gari

  1. Tofauti ya Compressor ya AC ya gari ya pump na ya umeme

    Nimeona hili swali sehemu. Kuwa gari nyingi za kisasa zinakuja na compressor za umeme. Lakini inapoharibika ukienda uliza wanakutajia bei tofauti kati ya comp ya umeme na ya pump. Hata bei zipo tofauti. Nlitaka kujua katika utendaji ipi ni bora na kwanini? Katika uimara ipi ni bora na kwanini...
  2. R

    Gari linawaka moto muda huu Tegeta Kibaoni

    Gari ndogo binafsi inatekea kwa moto barabarani Bagamoyo road karibu na kituo cha basi cha Azania.
  3. L

    Watu wa Xi’an, China wapanda subway katika siku ya kutoendesha gari duniani

    Tarehe 22 Septemba ni siku ya kutoendesha gari duniani. Mjini Xi’an, China, watu wanapanda subway kutetea mtindo mpya wa maisha mjini.
  4. Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Done
  5. Ni muhimu sasa kuwa na muongozo wa msafara wa Rais pamoja na gari maalumu lenye hadhi na cheo maalum

    Kufuatia sintofahamu iliyotokea huko UK ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonekana kwenye basi lililoandaliwa kuingiza viongozi wa mataifa mbalimbali kwenye eneo la kuaga mwili wa malikia Elizabeth Il. Inawezekana tukapiga kelele sana ingawa tukashindwa kuwa na sababu thabiti...
  6. Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

    Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake. Alisema...
  7. Fahari ya nchi yetu, ni sehemu gani ulivutiwa au unakerwa nayo uliposafiri kwa Basi au gari binafsi

    Ndugu wanajf habari, binafsi ninaposafiri navutiwa Sana na baadhi ya maeneo japo mengine yanakera Ninayoyapenda  Unaposafiri barabara ya Kutoka Dar kwenda Moro Kuna kasehemu kana msitu unapotoka bwawani Kuna kamsitu kazuri na kanavutia barabara yake nzuri. Pia ukifika Moro zile safu za milima...
  8. M

    Aziz ki mdogo mdogo ataanza kuwaziba watu midomo, Gari lake likiwaka itakuwa balaa

    Naona stephane Aziz ki taratibu anaanza kuirudisha confidence yake na anaanza kuelewana na wenzake, anapofunga goli inazidi kumjengea hali ya kujiamini na utulivu. Kitu kinachomsumbua kwa sasa ni presha kutoka nje ya uwanja ukizingatia usajili wake ulikuwa mkubwa hivyo anajaribu kuonyesha ubora...
  9. Ni kitu gani huwezi kufanya kwenye gari yako?

    Hapa jamvini kuna wenye magari na wapo ambao wanaendelea kuyatafuta magari na siku hizi gari sio anasa tena ni hitaji la muhimu, hivyo basi ndoto ya wengi ni kuwa na gari. Ukiwa na gari yako, je vitu gani ungependa kulifanyia gari yako? Na vipi usingependa kulifanyia gari yako? Mwingine...
  10. P

    Kama una gari hizi Prado 95 au Prado 120 (diamond) pitia hapa upate moja mbili, ikuingizie kipato

    Kuna Watu Mmejaaliwa vipandwa na miongoni mwa vipandwa hivyo ni aina ya hizi gari PRADO 95 (MCHAGA),PRADO 120 (DIAMOND) Hizi gari zinaweza kukusaidia kuingiza kipato kwa kukodisha kwa watu binafsi au Makampuni Mie ni Dereva wa tours kwa miaka kadhaa sasa na utafiti Wangu nilioufanya ni kua Gari...
  11. Gari aina ya Forester

    Morng Gari aina yo forester ni gari ambayo inaongoza kwa kusajiliwa kwa wingi kwenye namb mpya hi E Ina maanisha kwa sasa ndio gari pendwa kuwahi tokea. Nimemaliza
  12. PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

    Gari hili lina jiko kubwa, eneo la ofisi na sehemu ya kupumzika pia shughuli za mapishi zinafanyika wakati gari likiwa kwenye mwendo ambapo Rais anaweza kupata chakula kwa wakati anaotaka Kwa nje gari hili lina mifumo mingi ya kumsaidia Dereva kwenye kuliendesha, mifumo hiyo inahakikisha...
  13. ⛽Hivi Ushawahi kuazima gari au umenunua gari halafu hujui pa kuwekea mafuta [fuel tank cap] ni upande gani?

    Yani unaingia kituoni unapark gari uwekewe mafuta unajikuta umegeuza pump iko kulia wewe umeweka gari kushoto, Fuel attendant anakuona kama dish lako linayumba hivi hafu hakuelewi elewi. . Kuna wale wasee huwa hawataki aibu ndogo ndogo huwa wanashuka wanachungulia kwanza, Yani kabla hajafika...
  14. TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfanyabishara maarufu wa Zanzibar, Toufiq Salum Turky, bado hajalipa Sh. milioni 308.5 za kodi kutokana na kuingiza gari la kifahari aina ya Benzi, Januari, mwaka huu. Naibu Kamishina wa TRA Zanzibar, Juma Bakary Hassan, aliwaambia waandishi wa habari...
  15. Sele Bonge akamatwa kwa wizi wa TV na gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limemkamata Seleman Kalembo, maarufu kama Sele Bonge na wenzake 9 kwa tuhuma za wizi na kuwakuta wakiwa na gari aina ya Noah vifaa mbalimbali vya kuvunjia nyumba, TV nne pamoja na mfuko wa kufichia TV baada ya kuiba. Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda...
  16. Ushauri wangu, ukinunua gari used nenda kabadilishe jina la umiliki

    Kuna jambo moja ambalo watu wengi huwa ni kama wanachukulia poa lakini kiuhalisia lina maana kubwa, jambo hili ni kubadili jina la umiliki wa gari au chombo chochote cha moto Nazungumza haya kwa kuwa nimeona mambo kibao yakitokea huko mitaani na menginie ni kwa watu wangu wa karibu. Unakuta...
  17. Arusha: Ajali ya lori lililogonga magari matatu yajeruhi watu 9

    Watu 9 wamejeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari 3 madogo kugongwa na lori aina ya Scania namba T.673 AXB lenye trela namba T.464 AWZ lililokuwa na shehena ya mahindi, likitokea Arusha kwenda Namanga ambapo majeruhi wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru kwa...
  18. Polisi na tabia ya gari ikikamatwa kubadili vifaa na kuweka vya zamani

    Hello Wadau! Kama heading inavyojieleza. Usithubutu ukaruhusu gari ikaenda kituo cha polisi ikalala huko, wanachofanya ni kubadili vifaa na kuweka vya zamani wanaenda mbali zaidi kung'oa vioo na hata kubadili siti. Mwisho wa siku gari ni kushinda gereji ukibadili vifaa leo hiki kesho hiki. Na...
  19. Anaenda masomoni mwaka mzima, anunue turubai gani kupunguza gari kupigwa jua na vumbi, vitu gani vya ziada azingatie?

    Hbari wana jf, kuna dogo anaenda masomoni kwa mwaka 1 hivi, mwezi wa tatu alifanikiwa kuagiza gari yake toyota carina ti, ni mpya na kiukweli kaitunza, ataiacha kwake ila sehemu hio iko wazi na jua huwa linapiga je, ni turubai zipi nzuri za kuzuia hii hali? kaniomba aniachie funguo kwajili...
  20. Kakoswa koswa kugongwa na gari akamtukana dereva, hajafika hatua mbili akagongwa na bajaji (Karma is real)

    Leo kuna machinga kapata ajali maeneo flan akiwa anavuka, japo makosa nilihisi ni ya kwake mwenda kwa miguu Kwanza alikoswa kugongwa na gari, maaana mwenye gari alijaribu kumpisha japo gari lilikuwa speed kidogo.. sasa jamaa kabla ya kuvuka barabara akawa anamtukana mwenye gari na kumuonyeshea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…