gari

  1. JamiiForums Tanzania Gari la Xiaomi?

  2. JamiiForums Tanzania Doreen Kabareebe: Marufuku mwanaume yeyote asiye na gari kunipigia simu

    Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye wanaume wake ni wenye magari tu. Picha ya pili. Baada ya kumaliza kipindi redioni akanaswa na...
  3. JamiiForums Tanzania Tairi za gari bado mpya zinauzwa bei ya kutupa

    Kwa gari za pori Toyota hilux, land cruiser tairi hzo size 15, used zinauzwa, zipo Dodoma. zote 4 kwa laki 6 (tsh 600,000) No ya simu 0716226603
  4. JamiiForums Tanzania Gari aina ya Mazda Verisa

    Wanajamvi Mwenye Uzoefu na Gari aina ya Mazda Verisa naomba Msaada wake.Asante
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nzega, Tabora: Bashe akabidhi zahanati, Gari ya wagonjwa na Pikipiki

    BASHE AKABIDHI ZAHANATI, GARI YA KISASA YA WAGONJWA NA PIKIPIKI KATIKA KIJIJI CHA IDUDUMO Nzega Mjini, TABORA. Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amefanikiwa kukabidhi zahanati, Gari ya kisasa ya wagonjwa (ambulance) pamoja na usafiri aina ya pikipiki...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wa 60 KPH nitatumia saa ngapi kutoka Mwanza mpaka Mbeya?

    Naomba msaada kwa wenye maarifa ya kikokotoo hiki. Nina Safari ya kwenda Mbeya kwa usafiri wa gari langu. Ninachotaka kujua je kwa speed ya 60 nitatumia masaa mangapi kufika Mbeya? Maana kwakweli sio mpenzi wa kutembea na gari kwa speed kubwa. Kwa mwenye uelewa naomba msaada. Au kwa speed...
  7. T

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Gari ipi kati ya hizi inafaa?

    Poleni na maumivu ya tozo. Nahitaji kununua gari kwa ajili ya matumizi ya familia, naombeni msaada kwa anaye fahamu ulinganifu wa ubora (in terms of elctrical & mechanical problems as well as fuel efficiency) kati ya aina hizi tatu za magari... 1. Nissan Pathfinder 2. Audi Q5 3. BMW X3...
  8. JamiiForums Tanzania Gari kuitwa Baby walker

    BABY WALKER Imezoeleka humu jukwaani magari mengi madogo kuitwa baby walker sana sana gari za Toyota kama IST,Vitz na Passo. Lakini leo nitatoa maoni yangu kuhusu hizi baby walker. Ukifuatilia vizuri utagundua kwamba asilimia kubwa ya gari ambazo zinaitwa baby walker ziko classified kama...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari VITS new model

    Natafuta gari VITS new model Namba D Cc 990 Full AC Isiwe imepata ajali wala kuguswa engine. Bajeti yangu mil 5 Nicheki PM sasa hivi nikufate ulipo.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Dereva wa uber na bolt nahitaji gari

    Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712 Gari iwe sienta...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mfumo mpya wa Insurance ya Gari

    Habari waungwana, Kuuliza sio ujinga, nilikuwa naomba kujua kuhusu huu mfumo mpya wa Insurance za magari wa kutokuwa na sticker za kubandika kwenye kioo. Je, inapaswa utembee na cover note kama ithibati kuwa Insurance yako ni hai. Hofu yangu ni hawa ma traffic wetu wanaweza kukamata na...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Dereva wa mtandaoni mwenye uzoefu nahitaji gari

    Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712 Gari iwe sienta...
  13. JamiiForums Tanzania Somo kwa ajili ya ununuzi wa gari toka kwa mtu bnafsi kutoka TRA elimu kwa mteja.

    1. Swali: Chombo cha moto ni nini? Jibu : Ni chombo kinachotumika katika usafirishaji ardhini, ambavyo ni pamoja na Magari, pikipiki na bajaji. 2. Swali: Nikitaka kununua gari kwa mtu taratibu zipoje? Jibu : Unapaswa ufike ofisi ya TRA na picha ya pasipoti ya muuzaji, ripoti ya ukaguzi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan xtrail for sale 3.8m

    Habari Nauza gari Nissan extrail for repair or spare. Ilipata ajali ikagongwa mbele. Inahitaji nose cut complete. 2004 Tuwasiliane kwa namba 0713750760 bei 3,800,000 gari iko Dar Goba. Engine haina shida kabisa
  15. N

    JamiiForums Tanzania Gari Inauzwa Toyota Mark II Gx 100 Tzs. 2.5m

    Assalaam Wanabodi, Nauza gari yangu aina ya Toyota Mark II Gx 100. Gari hii iko katika hali nzuri. Haijaguswa Engine wala Gearbox kwa matengenezo yoyote. Changamoto kidogo iko kwenye bodi, sehemu ndogo sana ya juu imelika kutokana na chumvi ya bahari hapa Dar es Salaam. Na hii ni kutokana na...
  16. JamiiForums Tanzania Uzoefu wa matumizi ya gesi kwenye gari

    Wajuzi wa mambo hapa naomba msaada wenu wa uzoefu, ninataka kufunga mfumo wa gesi kwenye TOYOTA - IST. Naomba kujua nitegemee kupata shida gani kwenye hiyo gari mi nachojua ni kuwa nita-save matumizi ya mafuta, naomba mnipe tahadhari ili nijue kama niendelee na huu mchakato au niachane nao...
  17. JamiiForums Tanzania Napendekeza simu zenye thamani ya zaidi ya milioni 1 zisajiliwe TRA na zipewe kadi kama za gari, hii itapunguza wizi wa simu

    Kadi iwe na jina la mmiliki na taarifa zake zingine zote, na sehemu ya details ijazwe taarifa muhimu za simu kama IMEI, model, make, color na specification zingine zote. Pia pajazwe number of previous owners nk. nk. Endapo simu itapotea au kuibiwa, by default, systems za TRA ziwe na built in...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

    Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Taa ya Battery kuwaka kwenye dashboard ya gari

    Msaada kwenye tuta, Gari Toyota Harrier, Taa ya Battery inawaka kwenye dashboard ( charging system warning light) hii kitu inasababishwa na nini? Pia namba ya kurekebisha. Gari inawaka bila shida na battery ina miezi miwili Tu bado mpya. Nimesha ichomoa kurudishia lakini wapi
  20. JamiiForums Tanzania Gari latumbukia Baharini Coco Beach

    Kuna clip inazunguka kwenye Watsap kuwa kuna Gari limetumbukia COCO BEACH mchana huu ==== Gari aina ya Toyota Land Cruiser Prado limetumbukia katika Bahari ya Hindi eneo la ufukwe wa Coco huku polisi wakieleza kusubiri afya ya dereva wa gari hilo kuimarika ili waanze uchunguzi. Kamanda wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…