Huyu dereva wa gari sio Rais Samia kweli?

Huyu dereva wa gari sio Rais Samia kweli?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,177
Reaction score
138,456
20210726_134522197207.jpg


Tafasiri yangu inasema huyu ni Rais Samia. Amechonga barabara inayompeleka shimoni. Naye katika kuendesha gari lake anataka kulitumbukiza gari shimoni.
 
Siyo yeye,
Ni tingo anashitua liwake haraka,funguo za aina ya gari mpaka iwepo sura yamnunuzi
 
Hapo G-forces zikichukua nafasi yake ni either dereva afe au wafe wote na gari yake.
 
Back
Top Bottom