Msomi akipata shavu la kuajiriwa serikalini, inakuwa raha msarehe. Hatakiwi kuguswa hata akiiba; anahamishiwa sehemu nyingine. Hivi huu utaratibu uko kwetu Tanzania tu au ni duniani kote? Mtu unakula kodi za walalahoi, unaiba, unakosea, halafu eti usisemwe na ikiwezekana uhamishiwe sehemu...
Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya.
Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua wengi tunanunua TV moja ila ina matumizi mengi kama vile kuangalizia movies, kuunganisha na ving'amuzi...
Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama.
Kwa mfano Bunge linapoisimamia Serikali tunaona Balance and Check na pia Shauri lolote la Serikali au Bunge kupelekwa...
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake ukiamka nazo la sivyo ukazimue Tena moto ndo mwili unakaa sawa. na hakuna mtu ambaye hateseki na pombe...
Mtoto ni baraka kutoka kwa muumbaji wa hii dunia, ni furaha ya wazazi pamoja jamii kwa ujumla uwepo wa mtoto inaonekana ni nuru na baraka kwa kuwa ni kiliwazo kwa wazazi na inatarajiwa kuongezeka kwa maarifa na nguvu katika familia, jamii au taifa kwa ujumla.
Katika jamii za kale kuna tamaduni...
Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli.
Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi?
Ukweli mchungu.
Wakuu habari?
Kwa watu walio makini wakishika fedha hasa noti mtagundua kuna tatizo sugu la uchakavu wa noti zetu hasa shilingi elfu moja, elfu mbili, pamoja na noti za elfu tano,hili kwa sisi watanzania wa kawaida tunaliona madukani, sokoni na kwenye daladala, unapotoa fedha kununua bidhaa au...
Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata akiuza hako kanchi!
Lakin Kenya mambo ni yofauti.
Ukipangilia nchi kwa uhuru wa kujieleza na kutoa...
Wakuu karibuni tupeane mrejesho wa vitisho ambavyo uliwahi kupewa na hawa wakopeshaji wa kwenye mitandao maarufu kama wanyonya damu. Maana kila kukicha malalamiko yamekuwa mengi.Karibuni tujadili.
Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana.
Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio zimetoka, hamna cha LCD na LED ni ndoto kabisa, yaani ndio kwanza watu wachache sana tumeamza kujikwamua...
Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi
Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
Habari wakuu,
Nimefanya utafiti nimegundua chips yai za kupika nyumbani ladha yake tofautii na wanazouza kwenye vibanda zinakua tamu sana je wanatia viongo gani kunogesha?
1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs
3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa:
1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa.
Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
Wakuu
Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus.
Magonjwa yasiyoambukiza
-magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo.
Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.