Hatari sana, watu acha watembelee ndege za ardhiniUshuru wa kuingiza Gari Tanzania uko Juu sana Kuliko Zanzibar, pia Kumiliki gari kama Anasa,ila kiuhalisia gari sio Jambo la anasa Gari ni Chombo Cha usafiri kukutoa Sehemu Moja kwenda Sehemu nyingine.
Kua na ushuru mkubwa sababu ni Nini.
Kuna mfumo Fulani, kandamizi ndomana mpaka mtu akinunua gari anajiona ametajirika, kumbe gari sio Utajiri.Polisi wetu nao hovyo Sana, utasikia unahela ya kununua gari utakosaje hela ya taa?
Taa ya 400k.
Nguvu zingeelekezwa kwenye ujenzi wa barabara nzuri na uimarishaji wa usafiri wa umma kama treni. Kushusha kodi za kuingiza magari kutafanya nchi iwe dampo la magari chakavu na msongamano barabarani. Mtanitukana sana lakini katika vitu mbavyo serikali inafanya vizuri sana na kuweka kodi ya magari iwe juu. Tena sasa hivi yanavyoingizwa kwa wingi ingekuwa vizuri wakapandisha kidogo kodi.Ushuru wa kuingiza Gari Tanzania uko Juu sana Kuliko Zanzibar, pia Kumiliki gari kama Anasa,ila kiuhalisia gari sio Jambo la anasa Gari ni Chombo Cha usafiri kukutoa Sehemu Moja kwenda Sehemu nyingine.
Kua na ushuru mkubwa sababu ni Nini.
Kwa hiyo unashauri iwe % ngapi ya Gharama ya kununua gari.Nguvu zingeelekezwa kwenye ujenzi wa barabara nzuri na uimarishaji wa usafiri wa umma kama treni. Kushusha kodi za kuingiza magari kutafanya nchi iwe dampo la magari chakavu na msongamano barabarani. Mtanitukana sana lakini katika vitu mbavyo serikali inafanya vizuri sana na kuweka kodi ya magari iwe juu. Tena sasa hivi yanavyoingizwa kwa wingi ingekuwa vizuri wakapandisha kidogo kodi.
Point..Nguvu zingeelekezwa kwenye ujenzi wa barabara nzuri na uimarishaji wa usafiri wa umma kama treni. Kushusha kodi za kuingiza magari kutafanya nchi iwe dampo la magari chakavu na msongamano barabarani. Mtanitukana sana lakini katika vitu mbavyo serikali inafanya vizuri sana na kuweka kodi ya magari iwe juu. Tena sasa hivi yanavyoingizwa kwa wingi ingekuwa vizuri wakapandisha kidogo kodi.
Siyo kweli, Sema CCM. Mbona mzee wa ubwabwa ana roho nzuri Sana?Mtanzania na roho mbaya sana ni basi sana.
Lameck Madilu System akili yake ya Phd imeishia kuwakamua wananchi makodi na matozo tu ,gari unaagiza japan milioni 8 kodi unakuja kulimwa milioni 11.Ushuru wa kuingiza Gari Tanzania uko Juu sana Kuliko Zanzibar, pia Kumiliki gari kama Anasa,ila kiuhalisia gari sio Jambo la anasa Gari ni Chombo Cha usafiri kukutoa Sehemu Moja kwenda Sehemu nyingine.
Kua na ushuru mkubwa sababu ni Nini.