaswa kujua

    Kila mtu mwenye gari hafurahii akiwa barabarani na kutambua kwamba gari haliko sawa. Inakuwa mbaya zaidi ukiwa huna hakika kwamba tatizo ni nini. Ila, matatizo ya yanayotokea huwa yana husisha vitu vitatu. Na bahati nzuri, huhitaji kuwa mtaalam wa magari kuzitengeneza. 1. Betri Iliyokwisha...
  6. Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Habari za jioni wakuu Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali.. Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
  7. U

    Taarifa: Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Arusha chanunua Gari jipya la kisasa kurahisisha utendaji kazi

    Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally amehuhudhuria hafla hiyo na kukabidhi gari hilo kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Arudha akiambatana na Mh Humphrey...
  8. Car4Sale Chagua gari ulipendalo hapa kwa bei nzuri

    Habari wadau na wanajukwaa kwa ujumla. Nitakua naleta gari ninazotumiwa na maboss wanaouza gari zao kutoka sehemu tofauti tofauti. Ungana nami sasa. TOYOTA VITZ clavia Cc 1290 Engine vvti Price: 6m Location: Mbezi Mobile: 0785 857564
  9. Kuna gari ndogo inatikisika yenyewe tu parking hapa Villa Park

    Hapa villa park Mwanza kuna gari ndogo ipo kwenye parking naona inatikisika yenyewe tu. Najaribu kuangalia kwa mbali kama kuna watu kwa ndani ili niweze kuwaokoa labda kuna tatizo. Gari ina tinted sioni vizuri. Nikiona hali inazidi nitawaambia walinzi
  10. Nyongeza ya mshahara inakuja. CHADEMA msidandie gari kwa mbele

    Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa. Bila shaka mmesikia serikali ya CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka...
  11. Wanajamvi tunaomiliki gari tukutane hapa kwa kuuziwa spare

    Wakuu habari , shukrani kwa mola muweza alie tukutanisha hapa, niende direct kwenye mada. Changamoto ya spare haswa za Taa za gari , ni kama wimbo wa taifa maana kila mmiliki wa gari anakumbana nayo, katika mihangaiko yangu nilifanikisha kukutana na kijana wa kitanzania aliye fanikiwa kubuni...
  12. K

    Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

    Ndugu zangu Inakuwaje mwanaume mzima anaendesha ka baby Walker? Yaani jibaba nene linatumia kigari cha mkewe? Huoni aibu? Si bora hata upande daladala? Hata Bashite alisema wazi vi gari vya IST ni vigari vya kuhongwa wewe mwanaume huoni aibu? Hii tabia walikuwa nayo wanaume wa Kinondoni, ila...
  13. Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

    Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo. 1- Isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo). 2- Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu. 3- Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr 4- Muonekano mzuri na imara. 5-...
  14. D

    Pata huduma ya kufungiwa GPRS kwenye chombo chako. Pikipiki, bajaji, gari

    GPS TRACKING SYSTEM NI NINI Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika. Mfano ---- Sehemu chombo kilipo ---- Mwendokasi wake ---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika ---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
  15. Car4Sale Gari: Toyota Cresta for only 3.8million

    Toyota Cresta Automatic Gear Full Ac Full paid Full documents Cc 1980 Yom 1999 Engine Ni 1g Kavu Big music inside All Tyres are NEW Price Ml 3,800,000/ Note Gari Ni YANGU na Bei haipungui maana haina tatizo lolote inaonekana Muda wote Kimara Mwisho 0744033555
  16. K

    Hizi gari Toyota Prado ex naomba kujua kwa undani

    Mafuta KATI ya diesel na petrol ipi nzuri, Pia vipuri vyake, comfortability yake nk
  17. Mbunge wa Rorya abadili rangi ya gari la kubebea wagonjwa kwa kile alichoita maslahi mapana ya wananchi wake

    "Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao. Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi ya awali, nia yetu ni njema kwa watu wote wa Rorya" Mhe. Jafari Chege Mbunge, Rorya.
  18. Kabla hujabadilisha automatic gearbox ya gari lako soma hapa

    Ili gari yenye gearbox ya automatic(automatic transmission) iweze kubadilisha gear kuna taarifa kuu mbili ni lazima zipokelewe na mfumo wa kompyuta(control unit) ndio gear zitaweza kubadilika. Taarifa hizo ni:- 1. Speed ambayo driving shaft/tairi zinazunguka. 2. Speed ambayo engine...
  19. B

    Huu ni uharibifu wa magari na pia inapunguza sana thamani ya Gari. Acheni kufanya hivi.

    Nmeona gari nyingi sana zikepigwa misumali flani hivi ya silver milangoni,madirishani na sehemu mbalimbali za gari. Sijaelewa huu ni urembo wa aina gani. Nmeuliza nimeambiwa mnaita "libiti" Pia hata wengine wanachora chora namba kwenye vioo.najiuliza why uharibu gari kwa vitu vya hovyo...
  20. Bima ya gari imekuwa anasa!

    Kwa Mambo yanavyokwenda imefikia hatua hata bima ikiisha, kukata nyingine msala (hapa nazungumzia 'Third party'). Maisha haya aisee itafika wakati hata haya magari tutauza tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…