gari

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

    Gari ipo Kigamboni Dar es Salaam. Ipo katika hali nzuri sana! Make: TOYOTA ISIS MWAKA: 2008 CC: 1798 SEATS: 7 DRIVE: AUTOMATIC, 2WD Kama kutahitajika service basi zitakuwa ni spares ndogongogo za kkawaida. Mawasiliano: WHATSAPP: 0785872256 BEI: 9,500,000
  2. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari , yenye Fridge ambayo itabeba samaki kutoka Kigambo to Sinza .

    Inahitajika Gari yenye Fridge ambayo itabeba samaki kutoka Kigamboni to Sinza. Ukubwa tani mbili Mawasiliano 0658124288, call & WhatsApp Welcome
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari tanker 10 za mafuta

    Habari Natafuta gari za tanker za mafuta zenye vibali vya transit. Trip ni kwenda Mzuzu,blantyre na lilongwe. Zinahitajika gari 10. Malipo advance 70% ,balance 30% after offloading. Loading point- Tanga port Product: Diesel and petrol 0692595127
  4. Tman900

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Gari, TRA ni 80% Hadi 100% na zaidi

    Ushuru wa kuingiza Gari Tanzania uko Juu sana Kuliko Zanzibar, pia Kumiliki gari kama Anasa,ila kiuhalisia gari sio Jambo la anasa Gari ni Chombo Cha usafiri kukutoa Sehemu Moja kwenda Sehemu nyingine. Kua na ushuru mkubwa sababu ni Nini.
  5. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Karibu upate kuhifahamu Vizuri Biashara ya 'Car wash' Gharama za vifaa pamoja na faida kwa kila gari, ndogo, kubwa ,pikipiki na bajaji.

    Wakuu habari . Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari kufanya nae Kazi kwa makubaliano maalumu yenye tija kwa pande zote kwangu na kwake. Hivyo...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa ametumwa na Mungu amuombe Nabii Laki Sita, sasa anadai Mungu kamuonesha ndotoni gari mpya na Nyumba

    Wakuu Naona Kondoo anatikisa mfumo Soma: Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Mbagala aibuka mshindi wa gari jipya kupitia promosheni ya Yas ya magift ya kugift

    Dar es Salaam, 28 Machi 2025 - Kampeni ya Magift ya Kugift kutoka YAS na Mixx by YAS imeendelea kubadilisha maisha ya Watanzania, ambapo siku ya tarehe 28 Machi, ilibadili maisha ya ndugu Ramadhani Abdallah Mwinchande, mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam baada ya kumkabidhi rasmi gari...
  8. iamriq_arthur

    JamiiForums Tanzania GARI AUTOMATIC KUZIMA GHAFRA IKIWA KWENYE MSELELEKO

    Kwanini gari ndogo automatic ikizima ghafra ikiwa kwenye mseleleko break zinaishamo ukikanyaga hazikamati nifanye nini ili gari lisimame linaookua kwenye mseleleko?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gari lipo garage

    Wakubwa niombeeni nipo garage yani mwendo wa kununulishwa spare tu ila ntawambia changamoto niliokutana nayo nikitoka for experience
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia Gari la 'Actress' sasa yoyote mwenye Leseni anaweza Kuliendesha kwa wakati huu muhimu asiligonge tu

    Yuko busy sana kutengeneza Scenes mbalimbali za Movies zake zijazo ikiwemo ile Kubwa atakayoizindua Oktoba au Novemba.
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Zuchu amefuzu kuwa supastaa mkubwa wa nchi. Nimeshangaa leo kuona gari zinaitwa Zuchu !!

    Leo katika pilika zangu za kutafuta rizki nilipita kwenye terminal ya makontena. Nikakuta hizi howo zinasomba hayo makontena na kuyapanga kwenye yard. Hizi gari kama mnavyozijua zinaitwa Howo. Lakini kwenye ulimwengu wa makuli hizi gari zinafahamika kama Zuchu. Niliuliza baadhi ya madereva na...
  12. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Gari za Serikali (STL na STN) zagongana uso kwa uso

    STL na STN uso kwa macho, madereva wa serikali huwa wana kasumba gani? NB Sijajua ajali hii imetokea wapi
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Gari lenye Mabango ya Picha za Dkt. Samia, Abiria waliokuwemo wanatazama Hotuba za Lissu. Walionekana na furaha sana

    Kwenye harakati zangu za leo asubuhi nimekutana na jambo lililonishangaza. Kumbe watu ni wajanja sana na wanafiki. Kwenye hilo gari aina ya Toyota Double Cabin lilikuwa na mabango yenye picha za ccm na Rais Samia kama mwenyekiti wa Chama Taifa. Wale abiria waliokuwemo wametune Sauti iliyokuwa...
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia

    Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia. Maneno ya waliwahi kulitumia yanaweza kukuamiza sana Kila utakapopita nalo, utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaelezea namna walivyokuwa...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya sasa gari sio mafanikio sema serikali yetu imefanya kuweka ushuru mkubwa na barabara za siasa

    Kuna mambo unaweza kuonekana una wivu na watu ila wenye wivu na nyie ni ccm kwa nini bado mnataka kujua kwa nini wana wafanya wajinga. Swala la usafiri sio jambo la kujitafuta wala kupiga step kuwa umejua ndio umefanikiwa. Usafiri ni kitu ambacho kwa dunia ya sasa ni lazima kama simu unaweza...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mpira ushetani,??tulimlazimisha dereva wa gari yenye maiti apaki Mombo ili tuangalie mechi ya Simba vs Nkana

    Mwaka 2018 tulisafirisha maiti ya dogo mmoja shabiki wa Simba kwenda kwao upareni Lengo ilikuwa tuzike Kesho yake yaanu tarehe 24 siku moja kabla ya Xmas Coincidence Simba ikawa inacheza na Nkana tarehe 23 kumuenzi marehemu tulimlazimisha dereva asimamishe gari maeneo ya Mombo tuangalie...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Kuhusu Wasomi Kusoma VETA!, Kila Msomi Anayeendesha Gari, Udereva ni Ujuzi wa VETA, Hivyo Hakuna Ajabu Wasomi Kusoma VETA!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu katika gazeti la Nipashe la leo. Paskali
  18. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuwa ananiazima gari! Nakua namtoa kishikaji

    Nina plan ya kununua gari lakini naona safari kama ndefu sana. Kwaiyo nilitaka nianze kupata uzoefu na magari kwanza. Nataka mshikaji ambae anaweza kua ananiachia gari kwa bei ndogo isiwe kam bei za kukodi kwa ajili ya kugain experience. Niko mwanza.
  19. Dj ray

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Pata gari lolote hapa. Lililopo nchini ama kuagiza

    Agiza Nissan Juke mwaka 2011 yenye injini HR15, ukubwa wa CC 1490 na imetembea Km 65,800. Gari hii ya rangi ya kahawia ina mfumo wa 2 Wheel Drive, nafasi ya abiria 5 na matumizi ya mafuta wastani wa 19Km/L. Imewekwa na vifaa vya kisasa kama DVD Radio, Back Camera, Navigation System, Fog...
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je, bado hajakidhi vigezo au kuna ya gizani tusiyoyajua?

    Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je bado hajakidhi vigezo au kuna ya mvunguni tusiyoyajua? Miaka kadhaa iliyopita Masoud Kipanya alizindua gari na habari zikasambaa kila kona ya nchi lakini jambo la kushangaza mpaka sasa ukimya umetawala wala hatujui...
Back
Top Bottom