gari

  1. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Howo N7 truck ni gari zuri sana

    Howo N7 (NX) 6x4 Truck: ni gari la mizigo la kisasa, linayotumika hasa kwa usafirishaji wa bidhaa nzito na masafa marefu. Gari hili linatengenezwa na kampuni ya HSinotruk (Sinotruk International), ambayo ni moja ya watengenezaji wakubwa wa magari ya mizigo duniani. Sifa Muhimu za howo N7 1...
  2. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania natafuta gari kali la tsh million 60 wakuu

    kwema natafuta ndonga kali ya kuvimba nayo mjini ya tah million 60-80 mwenye nayo aweke mawasiliano au atupiemo ka picha
  3. B

    JamiiForums Tanzania Toyota Rumion inaweza kitumika kama gari ya bolt?

    Wakuu, nipeni ufafanuzi juu ya hii gari Kwa matumizi ya bolt inafaa?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gari lipi la kuchukua hapa 👇

    Harrier old model used au Toyota kluger used.. Wakali wangu ipi unaenda nayo hapa tafadhari..🔥
  5. Revolution 22

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari kuishiwa nguvu kwenye milima

    Wakuu mambo vp? Poleni na hongeren mnaondelea na mfungo, kwa wenye ufahamu na hlii gari yangu ni toyata IST cc 1290 imekuwa ikiishiwa nguvu na kuchelewq kubadilisha gia hasa nikiwa kwenye muinuko hata wakawaida,lakini pia nikiweka gia ya nyuma bado inakuwq nzito kuchanganya shida inaweza kuwa...
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Morogoro usiku wa kuamkia Machi 4

    MOROGORO: WATU watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto baada ya magari mawili ya mizigo ,moja likiwa limebeba shehena ya mafuta yaliyotambuliwa kuwa ni dizeli kugongana uso kwa uso wakati yakipishana kwenye tuta la kupunguza mwendokasi eneo la Nane Nane, Manispaa ya Morogoro kwenye barabara kuu...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari ya mkononi

    Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu

    Huwaga inafikia steji watu wanayakatia tamaa magari yao wanaamua kutatelekeza magerejini, majumbani, n.k. Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu
  9. Mapenzi ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Kila nikilewa mke wangu ananipotezea funguo ya gari

    Kila nikilewa mke wangu ananipotezea funguo ya gari Tatizo ni nini!?
  10. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari Toyota Surf Inauzwa

    Gari: Toyota hilux surf Mahali: Morogoro mjini Bei ya kuanzia: Maeleweno yapo japo bei ya kuanzia ni Milioni 8 Gari lipo katika hali nzuri na linatembea lsipokuwa lina changamoto ya Cylinder head.Kama kuna yeyote yeyote yuko interested tunaweza kuwasiloana PM
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia Bolt/ Uber iwe dar au dodoma

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni nina leseni yenye daraja c nina acount zote bolt, uber, little ride na farasi. Nina uzoefu wa kazi hii, gari ikiwa ya mkataba au hesabu Mawasliano +255767630088
  12. MaduhuJ

    JamiiForums Tanzania Nauza gari Mitsubishi Outlander (2009) - Bei ni Mil 18.

    Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox wala body. Doc zote zipo kwenye jina langu. Niliinunua mwezi wa 9/2022 then 2023 nikaipaki home Dodoma...
  13. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Ifahamu kwa kina gari aina ya cyber truck

    cyber truck ni gari la umeme la kisasa kutoka kwa kampuni ya Tesla, ambalo limekuwa na umaarufu mkubwa tangu lilipotangazwa. Gari hili linatambulika kwa muundo wake wa kipekee, nguvu zake, na teknolojia ya juu. Hapa chini ni baadhi ya sifa muhimu za Cybertruck: 1. Muundo wa Kipekee na Imara...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Watanzania huwa hawanunui gari inayotumia mafuta mengi hata kama ina ubora wa hali ya juu

    Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta tu Hata uuze gari yako sh laki tano kama inatumia kiasi kikubwa cha mafuta hakuna mteja...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Xiaomi wamezindua Gari mpya ya umeme: Xiaomi YU7 SUV

    Baada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV. Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa. Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h. Ingawa features nyingi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kioo cha gari aina ya NISSAN SERENA 1997 MODEL

    Naweza kupata wapi KIOO cha mbele (wind shield) kwa gari aina ya NISSAN Serena 1997. tufanye biashara mwenye nacho
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ipi rahisi, nafuu na salama zaidi kati ya kununua gari showrooms na kuagiza kutoka ng'ambo?

    Hebu mshauri mTanzania huyu anaekusudia kununua usafiri wake wa gari dogo sasa hivi. Ipi njia rahisi kwake kununua gari kwa urahisi, kwa unafuu wa fedha na muda na kwa usalama zaidi kati ya kuagiza kutoka ng'ambo na kwenda kuchagua tu sehemu mbalimbali yanapuuzwa magari nchini? Kwa niaba ya...
  18. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Je uliwahi kufanya mistake wakati ukiendesha gari, unalojutia mpaka leo?

    Mimi niliendesha gari kutoka Dar, nikiwa maeneo fulani ya Singida, kuna sehemu imenyooka kweli kweli malori mawili na gari ndogo moja yalikuwa mbele. Nilikanyaga mafuta gari ikawa spidi kali sana. Nakaribia kuovateki gari ndogo nayo ikataka kuovateki. Nilipiga honi akarudi ndani nikaovateki...
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Oxford Wafanikisha Teleportation kwa Kompyuta ya Quantum (Maxwell na gari lake la mwimbi ya redio ilibidi awasilishwe hivi👇👇👇)

    Utangulizi Katika ulimwengu wa leo, ambapo maendeleo ya kiteknolojia yanapiga hatua kwa kasi isiyowahi kushuhudiwa, ni wazi kuwa sayansi inaendelea kusukuma mipaka ya yale tuliyoyazoea. Swali la msingi ni: Je, tunaelekea wapi katika mustakabali wa teknolojia ya kompyuta? Katika jaribio la hivi...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unatoka kuzini au kufanya uasherati unaenda kwa nabii au mtume kwenye maombi na maombezi akuombee upate, gari, mume au mke kweli utapata?

    Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli? hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we...
Back
Top Bottom