Kiume3000
Senior Member
- May 17, 2021
- 180
- 218
Wakuu wangu habari zenu.
Ama baada ya kiwasabahi title inajieleza, hata watoto wanasema mama/bana nunua gari.
Kiukweli shida kubwa kwangu ni usafiri uwezo wa kununua ninao, ada nalipa mamilioni, tatizo ni woga kuingia road.
Woga mwingine ni mahuruma. Mimi nina mahuruma sana, nikikuta mtu njian sidhan kama naweza mpita, lazima nimbebe/nitampalift, tatizo linakuja nitaangalia na magonjwa.
Wakuu mnaelewa ukiwa kwenye usafiri ni rahisi sana kumegwa au kumega.
Ilishanitokea kimasihara nikamega/nikamegwa.
Sipendi ama uwe me au ke mwanaume au mwanamke utamegeka tu usafiri binafsi inasiri hii.
Usafiri kwangu ni priority kwa kweli