gari

  1. Likey29

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa gari za nissan

    Wakuu naombeni mwenye fundi mzuri wa gari za nissan wa uhakika, gari yangu ni nissan cube. vipengele: inachemsha inachoma coil (nimebadili mara mbili) inakosa nguvu (hai-accelerate) gari inavuta upande mmoja speed ikiongezeka Naomba msaada wenu wakuu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilwa Kaskazini; Mbunge anayemaliza muda wake avunjika mguu akisubiri usaili wa ubunge. Mtia nia mwingine afariki kwa ajali akienda kuchukua fomu

    Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Spea ya gari ya Ford explorer

    Wakuu, habari. Natafuta hichi kifaa, wanakiita 'transceiver' kipo karibu na sehemu ya ufunguo. Mwenye nacho tuwasiliane pm
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hivi vioo vina matumizi Gani kwenye gari?

    Wasafwa husema kwenye wengi pana mengi, na kujifunza hakuna ukomo na wala hakuna ajuaye yote. Hata Erica Lukomo Kakuyu aliendelea kujifunza hadi dakika yake ya mwisho kabla ya kutwaliwa. Kwenye mabasi ya Toyota Coaster Kuna kioo kinaning'inia juu kwenye kioo kikubwa cha nyuma, je ni nini KAZI...
  5. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Hii gari toleo la juzi tu lakini namba ni A

    Nasubiria uchambuzi wa kutukuka na wa kitaalam
  6. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani. Asili huponya Asili Ina sili. Mazarau hasili hufa kikatili😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
  7. mr mtenya

    JamiiForums Tanzania Ni adhaabu gani unaweza kupata ukibainika unatembelea gari ya commercial likiwa na plate number ya private (njano)?

    Habari naombeni kujua adhabu ya kutembelea gari ya commercial(gari la biashara, plate number nyeupe) likiwa na plate number ya private (plate number ya njano)?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya hesabu (bolt na uber)

    Habari za asubuh wana JF Mimi ni dereva natafuta gari ya kufanyia kazi tax mtandao yani bolt vigezo vyote ninavyo kama leseni, Account za tax mtandao yani uber na bolt, naombeni kazi mimi naishi Kivule Matembele ya pili Dar es Salaam, Wilaya ya Ilala. Mawasiliano yangu ni 0758 -871 707 au...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari limeibiwa Mbeya

    Habari wanajamii . Naomba kutoa taarifa na kuomba msaada kwa yeyote atakaye liona gari husika anitaarifu. Gari Hilo limeibiwa jijini Mbeya na fundi makenika aitwaye Ibrahim Mwakyusa. Ameiba gari katika mazingira ya kulitengeneza. Mwizi wa gari ni Ibrahim Mwakyusa mwenye namba 0752895006...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Nissan Fuga licha ya muonekano wake mzuri lakini ni gari adimu sana mitaani... Shida ni nini wataalamu?

    Kichwa cha habari chajitosheleza... 1. Bei sio kali sana 2. Muonekano ni luxury sana 3. Space ndani ya kutosha Ila wamiliki ni wachache sana shida ni nini?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Process ni zipi ili kusajili gari ya biashara pale airport (JKNIA)?

    Process ni zipi ili kusajili gari ya biashara pale airport (JKNIA)?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bima ya Gari ni Muhimu

    .
  13. W

    JamiiForums Tanzania Gereji za kichina janja janja sana, gari ukiipeleka wanaifowadi gereji bubu au kuita mafundi wa huko, wanachoweza na usimamizi na spare nyingi.

    Watu wengi wamekuwa wakiamini ukipeleka gari kwa mhina ni yeye anatengeneza lakini kinachoendelea nyuma ya pazia hali nitofauri kabisa. Gari ukiipeleka kwa mchina, ataikagua kagua ukiwepo, utapewa bili, n.k. mida ya usiku gari inavutwa kupelekwa gereji bubu au watamwita fundi wa gereji bubu...
  14. the big fish

    JamiiForums Tanzania KWANINI GARI NYINGI ZINAZOTOKA JAPAN ZINAKUJA NA ILE NAVIGATION MONITOR LAKINI INAKUWA NA RAMANI ZA JAPANI NA HUKU BONGO NAONA KAMA HAZIZINGATII

    Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani Bora kuagiza Gari nje ya nchi? Japan, UK, Singapore etc

    Nimeona kampuni kadhaa zinatoa huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipi ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi; 1. Be forward, 2. SBT Japan, 3. Enhance Auto.
  16. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kitambi kikifikia level fulani nunua gari lako sio unakaa kwenye daladala kama una jiko la mkaa miguuni

    Kitambi kikifikia level fulani nunua gari lako sio unakaa kwenye daladala kama una jiko la mkaa miguuni.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Usijiroge kununua gari isiyo brand ya Toyota kama unaishi mikoani, maji utayaita Mma !

    Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !! Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Gari linaweza kukunyima amani, Ni tatizo gani lilikufanya ushinde sana magerejini na kuingia gharama mara kwa mara ?

    Mkisikia magari yanaweza kosesha amani mtu muyasikiage tu ombeeni yasiwakute 😂 Uliwahi kuteswa na tatizo gani kwenye gari lililokufanya upoteze muda na pesa kwa mafundi, magarejini, spea, n.k. Na muhimu zaidi uliwezaje kulitatua baadaya kuhangaika sana ?
  19. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Uhalisia ni kwamba,humiliki chochote hapo ulipo,ile gari Yako uliyonunua hivi karibuni siyo Yako,nyumba nzuri uliyojenga siyo yakwako humiliki kitu

    Umiliki na Usajili wa Mali Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili" limekuwa na maana pana, na linaweza kuhusishwa na masuala mengi, ikiwemo usajili wa magari, nyumba, na hata...
  20. Livanga

    JamiiForums Tanzania Je napotaka kuagiza gari ni sawa kupata ushauri wa Fundi? Nini kifanyike kushawishi mafundi kuongeza ujuzi zaidi?

    Kutokana na uzoefu na kwa kuzingatia changamoto tunazopitia sasa kadri muda unavyogea tutakuwa tuna uhaba mkubwa wa mafundi wajuzi wa kutatua matatizo ya magari kwa ufasaha ni kutokana na ukweli kwamba mafundi wengi hawana tabia ya kupenda kuongeza ujuzi wao na wanaamini kile wanachokijua...
Back
Top Bottom