gari

  1. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kwa kipato cha changu cha elf 50 kwa wiki unashauri ninunue gari gani

    Habari nipeni ushauri wakuu
  2. Stability

    JamiiForums Tanzania Unamnunulia demu gari ila anaenda kulala na mwana aliemsaidia kuziba pancha road. Hivi hakika ni kipi warembo wetu hawa wanachokitaka haswa?

    Wanatia huruma ya kuhudumiwa, lakini katika upokeaji wao hawaji na appreciation ilio genuine, appreciation yoa inatoka mdomoni lakini haionganishi doti akilini mwao kuwa wanapaswa wakupe heshima kuu sio tu ukiwepo hata usipokuwepo kwa kuwa umemfanyia kitu kama vile baba yake angekuwa na uwezo...
  3. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Nilipishana na msafara mzito wa gari za KM (Kikosi Maalum cha Magereza) hapa Banana, pengine ndio Lissu anapelekwa Ukonga?

    Nilipishana na msafara wa magari yaliyowashwa taa na double hazard huku kukiwa na lundo la askari wa KM wakiwa na silaha za kivita. Je ndio Lissu alikuwa anahamishiwa Gereza la Ukonga?
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wale jamaa wa "Tafuta hela wewe, V8 sio gari ya Serikali"

    Ndugu wa damu tunaofanania katika tabu na u-VETA, ila tukiingia jf ghafla tunageuka kuwa mabosi 🤣 Anyway, Maisha yaendelee.
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Gari ya Henry Ford

    Henry Ford alitengeneza gari kutoka kwenye mchanganyiko wa plastiki na katani ambayo ilitumia mafuta ya katani karibu karne moja iliyopita. Ford's 1941 bioplastic Model T ilitengenezwa kwa kutumui katani, kitani, ngano, na spruce massa, ambayo ilifanya gari nyepesi kuliko fiberglass lakini imara...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini gari za Serikali yakiwamo ma V8, hayakatiwi Bima?

    Hello! Yaani gari inanunuliwa Hadi 600 ml kwa Kodi za wananchi maskini, lakini haikatiwi Bima kubwa, Kuna mtu anayejua sababu ni Nini hasa? Au ni vile vya umma havina mwenyewe? RIP mkurunzi Tannesco! Karibuni 🙏
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Je madereva mngeweza kuendesha hili gari na ingewachukua muda gani kulizoea?

  8. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Naomba munieleweshe kuhusu usajili wa gari Dar es Salaam

    Habari zenu naomba kuuliza ukitoa gari znz kupeleka dar ikifika hatua hadi unatumiwa controll number ukalipie usajili je baada ya hapo unalipa tena pesa kwa ajili ya kadi ya gari na plate number?
  9. Principle girl

    JamiiForums Tanzania Kuna aina za gari haipendezi kumilikiwa na mwanaume

    Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini LAND CRUISER 300 ZX nyeusi?

    Natamani kufahamu utofauti wa LC 300 ZX nyeusi dhidi ya LC 300 ZX nyeupe. Nimekuta mahali LAND CRUISER 300 ZX nyeusi inapigiwa "debe" kama kwamba ni "bora" kuliko rangi zingine kama nyeupe. Nimeona pia viongozi wengi wanaotumia LC 300, magari yao ni rangi nyeusi. Naomba kufahamishwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kutoa gari bandarini

    Naomba kueleweshwa gari ambayo unaitoa kutoka Zanzibar ikifika Dar inatumia siku ngapi kukamilika hadi inatoka nje
  12. BANGO JEUPE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    habarini Wakuu Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter Asanteni
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

    Gari ipo Kigamboni Dar es Salaam. Ipo katika hali nzuri sana! Make: TOYOTA ISIS MWAKA: 2008 CC: 1798 SEATS: 7 DRIVE: AUTOMATIC, 2WD Kama kutahitajika service basi zitakuwa ni spares ndogongogo za kkawaida. Mawasiliano: WHATSAPP: 0785872256 BEI: 9,500,000
  14. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari , yenye Fridge ambayo itabeba samaki kutoka Kigambo to Sinza .

    Inahitajika Gari yenye Fridge ambayo itabeba samaki kutoka Kigamboni to Sinza. Ukubwa tani mbili Mawasiliano 0658124288, call & WhatsApp Welcome
  15. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari tanker 10 za mafuta

    Habari Natafuta gari za tanker za mafuta zenye vibali vya transit. Trip ni kwenda Mzuzu,blantyre na lilongwe. Zinahitajika gari 10. Malipo advance 70% ,balance 30% after offloading. Loading point- Tanga port Product: Diesel and petrol 0692595127
  16. Tman900

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Gari, TRA ni 80% Hadi 100% na zaidi

    Ushuru wa kuingiza Gari Tanzania uko Juu sana Kuliko Zanzibar, pia Kumiliki gari kama Anasa,ila kiuhalisia gari sio Jambo la anasa Gari ni Chombo Cha usafiri kukutoa Sehemu Moja kwenda Sehemu nyingine. Kua na ushuru mkubwa sababu ni Nini.
  17. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Karibu upate kuhifahamu Vizuri Biashara ya 'Car wash' Gharama za vifaa pamoja na faida kwa kila gari, ndogo, kubwa ,pikipiki na bajaji.

    Wakuu habari . Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari kufanya nae Kazi kwa makubaliano maalumu yenye tija kwa pande zote kwangu na kwake. Hivyo...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa ametumwa na Mungu amuombe Nabii Laki Sita, sasa anadai Mungu kamuonesha ndotoni gari mpya na Nyumba

    Wakuu Naona Kondoo anatikisa mfumo Soma: Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Mbagala aibuka mshindi wa gari jipya kupitia promosheni ya Yas ya magift ya kugift

    Dar es Salaam, 28 Machi 2025 - Kampeni ya Magift ya Kugift kutoka YAS na Mixx by YAS imeendelea kubadilisha maisha ya Watanzania, ambapo siku ya tarehe 28 Machi, ilibadili maisha ya ndugu Ramadhani Abdallah Mwinchande, mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam baada ya kumkabidhi rasmi gari...
  20. iamriq_arthur

    JamiiForums Tanzania GARI AUTOMATIC KUZIMA GHAFRA IKIWA KWENYE MSELELEKO

    Kwanini gari ndogo automatic ikizima ghafra ikiwa kwenye mseleleko break zinaishamo ukikanyaga hazikamati nifanye nini ili gari lisimame linaookua kwenye mseleleko?
Back
Top Bottom