Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

Keyala

Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
69
Reaction score
37
Gari ipo Kigamboni Dar es Salaam. Ipo katika hali nzuri sana!
Make: TOYOTA ISIS
MWAKA: 2008
CC: 1798
SEATS: 7
DRIVE: AUTOMATIC, 2WD
Kama kutahitajika service basi zitakuwa ni spares ndogongogo za kkawaida.
Mawasiliano: WHATSAPP: 0785872256
BEI: 9,500,000
1000850788.jpg
 
Attachments

  • 20250407_105147.jpg
    20250407_105147.jpg
    2 MB · Views: 45
Hiyo. Gari Mbovu sana na spea haina... Hapa nilipo parking yetu zipo mbili na Wamiliki. Wana haha kupata wateja... Wana Wakosa.. Ndiyo wewe uuze 11.M!!! Sijui... Nakushauri punguza bei kuokoa. Muda. Wako..
 
Ubovu wa gari unatokana na matumizi mabaya na kukosa service kwa wakati.
Sijui unaishi wapi lakoni kwa hapa Dar es Salaam spea zipo na zinapatikana kwa bei ya kawaida sana.
Nimeitumia kwa miaka kadhaa na haina shida kabisa!
 
Back
Top Bottom