Gari tatu (3) za Toyota ambazo Design yake ilikua from Future

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
20,844
55,764
Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua.

Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua designed na aliens. Yaani sio za generation hii kabisa.

1. Toyota Will VI
Hili gari nikiliona uwa najiuliza aliedesign alikua inspired na nini? Yaan kabisa kaamka anaenda kila siku Toyota kudesign gari ndio akaja na hii idea.
images (24).jpeg

Na alienunua nae alikua anawaza nini? Mbona gari za bei hiyo zipo nyingi tu kwann asiangalie kwingine?

images (25).jpeg

Tatizo ata ndani nako bado kamekaa kiajabu ajabu.

2. Funcargo
Nadhani aliedesign Will VI ndio uyu uyu wakampa na hio tenda.
images (26).jpeg
images (27).jpeg

Dah.

3. Toyota Platz
Hii uwa nashindwa niite sedan au crossover. Yaani hakajakaa unyama kabisa.
images (28).jpeg

Aisee bora kwa mbele uku nyuma kamejibinua sana aisee..

Hope hamna ataejisikia offended. Maisha magumu tusiwe serious sana.
 
Back
Top Bottom