gari

  1. JamiiForums Tanzania Kipaja au stabe nani aliwahi kubadilisha kwenye tube housing ya gari kubwa?

    habari zenu kifupi nimekutana na msala huu. Katika kukagua gari nkakuta stable au kipaja cha diff ya canter nati ishachomelewa kwa hio beringi ikiungua au kuharibika huwezi kuibadili. Katika kutafuta ufumbuzi wakaniambia huwa kinabadilishwa hicho kiande cha diff yaani kipaja. Ila wasiwasi...
  2. JamiiForums Tanzania Kama haulipwi mshahara wa 6 million kwa mwezi usinunue gari

    Mwanahabari nguli hapa nchini, Jenerali twaha ulimwengu amewaasa vijana kuacha mara moja kununua magari kama hawana kipato cha million 6 kwa mwezi. Mwanahabari huyo ameainisha kuwa, Nimepata feedback kwa vijana wanasema wakiwa na kipato cha million mbili wanaweza kununua gari. Tatizo hapa ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nifafanulie formula atakoyotumia nabii au mtume kunifanya mimi mwenye mshahara wa 1,500,000 nijenge au ni nunue gari

    Amani iwe kwenu, Kumekuwepo na maneno mengi juu ya miujiza inayofanywa na wachungaji ,manabii na mitume kuwa, wanaweza kufanya miujiza ukabadilisha maisha yako mfano ukapandishwa cheo kazini, ukajenga ukapata mtoto na hata ukanunua gari. Mnaowaamini hao mitume na manabii leteni ufafanuzi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa anayeweza kurekebisha android radio ya kwenye gari

    Habari zenu wakuu , kama Kuna fundi anaeweza kurekebisha hii redio anitafute pm, mm nipo Dar so na yeye awe Dar Shida yake ni ukiiwasha inawaka izi taa za pembeni pekee
  5. JamiiForums Tanzania Chimbo gani naweza kupata bodi za gari ndogo kama Runx na IST?

    Wakulungwa, gari yangu bodi yake imechoka sana. Ni chimbo gani naweza pata bodi iliyokatika hali nzuri, na bei gani? Gari ni RUNX.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ufanye nini gari yako inapofeli breki?

    1) Ondoa mguu wako kwenye accelerator na Washa taa za dharura (hazard lights) 2) Pump (kwa kukanyaga na kuachia) pedal ya breki kwa haraka haraka 3) kama ulikuwa kwenye gia kubwa ipeleke haraka kwenye gia ndogo (lower gear). (Kama gari Yako ni automatic, toa gia kwenye D uipeleke kwenye S au...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamsaka Dereva aliyesababisha ajali ya kugonga gari kadhaa ikiwemo Daladala

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamsaka Dereva aliyekuwa akiendesha Gari lenye namba za usajili T.428 DXD/T.860 BWM aina ya FAW mali ya Kampuni ya Cedars Investment Limited ya Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa majina ya Msafiri Mohamed @ Mwawila ambaye amekimbia muda mfupi baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Gari ulinunua milioni 10.5 mwaka 2020 halafu leo unataka kuliuza milioni 13.5?

    Hivi Watanzania mna matatizo gani? Mnafahamu maana ya depreciation? Gari gani inaongezeka thamani baada ya kutumika? Hivi mnajua hayo magari mnanunua kutoka Japan kwa Usd 3,500 yalipotoka yaliuzwa Usd 100,000 miaka 10 iliyopita? Nashangaa kuona gari ina namba DSQ ambayo ilitoka January na...
  9. JamiiForums Tanzania Watu watatu wa Familia moja wafariki katika ajali ya gari Pwani

    Watu watatu wamefariki na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo aina ya Toyota Alphard iliyotokea katika Kijiji cha Mbwembwe, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi mkoani humo Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa amepata...
  10. JamiiForums Tanzania Mwigizaji 'Sabela' na Mtunzi wa Filamu ya Sarafina afariki kwenye ajali ya Gari

    Mtunzi mashuhuri wa tamthilia ya Afrika Kusini, mtayarishaji na mtunzi Mbongeni Ngema amefariki katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 68, familia yake ilisema. “Ngema alifariki katika ajali mbaya ya gari alipokuwa akirejea kutoka kwa mazishi aliyokuwa akihudhuria Lusikisiki huko Eastern...
  11. JamiiForums Tanzania Kama unataka uuze gari, simu na vingine ili ulipe ada hamisha mtoto kwenda shule za Samia

    Ada zinasumbua sasa. Ukitaka kuuza kitu ulipe ada hapo unakosea sana! Magari, viwanja, nyumba, simu, pikipiki vinawekwa sokoni kwa kasi sana.
  12. JamiiForums Tanzania Gari za umeme pasua kichwa gharama za uendeshaji

    Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage. Tuchukue mfano kesi ya hivi karibuni huko Vancouver, mmiliki wa Hyundai Ioniq 5 ya mwaka 2022 alipata ajali...
  13. JamiiForums Tanzania Engine ya gari kutoa sauti Kali unapopita kwa speed Kali kwenye rasta

    Heri ya Christmas na mwaka mpya. Wakuu Leo nilikuwa na safari ndefu kidogo Sasa nilikuwa nilikuwa natembeza kachombo kangu kwa speed. Baadaye nikaanza kusikia mlio mkubwa wa kugonga kwenye engine nikipita kwenye rasta kwa speed. Kausafiri kalizima Kama mara moja kutokana na iyo hali. Je...
  14. JamiiForums Tanzania Fungua (Unlock) radio ya gari lako iliyojifunga na CarRadio Unlock Solutions

    Kuna wakati mwingine radio yako inajifunga baada ya kubadilisha betri ya gari lako. Ukipata tatizo hilo usisite kutupigia kwa namba hii 0687746471 tutakufungulia radio yako. Karibuni. Ni sisi CarRadio Unlock Solutions.
  15. JamiiForums Tanzania Iweje ng'ombe auzwe kwa bei inayozidi ya gari la kifahari?

    Ukiwa na bilioni tatu, utanunua gari lipi la kifahari? V8? Range Rover? Mercedes Benz S Class? Nimeyataja hayo magari kwa kuwa ninayapenda. Na kama wewe ni mpenzi wa magari tajwa kama mimi, unaweza kuyapata yote ukiwa na bilioni tatu, na bado ukabakiwa na chenchi. Kama kwa hela hiyo unaweza...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri katika kuuza gari lililo na msamaha wa Serikali

    Nilinunua gari mwaka 2008. Nilibahatika kupata msamaha wa Serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo.. Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa. Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008? Je sheria inaruhusu kuliuza?
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya gari za 'Patrol' zinatolewa Plate Number na Askari wake hawatoi Vitambulisho?

    Wakuu, Kuna kitu kinanipa shida sana kuhusu utendaji wa Idara za Ulinzi na Usalama nchini, bado zinafanya kazi kizamani na kikoloni sana. Wakati dunia imeadvance kwenda kwenye Teknolojia wao bado wanafanya kazi kwa utaratibu wa kishamba sana. Kuna huu utaratibu wao kutumia magari yasiyo na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kisa Cha kondakta anayepanga kugomea kukabidhi gari Kwa mmiliki.

    Haya mambo ya sikukuu haya!! Baada ya nauli kupanda sana, wanaukoo tukashauriana tuliumie basi letu la ukoo katika safari yetu ndefu mbele yetu, tukachangishana, tukawasiliana na mmiliki na kushirikisha wakubwa wengine katika ukoo, ukatengezwa mwongozo wa SHERIA na KANUNI za safari na mchakato...
  19. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  20. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Gari Kali, Jeep WRANGLER

    Nauza Gari yangu Aina ya Jeep WRANGLER ya Mwaka 2018. Registration T 127 CUA Make: Jeep Model: WRANGLER Body type: Station Wagon Colour: Green Year: 2018 Fuel: Diesel Price: 65,000,000/=
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…