gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula wana matatizo gani?

    Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati? Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu?

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji. Navyomuona ana kitu atafika mbali. Rais Samia mtizame huyu Mzee

    Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali. Ni kumpa tu Elimu angalau sasa awe na maneno ya akili au ajue kujenga logic katika anachoongea. Nimemkubali ana mapenzi sana na...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kama mna dada wa kazi nyumbani kuna shida gani akifua na kupika chakula anachokula mume?

    Wazee wa mahaba mpo? Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini? Kama anafanya kazi nyingine ikiwemo kufua na kupikia wengine kama mna mtoto/watoto kwanini ni ishu zikifuliwa nguo za wenye...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  6. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Games gani hukuzimaliza na kuishia kuzifuta tu kwenye pc au ps yako?

    Sababu ziko tofauti.. Mimi 1. Far cry 6 Hili rasmi nmelifuta leo, sikulimaliza bt sikulipenda nahisi game play yake halivutii kabisa. Gb 100 2. Dying light 2; stay human graphics nzuri ni third personal, bt bora ingekuwa kutumia bunduki sasa ni mwendo malee weapon tu. Lilikuwa na Gb 90+ 3...
  7. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Radio Banana FM mnashida gani?

    Moshi nadhani inapatikana huko.
  8. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vya kuzingatia unapoanzisha kampuni ya Usanifu Majengo?

    Kama mada inavyoijieleza hapo juu, ningependa kuwauliza wanaJF ni vitu/mambo yapi ya kuzingatia unapotaka kuanzisha kampuni ya usanifu majengo(Architects)? Napitia comments kwa maoni, ushauri na majibu ya swali nililouliza, Ahsanteni.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani ya kuaminika inayofanya clearing and forwarding?

    Habari Wana Jf, Ni kampuni gani ya kuaminika inayofanya clearing and forward mzigo kutoka china hadi Arusha yenye bei iliyo rafiki? Naombeni msaada ikiwezekana na office zao zilipo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nikuandikie nini? Itakugharimu kiasi gani?

    Sio wote tunajua umhimu wa WRITEUPS za kimkakati na kimaendeleo hasa katika kuleta ukamilifu wa WAZO lako. Wengi tuna mawazo mazuri sana kichwani ila yako random..ndipo inapokuja HAJA ya kuandika kimpangilio wenye MANTIKI. Wazo likiandikwa huleta mtiririko sio kwako tu hata kwa wadau wengine...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Unatumia Mbinu gani kuimarisha Usalama wako Mtandaoni?

    Imarisha Usalama wako Mtandaoni kwa kufanya yafuatayo; a. Sasisha (Update) Kivinjari chako kila linapotoka toleo jipya. Unaweza kuruhusu Kivinjari kiweze kujisasisha 'automatically' b. Tembelea tovuti zenye alama ya ‘kufuli’ au zenye 'HTTPS' c. Pakua majalada (files) au Programu Tumizi (Apps)...
  12. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii chuma ya umeme iliyoteka mitandaoni ni aina gani?

    Kumekuwa na mjadala tweeter juu ya chuma ya UMEME wengi wanadai hii ni Tesla S7 na wengine wakidai ni BYD Co na wengine wanasema ni Changan Deepal S7. Mtaalamu wa haya magari Mad Max utatusaidia kujua hili gari angalau na Sisi wengine tunaweza kuanzia kujichanga Kwa miaka ya baadae tumiliki na...
  13. aBuwash

    JamiiForums Tanzania NI MITAA GANI DAR HAINA MAJINA MAKUBWA LAKINI INA POPULATION KUBWA YA WATU NA BIASHARA ZINAFANYIKA SANA?

    Hello wana jf Natumai wote mko poa sana Naulizia gani hivi hapa dar haina majina makubwa sana kama vile tandika, mbagala, kariakoo nk. Lakini ina watu wengii na biashara zinafanyika kwa maana zinauzika Nilikuwa mbagala na store yangu ya mchele ila kwa sasa nimenyoosha mikono ushindani...
  14. KENZY

    JamiiForums Tanzania wataalum damu mwilini ikifika kiasi gani inatakiwa kupunguzwa??

    Niliambiwa nina damu 17, nikaambiwa nipunguze sikujibu chochote daktari akajiongeza sijaafiki ila akanitajia dalili kadhaa kuwa nikiziona basi niende wakanipunguzie si nimegoma kwa hiari!!.. chaajabu nilikuja kufatilia nikajua normal damu inatakiwa kuwa 16,sasa mimi kuzidi hiyo moja tu ndo...
  15. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu anayejiita Mwijaku, amesoma Vyuo gani?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform mbalimbali za mitandao ya kijamii akijinadi Kwa sifa kedekede na kuwadhoofisha wapinzani wake akiwemo "Baba...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Dunia inapoelekea sijui miaka ijayo ukristo utakuwa na hali gani

    Kila kitu kinachofanywa kwenye makanisa hakuna mpango na kumtukuza Mungu Bali ni mipango ya kibiashara kupata pesa..kwanzia mahubiri yanalenga pesa ,nyimbo ndo usiseme ni zaid ya bongo flavor
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya huyu binti aombe kozi gani?

    Kwa heshima Nawaamkia; Huyu ni binti amehitimu form 4... Ni mdogo wangu ananifata mara tatu..matokeo yake ni kama ifuatavyo; Kiswahili C Kiingereza C Uraia C History D Biology C Chemistry F Maths F Fasihi D Geography D Karibuni kwa ushauri
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu huyu anaweza kuwa mnyama gani?

    Mwenye kujua huyu mnyana anijuze tafadhali.
  19. vnn

    JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba Kuuliza Hapa NACTE Wana Maana gani?

    Naombeni kuuliza wataalamu je hapa Nacte wameshapokea matokeo ya mwanafunzi au bado au je hii pending inamaana gani?
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Chombo Gani cha habari cha Kimataifa kinatoa habari za uhakika

    Kila nikisikiliza media kubwa zilizoaminika kwasasa ni kama TBC tu Iwe BBC Swahili, VOA, CNN au Al Jazeera zote ni ovyo tu zinatoka habari za kuendelea na za uongo na uzushi sana Wanainanga Russia, Parestina, Libya, North Korea nk Lakini katu wanawasifu wahalifu kama Ukraine, Rwanda, Israel nk...
Back
Top Bottom